kahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 09 Sep 2026 09:06:33
Port of Mombasa sets new container discharge record
The Port of Mombasa has set a new container-handling record after a dedicated team discharged 863 containers from a single vessel in one shift, before completing the entire 1,005-container operation in just one and a half shifts. The milestone was achieved on Monday during the handling of the MV Aniello, which was berthed at Berth [...] The post Port of Mombasa sets new container discharge record appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 09 Sep 2026 09:13:24
12 Arrested After Youth Allegedly Disrupt Dignitaries' Convoy in Siaya
Law enforcement officers in Siaya have arrested 12 suspects following a chaotic incident in which a group of rowdy youth allegedly attempted to obstruct a convoy of dignitaries in Siaya town. The incident occurred on Tuesday, September 8, 2026, shortly after the conclusion of a womens economic empowerment function held at the Siaya KMTC grounds. [...] The post 12 Arrested After Youth Allegedly Disrupt Dignitaries' Convoy in Siaya appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Wed, 09 Sep 2026 07:44:09
Burundian schoolchildren face a forced return to classrooms they barely know
Burundian families stranded outside their Nairobi embassy say a forced return could disrupt their childrens education, particularly as learners face a different language and curriculum.
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 09 Sep 2026 07:40:58
Kenya eyes Africa's digital space
Kenya is positioning itself as a leading digital infrastructure and investment hub in Africa, with the Government prioritizing fibre connectivity, data centres, cloud computing and artificial intelligence (AI) to attract global investment and accelerate economic growth. Broadcasting and Telecommunications Principal Secretary Stephen Isaboke said digital infrastructure had become critical national infrastructure, comparable to roads, water...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 09 Sep 2026 08:08:15
Kericho man jailed for life for defiling minor
A 30-year-old man who was found guilty of defiling a minor during a visit to her family has been sentenced to life imprisonment by a Kericho court. Kericho Principal Magistrate Japheth Bii found Vincent Kimutai Koech guilty of defiling an eight-year-old girl in her home on December 24, 2025, at Nyallibush village in the Sigowet...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 09 Sep 2026 08:14:23
Sharp divisions cloud Chenda Chenda celebrations
Sharp divisions have emerged ahead of the annual Chenda Chenda celebrations scheduled for today, Wednesday, September 9, 2026. A section of Mijikenda elders has condemned what they term the politicization of the fete, which is held every September 9 to honour Mijikenda heroes and heroines and to celebrate the community's cultural and traditional values. This year, two...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 09 Sep 2026 08:19:36
Handcart operator keeps Meru town's moving
As Meru Town continues to grow into a vibrant commercial hub, handcart operators, popularly known as mkokoteni operators, remain among the unsung heroes whose daily efforts ensure the smooth movement of goods from the town markets and wholesale shops to faraway shops and homes. Every day, hundreds of tonnes of merchandise arrive by lorries and long trailers...
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 09 Sep 2026 07:55:49
AKILIMALI: Mbinu tofauti za kuandaa nyama kuboresha biashara
