kahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 11:13:37
Sierra Leone drops treason charge against ex-president over attempted coup
Sierra Leones government has dropped its charges, including treason, against ex-President Ernest Bai Koroma, who was arrested in connection with an attempted coup nearly three years ago. The charges had been dropped on health grounds, Information Minister Chernor Bah told the BBC. The 72-year-old former president has always denied involvement in the November 2023 attempted [...] The post Sierra Leone drops treason charge against ex-president over attempted coup appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 11:17:55
The country is witnessing historic development in every part of the country, Kindiki says
Deputy President Kithure Kindiki says the country is witnessing unprecedented transformation in every part of the nation courtesy of an all-inclusive development agenda being pursued by the government. The DP affirmed that the relentless pursuit of national development is informed by the need to elevate the socio-economic status of each of the 47 counties including [...] The post The country is witnessing historic development in every part of the country, Kindiki says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 09:37:28
KICD cites policy, funding and legal gaps as key challenges in delivering its mandate
The Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) has identified policy, financial and legislative gaps as some of the major challenges affecting the effective implementation of its mandate. Appearing before the National Assembly Departmental Committee on Education, KICD Chief Executive Officer Prof. Charles Ongondo said the institute requires a clear government policy on the disbursement of [...] The post KICD cites policy, funding and legal gaps as key challenges in delivering its mandate appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 15 Jul 2026 09:43:54
Senators fault Environment Ministry over weak enforcement of anti-pollution laws
Senators have criticised the Ministry of Environment, Climate Change and Forestry for what they described as weak enforcement of environmental laws, accusing it of failing to translate policies into meaningful action to curb pollution across the country. The concerns were raised during Wednesday mornings Senate plenary as Environment Cabinet Secretary Dr. Deborah Mulongo responded to [...] The post Senators fault Environment Ministry over weak enforcement of anti-pollution laws appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 15 Jul 2026 09:32:02
Mahakama yazimia marasta bangi, yataka mdahalo wa kitaifa kuhusu Wakenya wote
MAKAHAMA Kuu imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Chama cha Warastafari Kenya iliyotaka wanachama wake waruhusiwe kulima, kumiliki na kutumia bangi kama sehemu ya ibada yao. Jaji Bahati Mwamuye alisema walalamishi walishindwa kuthibitisha kuwa sheria za sasa zinakiuka haki zao za kikatiba. Pia alisema hawakufuata utaratibu uliowekwa kisheria wa kuomba leseni ya kutumia dawa hizo kabla ya kuwasilisha kesi mahakamani. "Si suala linalowahusu Warastafari pekee, bali ni mjadala wa kitaifa unaowahusu Wakenya wote. Tunahitaji mazungumzo ya wazi kuhusu matumizi ya bangi na mwelekeo ambao taifa linapaswa kuchukua," akasema Jaji Mwamuye. Hata hivyo, mahakama imesema ni wakati wa Wakenya kuanzisha mjadala kuhusu sera ya nchi dhidi ya bangi. Kesi hiyo iliwasilishwa mnamo 2021 ikipinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Kudhibiti Dawa za Kulevya ambayo inaharamisha bangi. Warastafari walidai bangi ni sakramenti takatifu inayotumika katika ibada, kutafakari na mikutano ya kiimani. Kwa hivyo sheria hiyo inakiuka haki zao za kidini, usawa na heshima. Hawakutaka bangi ihalalishwe kwa kila mtu, bali walitaka Warastafari wasishtakiwe wanapotumia au kushiriki kilimo cha bangi katika nyumba zao au maeneo maalumu ya ibada. Kwa upande wake, Mwanasheria Mkuu alipinga ombi hilo akisema sheria hiyo inalenga kulinda afya na usalama wa umma na inatumika kwa Wakenya wote bila ubaguzi. Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana Mihadarati (NACADA) pia iliambia mahakama kuwa, bangi ina madhara yaliyothibitishwa kiafya na kutoa idhini kwa kundi moja kungevuruga utekelezaji wa sheria. Mahakama ilikubaliana kuwa dini ya Rastafari inalindwa na Katiba. Hata hivyo, jaji alisema ushahidi uliotolewa na walalamishi wenyewe ulionyesha kuwa baadhi ya Warastafari wanaabudu bila kutumia bangi.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 15 Jul 2026 09:40:47
