taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 22 Aug 2026 04:55:02
Gachagua ataka FBI ichunguze ajali ya ndege iliyomwangamiza Ng'eno
ALIYEKUWA Naibu Rais, Rigathi Gachagua ametaka maafisa kutoka Scotland Yard ya Uingereza na Shirika la Upelelezi la Amerika (FBI) waalikwe nchini kuchunguza ajali ya helikopta iliyomuua aliyekuwa Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng'eno na watu wengine watano. Bw Gachagua alisema Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kenya (KCAA) haziwezi
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 22 Aug 2026 03:55:05
Walinzi wa Nassir wadaiwa kufyatulia vijana risasi
WATU watatu walijeruhiwa baada ya walinzi wanaodaiwa kuwa wa Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Nassir kufyatua risasi katika hafla ya umma katika Uwanja wa Bomu, Changamwe, Mombasa, Ijumaa alasiri. Tukio hilo lilitokea wakati wa mkutano wa kuhamasisha wananchi kuhusu mpango wa Biashara Mtaani, unaoendeshwa kupitia Hazina ya Mzunguko ya Kaunti ya Mombasa kwa wakazi wa Changamwe na Jomvu. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Mombasa, Stella Cherono alisema uchunguzi umeanzishwa na akawataka wote wenye taarifa kutoa kwa polisi. "Tunachunguza tukio ambapo watu watatu walipigwa risasi na kujeruhiwa katika Uwanja wa Bomu. Tunawaomba wahusika wote kutoa taarifa uchunguzi ukiendelea," alisema Bi Cherono. Alisema vijana hao watatu walijeruhiwa kwa risasi na kukimbizwa katika kituo cha afya kilicho karibu, huku baadhi wakihamishiwa katika Hospitali ya Coast General kwa matibabu zaidi. Walioshuhudia walisema kundi la vijana lilimsogelea gavana likiimba "Wantam", na walinzi wake wakaingilia kati na kufyatua risasi kadhaa. Afisa mmoja aliyekuwa kwenye hafla hiyo alisema polisi waliokota maganda kadhaa ya risasi eneo la tukio. Mwanaharakati wa haki za binadamu, Francis Ouma alilaani tukio hilo na kutaka uchunguzi kufanywa kuhusu matumizi ya bunduki dhidi ya raia. Alitaka IPOA kuchunguza na kubaini waliowafyatulia risasi vijana hao.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 22 Aug 2026 02:55:59
Ajabu mapanga sasa yakigeuzwa silaha kali ya wahuni
MAPANGA yanabadilishwa kutoka zana ya kawaida ya shambani kuwa silaha ya kutisha na kuwashambulia watu, huku ripoti ya kijasusi ikifichua kuwa angalau mapanga 500 yalisambazwa kwa vijana waliozua vurugu wakati wa ziara ya Linda Mwananchi, Homa Bay. Huku joto la kisiasa likipanda kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, vijana wanaobeba mapanga katika mikutano ya hadhara na makabiliano ya kisiasa wamekuwa chanzo cha wasiwasi. Zana iliyokuwa ikitumika hasa mashambani sasa inatumika kama silaha ya vitisho na vurugu. Baadhi ya vijana hata wameunda utamaduni wa mapanga, wakitumia nyimbo na densi kama mapangale, inayoiga kitendo cha kutumia panga kukata au kucharaza. Hali hii inazua swali: Ni rahisi kiasi gani kununua mapanga kwa wingi, na je, Kenya ina sheria za kutosha kudhibiti uuzaji wake? Kwa sasa hakuna mfumo maalum wa leseni unaohitaji kibali ili mtu anunue au kumiliki panga kwa kuwa inatambuliwa kama kifaa cha kilimo na matumizi ya nyumbani. Hata hivyo, inaweza kugeuka haraka kuwa silaha hatari ikitumiwa na mtu mwenye nia mbaya. Mara kadhaa, maafisa wa usalama wamewakamata watu wakisafirisha idadi kubwa ya mapanga yanayoshukiwa kunuiwa kutumiwa katika makabiliano. Jumapili iliyopita, wapelelezi waliwakamata watu wawili waliokuwa na mapanga matano mapya kando ya Barabara ya Ndhiwa, Yamase, Kaunti ya Migori, katika njia iliyotumiwa na msafara wa Linda Mwananchi. Mapanga pia yamehusishwa na makabiliano ya kisiasa Kisumu na Nairobi. Video inayosambazwa mtandaoni inaonyesha watu wakikabidhiwa panga na Sh1,000 kwa kazi ambayo haijaelezwa. Matukio hayo yanaibua maswali kuhusu idadi ya mapanga ambayo mtu anaweza kununua kwa wakati mmoja, iwapo maduka yanapaswa kurekodi ununuzi wa mapanga mengi na hatua zinazochukuliwa kuzuia zana hizo kuingia mikononi mwa wahalifu. Pengo hilo limewaacha baadhi ya wafanyabiashara wakitumia uamuzi wao wenyewe. Fred Ogolla, mmiliki wa duka la vifaa vya ujenzi Kondele, Kisumu, huruhusu mteja kununua mapanga mawili pekee kwa wakati mmoja na hayabandiki hadharani katika duka lake. "Mtu akija kwangu kununua mapanga zaidi ya mawili, simruhusu," alisema Bw Ogolla.Alisema uamuzi huo unatokana na dhamiri yake. "Kama Mkristo, nahisi nitakuwa mshirika wa uhalifu. Ikiwa panga itatumiwa kufanya uhalifu au kusababisha kifo, sitaweza kuishi na jambo hilo," alisema. Audi Ogada, mwenyekiti wa Kisumu Residents Voice Association na mwanachama wa zamani wa genge, alisema ujasiri wa vijana kubeba na kutumia mapanga kuwashambulia watu ni jambo la kutia wasiwasi. Alisema ingawa kuna sheria zinazodhibiti kubeba silaha hadharani, hakuna udhibiti wa kutosha kuhusu ununuzi wa mapanga kwa wingi. Hata hivyo, maafisa wa usalama wanasema tayari wanachukua hatua kukabiliana na tatizo hilo. Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Mohamed Mwabudzo alisema maafisa huwa macho zaidi kabla ya mikutano ya kisiasa na wakati wa kampeni za uchaguzi. "Tunategemea mitandao yetu ya kijasusi. Tunaposhuku kuwa kuna shughuli haramu au ununuzi unaofanywa, tunatoa tahadhari na kuchukua hatua kabla ya jambo kutokea," alisema. Alisema maafisa wa usalama wanaweza pia kushirikiana na maduka ya vifaa vya ujenzi ili yaripoti ununuzi unaotia shaka. Bw Mwabudzo pia aliwataka wananchi kuripoti wanapoona ununuzi wa mapanga kwa wingi. Alisema mtu anayebeba au kutumia panga hadharani anaweza kukamatwa iwapo polisi wataamua kuwa linatumika kama silaha hatari.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 20:24:44
Ex-Abercrombie & Fitch chief fit to stand trial in sex trafficking case, judge says
Former CEO of Abercrombie Fitch Mike Jeffries is competent to stand trial on sex trafficking and prostitution charges, a federal court has ruled, reversing an earlier decision. Jeffries was declared mentally incompetent by a court last year and said to be suffering with dementia and late onset of Alzheimers disease. Based on an examination [...] The post Ex-Abercrombie Fitch chief fit to stand trial in sex trafficking case, judge says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 20:37:21
Ethiopia's Virgin Mary festival in Tigray cancelled over drone strike fears
A major cultural and religious festival celebrating women and the Virgin Mary in northern Ethiopia has been cancelled in Mekelle, the main city in the Tigray region, over fears it may be targeted in drone attacks. The focal point of Ashenda festival, which traditionally draws thousands of young women dressed in their finery, was to [...] The post Ethiopias Virgin Mary festival in Tigray cancelled over drone strike fears appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 20:48:04
Russell on pole position for Dutch GP sprint race
Mercedes George Russell took his first pole position for four races in qualifying for the sprint race at the Dutch Grand Prix. The Briton, trailing Mercedes team-mate Kimi Antonelli by 59 points in the championship, was 0.041 seconds quicker than McLarens Lando Norris in second. Antonelli could manage only fifth, behind Ferraris Charles Leclerc and [...] The post Russell on pole position for Dutch GP sprint race appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Fri, 21 Aug 2026 21:00:00
Let the games begin: IEBC gazettes 2027 election calendar amid opposition concerns over preparedness
IEBC has gazetted the 2027 election calendar, setting key deadlines for voter registration, party primaries, nominations and campaigns.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 20:05:28
Corruption charges dropped against South Africa's police intelligence boss
South African prosecutors have withdrawn fraud and corruption charges brought against criminal intelligence chief Lt-Gen Dumisani Khumalo and six other police officers. He and his colleagues were arrested in June 2025 over the allegedly unlawful appointment of a civilian to a key post within the intelligence unit. They denied the charges and were not suspended. [...] The post Corruption charges dropped against South Africas police intelligence boss appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 20:09:35
Prince Harry and six others ordered to pay initial £9.5m to Daily Mail publisher
Prince Harry and a group of six other high-profile figures have been ordered to make an initial payment of £9.54m in legal costs to the Daily Mails publisher after they lost their High Court privacy case. The seven claimants, also including Sir Elton John and Liz Hurley, must pay the initial figure by 28 August [...] The post Prince Harry and six others ordered to pay initial £9.5m to Daily Mail publisher appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 20:12:49
Pakistan ex-PM Imran Khan back in jail after hospital examination
Pakistans former Prime Minister Imran Khan was moved back to prison early on Friday after being examined by doctors at a hospital in Islamabad, who deemed him medically fit. Khan was seen by a team of qualified doctors including an ophthalmologist, a cardiologist and a physician, Pakistans Information Minister Attaullah Tarar said. The Supreme Court [...] The post Pakistan ex-PM Imran Khan back in jail after hospital examination appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content