taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 07 Jul 2026 06:08:10
Ajabu mwendesha mashtaka kesi ya shambulio dhidi ya Linda Mwananchi kukosa kufika kortini
WASHUKIWA saba waliokamatwa kutokana na shambulio la Ijumaa kwenye msafara wa Linda Mwananchi huko Keumbu, Nyaribari Chache katika Kaunti ya Kisii walishindwa kujibu mashtaka Jumatatu baada ya afisa aliyewakamata na mwendesha mashtaka kukosa kufika mahakamani. Ajabu ni kuwa, hata faili ya kushtakiwa kwao haikuiwasilishwa wakati Hakimu Mkuu Mkazi Caroline Jeruto wa Mahakama za Kisii alitaka kusikia kilichowaleta mahakamani. Kutokana na hilo, aliamuru washukiwa hao warudishwe rumande hadi upande wa mashtaka utakapokuwa tayari kuendelea. Washukiwa hao saba, sita wa kiume na mmoja wa kike, walikamatwa wikendi iliyopita kufuatia machafuko yaliyosababisha kifo cha mtu mmoja na kuacha magari kadhaa yameharibika, ikiwa ni pamoja na gari la Jaji Mkuu wa zamani David Maraga. Mahakama ilikuwa imejaa washukiwa hao walipofikishwa kizimbani, wote wakiwa wameficha sura zao kwa barakoa na sweta zenye kofia wasijulikane. Washukiwa hao wanahusishwa na kundi la Ebirongo, kundi linaloshutumiwa kwa kurusha mawe na kutumia mipini wakati Linda Mwananchi walikuwa wakielekea Keroka. Kabla ya kesi kuanza, Hakimu Jeruto aligutushwa na uwepo wa waandishi wa habari mahakamani. "Nimevutiwa na uwepo wa vyombo vya habari mahakamani. Waandishi, mnataka kesi gani ili niweze kuishughulikia kwanza kabla ya mambo mengine?" aliuliza. Kutokana na ukosefu wa mwendesha mashtaka wala afisa wa kukamata ambao wangeendeleza kesi hiyo, hakimu aliamuru washukiwa wapelekwe kwenye seli hadi pande zote ziwe tayari kuendelea. Kufikia wakati wetu wa kwenda mitamboni, washukiwa walikuwa bado hawajarudi mahakamani. Mara tu baada ya shambulio la kikatili dhidi ya kundi la Linda Mwananchi, video zilisambaa mtandaoni zikionekana kuwaonyesha wanawake na wanaume katika kundi hilo wakiwafukuza wafuasi na kushiriki katika vurugu zilizosababisha kifo. Washukiwa walikamatwa baada ya wapelelezi kukagua video na kuhoji mashahidi. Hakimu aliamuru wazuiliwe katika Kituo cha Polisi cha Kisii. Kuchelewa huko kulisababisha kuchanganyikiwa miongoni mwa jamaa waliofika mahakamani. Linda Mwananchi, vuguvugu la kisiasa linaloongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, limelaani shambulio hilo na kutoa wito wa uchunguzi wa haraka kuhusu kifo na uharibifu huo. Wakati huo huo, amri imetolewa kwa Mbunge wa Nyaribari Chache Zaheer Jhanda kurekodi taarifa baada ya kuhusishwa na machafuko hayo. Polisi wanasisitiza kwamba uchunguzi unaendelea na kukamatwa zaidi kunaweza kutokea. Tukio la Keumbu limezidisha mjadala kuhusu vurugu za kisiasa huko Kisii.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Tue, 07 Jul 2026 05:43:09
eCitizen Warns of SMS Delays for Some Mobile Networks
The government has successfully digitized and onboarded over 22,000 services into a unified system, the ecItizem, with a greater ambition to see 100 per cent transition into the platform by 2023
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 04:54:48
Matt Turner Siblings: Get to Know Michelle Turner
Matthew Charles Turner, born on June 24, 1994, in Park Ridge, New Jersey, is an American professional soccer player who serves as a goalkeeper. He currently plays for Major League Soccer club New England Revolution on loan from Ligue 1 side Lyon and is a key member of the United States mens national team. Turner [...] The post Matt Turner Siblings: Get to Know Michelle Turner appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 04:59:18
Ten arrested in Nairobi as police intensify patrols to block Saba Saba demonstrations
At least ten people were arrested in Nairobi on Tuesday as police mounted a heavy security operation to prevent activists from staging demonstrations to mark the annual Saba Saba anniversary. The arrests were made near the Nairobi Archives and along Wabera Street, where small groups attempting to gather were dispersed by police officers. Both uniformed [...] The post Ten arrested in Nairobi as police intensify patrols to block Saba Saba demonstrations appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 05:15:30
Safaricom Tightens SIM Swap Security as Fraudsters Refine Tactics
SIM swap fraud remains one of Kenyas most dangerous forms of financial crime, allowing criminals to take control of a victims mobile number and gain access to mobile money and banking services. While Safaricom has significantly strengthened its security systems, customers are still being urged to remain vigilant. The fraud typically begins with criminals collecting [...] The post Safaricom Tightens SIM Swap Security as Fraudsters Refine Tactics appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 05:28:55
Gachagua Claims Ol Kalou Residents Being Asked to Surrender IDs for Free Gas Cylinders, Mattresses Ahead of By-election