MBINU mpya na za jadi za kupika na kuongeza nyama thamani zinaendelea kubadilisha sekta ya mifugo na nyama nchini, huku wafanyabiashara na wabunifu wakitumia teknolojia na maarifa mapya kuvutia walaji. Haya yalijitokeza katika Maonyesho ya Kenya Meat Expo 2026 yaliyoandaliwa na Nation Media Group (NMG) kwa ushirikiano na Wizara ya Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo. Maonyesho hayo ambayo yalikuwa Makala ya Tano yalifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (KICC), Nairobi, Agosti 26 hadi 28. Wakulima, wasindikaji, wafanyabiashara, watafiti, mashirika muhimu kama vile ya kuuza nyama nje ya nchi, ya kifedha, ya malisho, wabunifu na mashabiki wa nyama walipata nafasi ya kujifunza mbinu tofauti za kupika na kuhifadhi nyama. Miongoni mwa mbinu zilizovutia wengi ni uandaaji wa nyama kwa moshi. Njia hii huhusisha kupika nyama kwa joto la chini kwa muda mrefu, huku moshi wa kuni ukiipa ladha ya kipekee. Samuel Ndung'u, mwanzilishi wa Pikmaster Sam, alionyesha jinsi nyama ya brisket huandaliwa kwa kutumia kifaa maalumu cha kuvuta moshi. Kwenye mahojiano na Akilimali, alisema nyama hiyo huchukua zaidi ya saa 12 kuiva kikamilifu. "Tunapika polepole ili nyama isalie laini, yenye unyevu na ladha ya kipekee inayotokana na kuni tunazotumia," anasema. Ndung'u, ambaye aliacha kazi katika huduma ya polisi kuingia kwenye biashara ya nyama mwaka 2014, anasema mbinu hiyo imebadili mtazamo wa watu kuhusu nyama ya kuchoma. [caption id="attachment_191925" align="alignnone" width="2560"] Joshua Nzioka wa Camp David akiwa katika maonyesho ya nyama KICC Agosti 28, 2026. PICHA| DENNIS ONSONGO[/caption] Hata hivyo, anakiri kuwa gharama za uzalishaji ni kubwa kutokana na matumizi makubwa ya kuni, mafuta na wafanyakazi. Kwa sasa, robo ya kuku katika biashara yake huuzwa kwa Sh400, kilo moja ya nyama ya kondoo kwa Sh1,800 huku hiyo iliyochomwa kwa moshi (brisket) ikiuzwa kwa Sh2,500 kwa kilo. Mbali na uchomaji wa nyama kwa moshi, Martin King'ori wa Camp David Butchery, alionyesha teknolojia ya dry ageing, ambapo nyama huhifadhiwa katika mazingira yenye kiwango maalumu cha joto, unyevunyevu na mzunguko wa hewa kwa wiki kadhaa kabla ya kuuzwa au kupikwa. Kulingana King'ori, mbinu hiyo huifanya nyama kuwa laini zaidi na kuongeza ladha yake. "Maji hupungua polepole huku vimeng'enya vya asili vikivunja protini za misuli, jambo linaloboresha ubora wa nyama," anasema. Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, Mutahi Kagwe, akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho hayo, alisema sekta ya nyama ina uwezo mkubwa kuunda ajira, kuongeza mapato ya wafugaji na kuimarisha mauzo ya bidhaa za Kenya nje ya nchi. Alidokeza kwamba Kenya ilizalisha takriban tani 613,627 za nyama mwaka 2024 zenye thamani ya Sh397 bilioni. "Nyama ya ng'ombe iliongoza kwa uzalishaji wa tani 260,000 zenye thamani ya karibu Sh160 bilioni," Waziri Kagwe alielezea. Hata hivyo, alisisitiza kuwa nchi haipaswi kutegemea nyama ya ng'ombe pekee, akitaja fursa zilizopo katika nyama ya mbuzi, kondoo, kuku, ngamia, nguruwe na sungura. Waziri alisema Kenya inapaswa kuhamia kutoka kuuza mifugo hai hadi kuuza nyama, nyama iliyosindikwa na bidhaa zenye chapa maalumu ili kuongeza mapato na ajira nchini. "Tunapouza mifugo hai nje ya nchi, tunakuwa pia tunauza nafasi za kazi ambazo zingepatikana hapa Kenya," alisema. Maonyesho hayo yalithibitisha kuwa sekta ya nyama inaendelea kupanuka na kwamba ubunifu katika usindikaji, upishi na masoko unaweza kufungulia vijana na wajasiriamali fursa mpya za kiuchumi na kazi. Kauli mbiu ya hafla ya mwaka huu, 2026, ilikuwa kuimairisha ukuaji unaoweza kudumishwa pamoja na kukuza kizazi kijacho katika biashara ya nyama.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Wed, 09 Sep 2026 07:11:41
World Bank Completes Funding for Kenya's Longest Highway as Govt Sets 2030 Deadline
