taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 29 Aug 2026 14:38:32
Kenya, China na Tanzania zaimarisha ushirikiano wa uhifadhi wa wanyamapori
Katika wakati ambapo migogoro kati ya binadamu na wanyamapori inaongezeka, Kenya imeandaa mkutano mkubwa wa kubadilishana uzoefu wa uhifadhi wa bioanuwai kati ya China na Afrika, ukiwa na lengo la kuimarisha juhudi za kulinda wanyamapori, mazingira na jamii zinazotegemea maliasili. Mkutano huo wa China-Africa Biodiversity Conservation Exchange and Training, uliofanyika Nairobi sambamba na maonyesho ya kimataifa ya "Eagle City", uliwaleta pamoja wataalamu wa uhifadhi, maafisa wa serikali, watafiti na mashirika ya kijamii kutoka China, Kenya na Tanzania. Kenya na Tanzania zinashirikiana katika maeneo kadhaa ya uhifadhi wa bioanuwai, jambo linaloruhusu wanyamapori kuhama kwa uhuru kupitia njia zao za asili katika kaunti za Kajiado na Narok. Washiriki wa mkutano huo walijadili mbinu mbalimbali za kukabiliana na vitisho vinavyoongezeka dhidi ya bioanuwai. Miongoni mwa masuala yaliyopewa kipaumbele ni uhifadhi unaoshirikisha jamii, matumizi ya teknolojia kulinda wanyamapori na elimu ya mazingira kwa vijana. Mwenyekiti wa Adept Conservation Network, Eston Murithim, alisema jamii za wenyeji zina mchango mkubwa katika kulinda misitu, mito na maeneo tengefu. Alisema shirika hilo hushirikiana na jamii kupitia mafunzo ya ujuzi, doria za mazingira, uzalishaji wa miche ya miti na programu za uhamasishaji wa mazingira. "Mbinu hii inasaidia kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori huku ikikuza kuishi kwa amani kati ya jamii na wanyama hao," alisema Murithim. Mwanzilishi wa Joy and Hope for Rural Community Foundation nchini Tanzania, Zakayo Lairumbe Kipuyo, alieleza kuwa taasisi yake imekuwa ikihusika katika urejeshaji wa misitu, ulinzi wa njia za kupita wanyamapori na vyanzo vya maji katika eneo la Arusha. Alisema jamii pia zinasaidiwa kupata njia mbadala za kujipatia riziki zisizoathiri mazingira. Kwa upande wake, mtafiti mwandamizi wa Huduma ya Wanyamapori Kenya (KWS), Dkt Duncan Aminga, aliwasilisha mfumo wa uhifadhi wa simba unaotumika Maasai Mara ambapo simba huvalishwa vifaa vya GPS kufuatilia mienendo yao. Teknolojia hiyo husaidia kutoa tahadhari mapema kwa jamii wanapokaribia makazi ya watu, hivyo kupunguza mashambulizi dhidi ya mifugo na mauaji ya kulipiza kisasi dhidi ya simba. Mtaalamu wa faru na duma katika Hifadhi ya Taifa ya Mara, Stephen Kenta, alisema vifaa vya kisasa kama kamera za miale ya joto, vitambulisho vya kielektroniki na kituo cha kisasa cha usimamizi vinatumika kulinda faru. Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Mazingira ya Chongqing nchini China, Liu Ming, alisema China imepiga hatua kubwa katika uhifadhi wa bioanuwai kupitia ufuatiliaji wa viumbe, urejeshaji wa makazi yao na ushiriki wa umma. Alitoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya China na Afrika kupitia kubadilishana utaalamu, teknolojia na mafunzo ya wataalamu wa uhifadhi. Katika mkutano huo, vifaa vya kisasa vya kufuatilia wanyamapori, vikiwemo kamera za infrared na vifaa vya kutambua sauti za ndege, vilitolewa kwa Hifadhi ya Taifa ya Maasai Mara na Adept Conservation Network. Mkutano huo umefanyika wakati mamlaka nchini Kenya zikichunguza vifo vya tembo 18 katika mfumo ikolojia wa Amboseli kati ya Juni na Julai mwaka huu. Wakulima wanne wamekamatwa kuhusiana na madai ya kuhusika katika sumu iliyosababisha vifo hivyo.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 14:00:44
Audit reports give Trans Nzoia County clean bill of health
The Auditor General has commended the Trans Nzoia County Assembly for maintaining clean audit reports, saying the achievement demonstrates its commitment to prudent management of public resources. Speaking during a courtesy call to the Trans Nzoia County Assembly in Kitale, Auditor General Nancy Gathungu said the Assembly had continued to receive clean audit opinions, describing...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 14:04:35
Auditor-General calls for clearance of pending bills before polls
Auditor-General Nancy Gathungu has warned of a looming crisis in post-August 2027 General Election if county governments and all procurement entities are not taken to task to clear pending bills. Speaking in Trans Nzoia, Gathungu urged all procurement entities to ensure that all pending bills are cleared to avoid a scenario where incoming administrations decline...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 14:11:49
Government ready to support farmers to increase milk production, Kagwe
Agriculture Cabinet Secretary (CS), Mutahi Kagwe, has called on dairy farmers in Tharaka Nithi to increase milk production as the government moves to support the establishment of milk processing and value addition facilities in the region. Kagwe said the county currently produces about 57 million liters of milk annually, which he noted was insufficient to...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 29 Aug 2026 13:45:00
President Museveni Pays Tribute to the Late King Oyo of Tooro