Former Deputy President Rigathi Gachagua has alleged that residents of Ol Kalou Constituency are being asked to surrender their national identity cards in exchange for free gas cylinders and government-branded mattresses ahead of the July 16 parliamentary by-election. In a statement issued on Tuesday, Gachagua claimed the alleged exercise was aimed at denying eligible voters [...] The post Gachagua Claims Ol Kalou Residents Being Asked to Surrender IDs for Free Gas Cylinders, Mattresses Ahead of By-election appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 05:47:34
Chris Richards Siblings: Meet Mackenzie and Christian Richards
Christopher Jeffrey Richards, born on March 28, 2000, in Birmingham, Alabama, is an American professional soccer player who plays as a center-back for Premier League club Crystal Palace and the United States mens national team. Richards is recognized for his composure on the ball, aerial prowess, tactical awareness, and ability to build play from the [...] The post Chris Richards Siblings: Meet Mackenzie and Christian Richards appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 05:48:51
Marcus Tavernier Siblings: All About James Tavernier
Marcus Joseph Tavernier is an English professional footballer who plays as a midfielder or winger for Premier League club Bournemouth. Born on 22 March 1999 in Leeds, West Yorkshire, he is known for his technical ability, versatility across the attacking midfield positions, pace, and creativity on the ball. Siblings Marcus has one older brother, James [...] The post Marcus Tavernier Siblings: All About James Tavernier appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 04:41:45
Tyler Adams Siblings: Meet the Siblings Squad Behind Football Player
Tyler Shaan Adams is an American professional soccer player who serves as a defensive midfielder for Premier League club Bournemouth. He is also the captain of the United States mens national team. Born on February 14, 1999, in Wappingers Falls, New York, Adams stands out for his exceptional leadership qualities, high work rate, tactical awareness, [...] The post Tyler Adams Siblings: Meet the Siblings Squad Behind Football Player appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 04:44:35
Ryan Christie Siblings: Getting to Know Paige Christie
Ryan Christie is a Scottish professional footballer who plays as a midfielder or winger for Premier League club Bournemouth. He also plays for the Scotland national team. Born on 22 February 1995 in Inverness, Christie has established himself as a versatile and technically gifted player known for his creativity, vision, and ability to contribute both [...] The post Ryan Christie Siblings: Getting to Know Paige Christie appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 04:47:09
Lauren Bennett Net Worth
Lauren Bennett was an English singer, songwriter and performer who had an estimated net worth of $5 million at the time of her death in 2026. She rose to international fame after featuring on LMFAOs global hit Party Rock Anthem, one of the biggest songs of 2011. Bennett also gained recognition as a member of [...] The post Lauren Bennett Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 04:49:46
Justin Kluivert Siblings: Meet Quincy, Shane and Ruben Kluivert
Justin Dean Kluivert, born on May 5, 1999, in Amsterdam, Netherlands, is a professional footballer who plays as an attacking midfielder or winger for Premier League club Bournemouth and the Netherlands national team. He is widely recognized as the son of Dutch football legend Patrick Kluivert and the grandson of former Surinamese international Kenneth Kluivert. [...] The post Justin Kluivert Siblings: Meet Quincy, Shane and Ruben Kluivert appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 03:57:34
Macron safe after explosions in Syrian capital during French president's visit
French President Emmanuel Macron is safe following reports of explosions in central Damascus on Tuesday morning, the Elysee Palace has said. Macron is in the capital for talks with his Syrian counterpart Ahmed al-Sharaa at the presidential palace. A security source told the BBC the blasts were caused by two explosive devices and that several [...] The post Macron safe after explosions in Syrian capital during French presidents visit appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 07 Jul 2026 04:17:11
Samsung profits jump 1,800% as AI chip sales soar
South Korean technology giant Samsung Electronics says it expects to post a 19-fold jump in its profits, driven by global demand for artificial intelligence (AI) memory chips. The company forecast that it made 89.4tn won (£43.6bn; $58.4bn) between the start of April and the end of June, marking its third record quarterly operating profits in [...] The post Samsung profits jump 1,800% as AI chip sales soar appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content