Wanaunda jibini linalouzwa zaidi ya Sh100, 000
MWAKA 1979, waanzilishi wa Brown's Food Company waliamua kujaribu bahati yao katika sekta ya maziwa wakianza na ng'ombe wawili pekee. Zaidi ya miongo minne baadaye, jaribio hilo limekua na kuwa kampuni inayotambulika kwa utengenezaji wa jibini (cheese) nchini Kenya na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki. Awali kampuni hiyo iliyojulikana kama Brown's Cheese, ilianzishwa na David na Sue Brown kama biashara ya kutengeneza vifaa vya kuongeza joto kwenye nyumba (solar heaters) vinavyotumia nishati ya jua, huku wakifuga ng'ombe wachache kwa ajili ya maziwa ya matumizi ya familia. Kulingana na Delia Andrew, Mkurugenzi Mkuu mwenza wa kampuni hiyo, kilichoanza kama jaribio dogo la kutafuta suala la maziwa kwenye familia, sasa kimegeuka kuwa biashara kubwa ya mseto wa bidhaa za maziwa. Leo hii kampuni hiyo huzalisha majibini yanayoweza kuuzwa kwa zaidi ya Sh100,000 moja, huku ikilenga soko la bidhaa za thamani ya juu ndani na nje ya Afrika Mashariki. "Wazazi wetu walipoanzisha biashara walikuwa wakitengeneza hita (vifaa vya joto) za sola huku wakifuga ng'ombe wachache wa maziwa ya nyumbani. Kulipotokea ukame wa muda mrefu, jibini aina ya cheddar lilipungua sokoni, ndipo wakaamua kujaribu kulitengeneza nyumbani," anasema Delia, ambaye anamiliki kampuni hiyo pamoja na mumewe. Anasema jaribio hilo liligeuka kuwa somo lao la kwanza la ujasiriamali, kwamba fursa nyingi huzaliwa wakati wa changamoto. Kilichoanza kama shughuli ya familia kilianza kuvutia marafiki na wateja waliotaka kununua majibini zaidi, na hatimaye uzalishaji kibiashara ukabisha hodi. Tangu mwanzo, familia hiyo ilifuata falsafa ya kutengeneza bidhaa ambazo wao wenyewe wangekuwa tayari kuzitumia kabla ya kuzipeleka sokoni. Delia anasema msimamo huo umeisaidia kampuni kudumisha viwango vya juu vya ubora hata ilipoendelea kukua. Alipojiunga na biashara hiyo karibu miaka 16 iliyopita, alikuta ikiwa bado imejikita zaidi katika uzalishaji wa shambani lakini ikiwa na ndoto ya kupanuka. Anaeleza kuwa hapo ndipo walipoanza kujenga mifumo rasmi ya usimamizi, udhibiti ubora na kuongeza aina mbalimbali za bidhaa. "Mchango wetu uliifanya kampuni iimarike, ambapo mifumo, ubora na utofauti wa bidhaa vilikuwa msingi wa maendeleo," alisema katika mahojiano na 'Akilimali Dijitali'. Mojawapo ya maamuzi ya kwanza chini ya uongozi wake ilikuwa kufungua milango ya shamba kwa wageni na wateja. Anaamini hatua hiyo ilijenga uwazi na kuimarisha imani ya walaji bidhaa wanazounda. "Walaji leo hawataki kununua tu bidhaa. Wanataka kujua zinakozalishwa na kwa namna gani," alisema. [caption id="attachment_190142" align="aligncenter" width="300"] Majibini yaliyoundwa mwaka huu na Brown's Food Company, Limuru, Kaunti ya Kiambu. Picha|Sammy Waweru[/caption] Kadri miaka ilivyopita, Brown's Food Company ilipanua shughuli zake zaidi ya utengenezaji wa jibini na kuingia katika usagaji wa unga. Delia anasema waligundua kuwa biashara haiwezi kutegemea bidhaa moja pekee. "Hatukuegemea maziwa pekee. Tulilazimika kutathmini mfumo mzima wa kilimo kuanzia afya ya udongo, mazao, mifugo hadi lishe," anaelezea. Kwa sasa kampuni hiyo huchakata zaidi ya lita 20,000 za maziwa kila siku kutoka kwa takriban wakulima 6,000 katika maeneo ya Molo, Kinangop na Embu. Aidha, maziwa hayo huzalisha bidhaa mbalimbali, ingawa jibini ndiyo bidhaa yenye thamani kubwa zaidi na inayohitaji utaalamu wa hali ya juu. Delia anasema kampuni imekuwa ikipanuka hatua kwa hatua kulingana na uwezo wake na mahitaji ya soko. Ingawa mtaji wa upanuzi zaidi bado ni changamoto, wameamua kuepuka kukopa kupita kiasi. "Nidhamu hiyo ndiyo imetuwezesha kusalia imara," anasema. Leo hii Brown's Food Company imeajiri wafanyakazi 300, kutoka wafanyakazi 25 pekee alipotwaa uongozi miaka 16 iliyopita. Karibu asilimia 25 ya uzalishaji wake husafirishwa kwenda Tanzania, Uganda na Rwanda, huku ikipanga kuingia masoko ya Dubai na China. Delia anasisitiza kuwa kutengeneza jibini si shughuli ya kawaida ya viwandani bali ni mchakato wa kibayolojia. "Jibini ni bidhaa hai. Huboreka na kukomaa kadri muda unavyosonga," alisema wakati wa mahojiano. Baadhi ya majibini hukomaa baada ya miezi kadhaa, huku mengine yakihifadhiwa kwa miaka sita ili kuongeza ladha na thamani yake. Gurudumu