It is with profound sadness that Uganda mourns the passing of one of its most remarkable traditional leaders. His Highness Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, the Omukama (King) of Tooro and once the worlds youngest reigning monarch, has passed away at just 34 years old after a brave battle with aggressive cancer. President Yoweri [...] The post President Museveni Pays Tribute to the Late King Oyo of Tooro appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 29 Aug 2026 14:24:42
Family: Why we buried Rosemary Koech at night
The drama surrounding the death and custody of the body of Rosemary Chemutai Koech (also referred to as Rosemary Chemutai Kimwatu), a KCB senior manager, deepened with her parents conducting the burial on Friday night. This was hours after a court stopped the burial. Rosemary, who served as head of data protection in KCBs risk [...] The post Family: Why we buried Rosemary Koech at night appeared first on Kahawatungu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 11:54:17
Varsity opens Sh 580M blue economy research facility
The Jaramogi Oginga Odinga University of Science and Technology blue economy research hub is finally ready for utilization by researchers, the Institutions Vice Chancellor, Prof Emily Akuno, has revealed. Speaking during the handing over of the Sh 580 million research facility, Prof. Akuno disclosed that the construction of the research facility was fully funded by the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 12:59:59
Govt supports marginalized and minority communities, Koskei
The Head of Public Service, Felix Koskei, has reiterated the governments commitment to uplifting the well-being of marginalized and minority communities by supporting them to have access to quality healthcare services, education, and preservation of their rich cultural heritage. Speaking in Rumuruti Town, Laikipia County, during the launch of a two-day Cultural and Tourism Festival, Koskei...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 11:37:35
Religious leaders urged to champion child's welfare
Religious leaders have been urged to take a leading role in promoting care for children by sensitizing communities to the importance of strengthening family ties and ensuring children are nurtured in a safe environment. The call was made during a stakeholders engagement forum held at Word of Faith Church in Kiambu, which brought together government...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 11:47:47
Civil society groups push for police reform ahead of polls
Civil society actors in Kisumu have called for the full implementation of Kenya's 2010 Constitution, with police reform and greater civilian oversight emerging as key priorities as the country moves towards the 2027 General Elections. Speaking during the 16th Katiba Day celebrations, Thursday, lawyer and human rights advocate Willis Otieno said Kenya must rethink the way...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 11:54:17
Varsity opens Sh 580 million blue economy research facility
The Jaramogi Oginga Odinga University of Science and Technology blue economy research hub is finally ready for utilization by researchers, the Institutions Vice Chancellor, Prof Emily Akuno, has revealed. Speaking during the handing over of the Sh 580 million research facility, Prof. Akuno disclosed that the construction of the research facility was fully funded by the...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 12:04:20
TVET, key to economic breakthrough, Ogamba
Technical and Vocational Education Training (TVET) is no longer a second-choice pathway but the strategic lane to industrialization, job creation, and inclusive growth. The Cabinet Secretary (CS) for Education, Migos Ogamba, said under the Bottom-up Economic and Transformation Agenda (BETA), TVETs are no longer being treated as a residual option but as a central pillar...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 29 Aug 2026 11:44:27
Ruto, CSs Make Fresh Government Appointments
President William Ruto and several Cabinet secretaries have made fresh appointments and reappointments to various government boards and institutions. The appointments were announced through a Gazette Notice dated August 28, 2026, with most of the officials set to serve for three years. President Ruto appointed Maj. Gen. (Rtd) William Karisa Shume as the Non-Executive Chairperson [...] The post Ruto, CSs Make Fresh Government Appointments appeared first on Kahawatungu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 29 Aug 2026 10:16:08
Inyangala urges graduates to embrace innovation and continuous learning
The Principal Secretary for Higher Education, Dr. Beatrice Inyangala, has challenged university graduates to embrace innovation, entrepreneurship, and continuous learning as they venture into a rapidly changing world. Speaking during the Murang'a University of Technology (MUT) 10th Graduation Ceremony, Dr. Inyangala reminded the graduates that the degrees they had received were not the destination but...
read moreRight Column Content