taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 10 Sep 2026 05:55:43
Mamia ya watu wafurika Homa Bay baada ya uvumi wa dhahabu kugunduliwa huko
MAMIA ya watu, vijana kwa wazee waliojihami kwa koleo, mawakala waliobeba kitita cha hela na madereva wa malori, wamiliki mashine na wafayabiashara wamefurika Homa Bay baada ya madini yanayoshukiwa kuwa dhahabu kugunduliwa. Mwezi mmoja uliopita, Kijiji cha Maguje, Homa Bay kilikuwa eneo tulivu ambapo mifugo walikula viwanjani na wakulima kupalilia mimea yao katika msimu wa mvua. Katika maeneo ambayo awali yalichimbwa 'murram', hali imegeuka huku wanaume wakichimba kwa mkono na mashine kufungua mitaro yenye kina kirefu kusaka dhahabu. Wengine wanatumia nguvu huku wakibeba mawe yaliyochimbwa migongoni kabla ya kuyapakia kwenye pikipiki au malori. Baadhi ya mawe hayo husafirishwa viwandani ambapo mashine hutenganisa dhahabu na miamba. Kando ya kware, wanawake ambao mwezi mmoja tu uliopita waliuza mboga na samaki wamefunga biashara zao za zamani. Wanaamka alfajiri kuandaa chapati, maharage na chai kwa wachimba madini. Yote yalianza na uvumi uliosambaa kwamba dhahabu imegunduliwa kijijini humo. John Okello, aliyeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kituo cha kuchimba madini alisema uvumbuzi huo ulijiri baada ya wakazi kumwona mwanamke akiokota mawe kwenye kware. Mwanamke huyo aliokota mawe kwa karibu miezi mitano kabla ya baadhi ya wanakijiji kuanza kuuliza alikoyapeleka. "Aliyaweka kwenye gunia na kuwalipa wahudumu wa bodaboda kuyapeleka eneo lisilojulikana. Baadaye alifichua kuwa anayapeleka katika kituo cha kusafisha dhahabu," alisema. Gunia la madini hayo huuzwa kati ya Sh2000 na Sh5000 kutegemea matokeo ya vipimo vinavyofanyiwa sampuli kutoka eneo hilo. Baada ya kuona jinsi watu wanavyosaka dhahabu kwa ari, kamati ya dhahabu iliyobuniwa kusimamia kituo hicho ilianzisha sheria za kudhibiti oparesheni hizo. Miongoni mwake ni masharti kwa wachimbaji madini kuwalipa wamiliki ardhi Sh50,000 kabla ya uchimbaji kuanza. Maafisa wa serikali bado hawajathibitisha kiwango cha mgodi wa dhahabu au kudhibiti shughuli hizo, huku wasiwasi ukitanda kuhusu usalama, mizozo ya ardhi na uwezekano wa wenyeji kukandamizwa na wafanyabiashara wenye ushawishi mkubwa.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 10 Sep 2026 05:07:58
Jacob deGrom Net Worth
Jacob deGrom has an estimated net worth of $70 million. The American professional baseball pitcher built his wealth through a highly successful Major League Baseball career with the New York Mets and Texas Rangers. He has earned more than $72.6 million in MLB salary and became one of the highest-paid pitchers in baseball after signing [...] The post Jacob deGrom Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 10 Sep 2026 05:15:43
Bartolo Colón Net Worth
Bartolo Colón has an estimated net worth of $40 million. The Dominican former professional baseball pitcher earned his fortune during a remarkable MLB career that spanned more than two decades. He played for 11 different Major League Baseball teams and earned approximately $117 million in MLB salary alone. Colón is one of the most recognizable [...] The post Bartolo Colón Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 10 Sep 2026 05:24:07
Marquis Grissom Net Worth
Marquis Grissom is a former American professional baseball player who has an estimated net worth of $22 million. He built his wealth during a professional baseball career that lasted nearly two decades and included stints with several Major League Baseball teams. Grissom was one of the better defensive center fielders of his generation. He combined [...] The post Marquis Grissom Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 10 Sep 2026 05:28:05
Woman found dead in Rongo house after domestic dispute
A 37-year-old woman was found dead in a house in Rongo, Migori County, on Wednesday morning following an alleged domestic dispute with her husband. The body of Lilian Akinyi was discovered at Kolondo area in Kamukuyu Sub-location after neighbours were alerted by her screams. According to police, Akinyi, who operated a small business in Rongo [...] The post Woman found dead in Rongo house after domestic dispute appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 10 Sep 2026 04:43:12
Zack Greinke Net Worth
Zack Greinke net worth is estimated at $120 million. The American professional baseball pitcher built his fortune during a long Major League Baseball career with teams including the Kansas City Royals, Milwaukee Brewers, Los Angeles Angels, Los Angeles Dodgers, Arizona Diamondbacks and Houston Astros. Greinke became one of the most accomplished pitchers of his generation. [...] The post Zack Greinke Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 10 Sep 2026 04:52:00
Clayton Kershaw Net Worth
Clayton Kershaw has an estimated net worth of $170 million. The American professional baseball pitcher has earned more than $307 million in MLB salary during his career, in addition to tens of millions of dollars from endorsements and other business opportunities. Kershaw is widely regarded as one of the greatest pitchers of his generation. He [...] The post Clayton Kershaw Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 10 Sep 2026 05:00:54