la jibini lenye uzani wa kilo 25 linaweza kuuzwa kwa zaidi ya Sh100,000, huku kilo moja ya jibini lililokomazwa kwa miaka sita ikiuzwa kwa angalau Sh4,000. Tofauti na maziwa, jibini huongezeka thamani kadri linavyozeeka, jambo lililoifanya kampuni hiyo kuwekeza katika vyumba maalum vya kukomaza jibini vinavyodhibiti joto na unyevunyevu. Brown's Food Company huzalisha aina mbalimbali za majibini yakiwemo mozzarella, pizza cheese, parmesan, gouda, camembert, brie na feta. Hali kadhalika, hutengeneza maziwa mala, maziwa gururu (yoghurt), siagi na aiskrimu, baadhi zikiungwa kwa matunda yanayonunuliwa kutoka kwa wakulima. [caption id="attachment_190143" align="aligncenter" width="300"] Majibini ya saizi na uzito tofauti yaliyoundwa na Brown's Food Company. Picha|Sammy Waweru[/caption] Licha ya mafanikio hayo, kampuni hiyo inakabiliwa na changamoto za usambazaji, hasa kudumisha mifumo baridi kutoka kiwandani hadi sokoni. "Ukivunja mfumo wa kudhibiti hali ya joto, ubora wa bidhaa hauwezi kurejeshwa. Ndiyo maana tuliwekeza katika magari yetu wenyewe ya usambazaji yenye mifumo ya baridi," anasema. Changamoto nyingine ni kuhakikisha ubora wa maziwa unabaki wa kiwango kinachotakiwa, hasa kwa majibini yanayohifadhiwa kwa muda mrefu. Phineas David, anayesimamia udhibiti wa ubora, anasema Brown's Food Company imeanzisha vituo vya kukusanya na kupoza maziwa Embu, Molo na Kinangop ili kuhakikisha ubora unaanzia shambani. Anasema kampuni sasa hupokea hadi lita 35,000 za maziwa kwa siku. Wakulima hupata huduma za mifugo, mafunzo na pembejeo, huku wakilipwa mara mbili kwa mwezi kupitia akaunti zao za benki. "Ubora huanzia shambani. Maziwa yakiharibikia huko, hakuna kiwango cha usindikaji kitakachoyarejesha," anasema. Hata hivyo, kupanda kwa bei ya maziwa, gharama za uzalishaji na ushuru kumeongeza shinikizo kwa kampuni. Hali hiyo imeifanya kuendelea kubuni njia mpya za kuongeza mapato. Kupitia nembo ya Groven Meadow, kampuni hiyo imeingia katika usagaji wa unga wa nafaka asili kama vile mtama, wimbi na aina mbalimbali za maharagwe ili kuhamasisha lishe bora na kuhifadhi bayoanuwai. Aidha, Delia anasema Brown's Food Company imeanza kutathmini uwezekano wa kutengeneza majibini ya mimea kutokana na ongezeko la watu wasioweza kutumia bidhaa zenye lactose. "Kuna watumiaji wasiovumilia lactose, hivyo tunatafuta njia mbadala – kujumuisha mimea bila kuacha misingi yetu ya ubora na uadilifu," anadokeza.
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 09:09:03
Ogiek community decry colonial era land injustices
At least 1,500 members of the Ogiek community have decried decades of unresolved colonial era land injustices and urged the government to expedite redress, saying continued displacement from their ancestral land has condemned generations to social and economic deprivation. Speaking during a meeting held at Kericho Tea Hotel, community members recounted how British colonial authorities...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 09:10:33
Aduma procures six school buses through NG-CDF
Nyakach Member of Parliament Aduma Owuor has procured six new school buses through the National Government Constituencies Development Fund (NG-CDF) in a move aimed at improving transport for learners across the constituency. The buses are scheduled to be officially distributed to schools before the end of the current financial year 2026/2027, marking one of the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 09:14:04
WHO says up to 45 percent of dementia cases could be prevented
The World Health Organization (WHO) on Wednesday released updated global guidelines on reducing the risk of cognitive decline and dementia. Dementia is currently the seventh leading cause of death and one of the major causes of disability and dependency among older people globally; it affects memory, thinking and the ability to perform daily activities. The...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 15 Jul 2026 09:23:28
Government to roll out Sh465 billion strategy to cut animal feed costs
The government is planning to roll out a Sh465 billion National Feed Strategy aimed at reducing the high cost of animal feed, lowering livestock production expenses and boosting Kenyas food security and competitiveness in regional markets. Speaking during the opening of the African Feed Conference and Exhibition (AFEC) 2026 on Wednesday in Nairobi, Head of...
read moreRight Column Content