According to the government, 50 kilometres of the highway have already been laid with asphalt, with works continuing along various sections of the corridor.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 09 Sep 2026 06:55:51
Mateso ya mgomo yazidi kutisha wagonjwa wakiendelea kuaga dunia
TAKRIBAN wanawake 22 walifariki dunia kutokana na matatizo yanayohusiana na uzazi katika kipindi cha wiki moja huku mgomo wa wauguzi ukiendelea nchini. Aidha, vifo vya watoto wachanga 44 na vifo 130 vya watoto kabla au wakati wa kuzaliwa pia vimeripotiwa, hali inayofichua ukubwa wa janga la afya linalokumba taifa. Takwimu hizo zimetolewa wakati ambao wauguzi wamesusia kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja, jambo ambalo limevuruga huduma katika hospitali nyingi za umma kote nchini. Wataalamu wa afya wanaonya kuwa hali inaweza kuwa mbaya zaidi iwapo madaktari nao watatekeleza tishio lao la kugoma katika siku chache zijazo. Mgomo wa wauguzi ulianza Julai 29, 2026, kufuatia mzozo kuhusu utekelezaji wa Mkataba wa Pamoja wa Kazi wa mwaka 2017, marupurupu mbalimbali na kuajiriwa kwa wahudumu wa mpango wa Afya kwa Wote (UHC) kwa masharti ya kudumu. Kaunti za Nakuru, Kisumu, Kakamega na Kajiado zimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo yaliyoathirika zaidi na mgomo huo. Hospitali ambazo awali zilikuwa zikihudumia mamia ya wagonjwa kila siku sasa zimebaki na shughuli chache huku wagonjwa wakikosa huduma muhimu. Katika Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Nakuru ambazo kwa kawaida huwa zimejaa wagonjwa na wahudumu wa afya zimekuwa tulivu isivyo kawaida. Huduma chache zinazotolewa sasa zinategemea maafisa wa utabibu na wanafunzi wa udaktari, huku wagonjwa wakisema kiwango cha huduma si sawa na kile walichokuwa wakipata kabla ya mgomo. Pwani nayo imeathirika vibaya. Katika Hospitali Kuu ya Rufaa ya Coast General mjini Mombasa, huduma za uzazi, meno, masikio, pua na koo pamoja na vitengo vingine muhimu zimekwama. Baadhi ya familia zimehamisha wagonjwa wao hadi hospitali za kibinafsi kwa hofu ya kupoteza maisha. "Tumeamua kumtoa mgonjwa wetu hospitalini kwa sababu hajapata matibabu ya maana kwa wiki tatu. Tunampeleka hospitali ya kibinafsi kwa matumaini ya kupata huduma bora," alisema mmoja wa jamaa za mgonjwa. Katika Kaunti za Meru, Laikipia, Narok, Bomet na Uasin Gishu, hali si tofauti. Wagonjwa wanaohitaji huduma za kulazwa hospitalini wamekuwa wakielekezwa katika hospitali za kibinafsi na za makanisa, jambo ambalo limeongeza mzigo wa gharama kwa familia nyingi. Wajawazito ni miongoni mwa walioathirika zaidi. Milka Kimani kutoka Mpeketoni, Lamu, alisema amelazimika kutafuta huduma katika kliniki za kibinafsi baada ya kukosa kuhudumiwa katika hospitali ya serikali. "Unafika hospitalini kwa kliniki lakini hakuna anayekuhudumia. Nililazimika kutafuta huduma mahali pengine ingawa gharama ni kubwa," alisema. Katika baadhi ya maeneo, wanaougua magonjwa sugu kama pumu, kisukari na shinikizo la damu pia wamekosa huduma za kawaida. Wengine wanalazimika kununua dawa katika maduka ya kibinafsi kwa gharama kubwa huku baadhi ya hospitali za serikali zikiripotiwa kukosa dawa. Huku mazungumzo kati ya viongozi wa Chama cha Wauguzi na Baraza la Magavana yakikosa kuzaa matunda, wananchi wanaendelea kulipa gharama kubwa zaidi. Wengi wanasema serikali za kaunti na serikali kuu zimekuwa zikilaumiana huku maisha ya wagonjwa yakiendelea kuwa hatarini. Sasa hofu kubwa ni kwamba iwapo mgomo utaendelea kwa muda mrefu zaidi, vifo vitaongezeka na hospitali za umma, ambazo ndizo tegemeo la mamilioni ya Wakenya maskini, zitaendelea kuwa maeneo ya mateso badala ya vituo vya kuokoa maisha.
read moreRight Column Content