Max Scherzer Net Worth
Max Scherzer has an estimated net worth of $180 million. The American professional baseball pitcher built his fortune through nearly two decades in Major League Baseball, earning more than $370 million in career on-field compensation while also making millions from endorsements. Scherzer is one of the most accomplished and highest-paid pitchers of his generation. Known [...] The post Max Scherzer Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 10 Sep 2026 04:55:26
Kasisi aasi upadri na kuoa mmoja wa 'kondoo' wake
ALIYEKUWA kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia, Sandro Ferretto, alimuoa Sharon Jepngok Kibet, 37, wikendi katika sherehe ya kitamaduni ya Tugen iliyofanyika Kasiela, Baringo Kusini. Ferretto, 53, aliwahi kuhudumu kama kasisi katika eneo hilo kwa karibu miaka 12 kabla ya kuacha ukuhani na kurejea Italia. Sherehe hiyo ilivutia maelfu ya wakazi waliokuwa wamekusanyika katika boma la babake Sharon, John Wendot, baada ya kusikia kuwa Mzungu alikuwa akimuoa binti wa eneo hilo. Hata hivyo, wengi walishangaa kumtambua bwana harusi kuwa kasisi wao wa zamani ambaye waliwahi kumwona akihudumu katika maeneo ya Kasiela, Chebinyiny, Sinoni, Embosos na Nyimbei. Bw Ferretto aliwasili Kenya mnamo 2008 na kwa miaka yake ya utumishi alitembelea familia, kuhudhuria shughuli za shule, kuwashauri vijana, kusaidia familia zilizohama makwao kutokana na ukosefu wa usalama na kuendesha misa. Sharon alilelewa Kasiela kabla ya kumaliza shule ya upili na kusomea udaktari wa kliniki. Baadaye alisafiri hadi Italia ambako uhusiano wake na Ferretto ulianza. Mnamo 2022, Bw Ferretto aliwasaidia Sharon na vijana wengine saba kutoka eneo hilo kupata ajira nchini Italia. Sharon alimweleza babake mnamo 2024 kuwa Bw Ferretto alikuwa ameacha ukuhani na alitaka kumuoa. "Binti yangu aliniambia kwamba Padre Sandro alikuwa amejiuzulu na alitaka kumuoa. Nilijiuliza, kasisi anawezaje kuoa?" akasema Bw Wendot. Alisema baadaye alikubali baada ya kufahamishwa kuwa Ferretto alikuwa amekamilisha taratibu zote za kuacha ukuhani na kupewa idhini ya kuoa. Wawili hao walifanya harusi ya kanisani nchini Italia Aprili mwaka huu kabla ya kurejea Kenya kwa sherehe ya koito. Bw Wendot alisema hakutaka kutumia uraia wa Bw Ferretto kama kisingizio cha kudai mahari ya kupita kiasi. "Niliozesha binti yangu kwa raia wa Italia kama mtu mwengine yeyote. Sikutarajia kumtendea kama mgeni na kumpunja pesa," akasema. Bw Ferretto aliongozana na jamaa 12 kutoka Italia, marafiki na waliokuwa wafanyakazi wenzake katika Parokia ya Mochongoi. Sherehe hiyo ilijawa na nyimbo na ngoma za Kalenjin huku Bw Ferretto akicheza pamoja na wakwe na marafiki wake Wakenya. Raymond Cheboi, mdogo wa Sharon, alisema Bw Ferretto alikuwa rafiki wa familia na aliwahi kumsaidia mmoja wa ndugu zao kuwa katekista. Henry Cheburet, mkazi aliyemjua Ferretto tangu alipokuwa kasisi, alisema ndoa hiyo imekuwa gumzo kijijini. "Wengi walifika wakitarajia kumuona Mitalia akimuoa Sharon, lakini baadaye wakagundua kuwa alikuwa kasisi wao wa zamani," alisema. Wendot alisema amewabariki walioana. "Nimewapa baraka zangu. Mungu awabariki katika ndoa yao," alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 09 Sep 2026 15:04:30
LSK raises concerns over directive barring foreigners from small-scale trade
The Law Society of Kenya (LSK) has raised concerns over the Government directive barring foreign nationals from engaging in certain forms of small-scale trade, warning that the measure could conflict with Kenya's constitutional and regional obligations. LSK President Charles Kanjama said while the Government has the right to regulate trade, enforce immigration laws and protect [...] The post LSK raises concerns over directive barring foreigners from small-scale trade appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 09 Sep 2026 15:11:00
Anthropic researcher believes more than 10% chance AI 'could kill all humans'
A top safety researcher at Anthropic has warned AI is advancing so quickly he believes there is a greater than 10% chance it could kill all humans within the next decade. Evan Hubinger said in a post on X the risk from the models which currently exist was low but he was worried the technology [...] The post Anthropic researcher believes more than 10% chance AI could kill all humans appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 09 Sep 2026 15:16:32
US slaps sanctions on Iran airlines, service providers
The United States imposed sanctions Tuesday on all remaining Iranian airlines that have yet to face such penalties, as Washington pushes to step up economic pressure in its war with Tehran. The US Treasury Department said its latest action takes aim at 36 targets for supporting Irans aviation sector, which the regime uses to move [...] The post US slaps sanctions on Iran airlines, service providers appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content