taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 13 Aug 2026 07:55:17
Timamy amkosoa Marubu kwa kujitenga na UDA: 'Ungeondoka bila kunichafulia jina'
GAVANA wa Lamu, Issa Timamy amemsuta Mbunge Mwakilishi wa Wanawake eneo hilo, Bi Muthoni Monica Marubu kwa kutangaza kukatiza uhusiano wake na chama tawala cha UDA. Jumanne, Bi Marubu aliuandikia barua uongozi wa chama hicho kutangaza kukatiza ushirika wake kutokana na kile alichodai ni kudhalilishwa, kudharauliwa na kutatizwa na Bw Timamy ambaye pia ndiye Naibu Kiongozi wa UDA. Kwenye barua hiyo ambayo alimwandikia rasmi Bw Timamy na pia kumtumia mwenyekiti wa bodi ya uchaguzi wa UDA, Bw Anthony Mwaura, Bi Marubu alimlalamikia gavana Timamy kwa kuendeleza ubaguzi peupe. Bi Marubu alitaja mwezi Aprili mwaka huu ambapo alipewa jukumu la kutafuta ufuasi wa chama cha UDA eneo la Lamu wakati uchaguzi wa mashinani ulipokuwa ukiandaliwa. "Licha ya mimi kwamba si mwanachama wa UDA kwani nilichaguliwa mbunge kupitia tiketi ya mgombea huru, nilitii amri ya Rais Ruto na kuendeleza kampeni za kutafuta ufuasi wa chama ambacho hata hakikuwa na kiongozi yeyote aliyechaguliwa kupitia UDA Lamu 2022," akalalamika. Aliongeza, "Gavana nilijaribu kukupigia simu mara sita lakini hukupokea wala kunijibu lolote. Miezi mitatu nikaendeleza kampeni za mashinani tukisajili wafuasi wa UDA. Ila uchaguzi ulipoandaliwa mashinani baadaye hukuufurahia." Bi Marubu aliweka wazi kwamba uhusiano kati yake na Bw Timamy ni mgumu, hivyo ni vyema kwake akatize ushirikiano wake na chama hicho tawala. "Kwa sababu wewe ni Naibu Kiongozi wa chama, pokea hili kutoka kwangu, kwamba kuanzia leo nimekatiza ushirika wowote kati yangu na UDA. Hutaniona mimi na wafuasi wangu tukijihusisha na mikutano ya UDA. Hata wale wafuasi ambao mimi niliwaandikisha kwenye rejista ya chama unaweza kuwafuta na utafute wako binafsi kuwasajili," akasema Bi Marubu. Akimjibu Bi Marubu, Bw Timamy alimtaka mbunge huyo kukoma kumchafulia jina, akitaja lalama zake kuwa zisizo na ukweli wowote. Bw Timamy alishikilia kuwa Bi Marubu alikuwa akitafuta tu sababu za kujiondoa kwenye chama hicho cha UDA, chama ambacho hata (Marubu) si mwanachama bado. "Kwa nini afanye hivyo kwa kunichafulia jina? Madai yote aliyoweka kwenye barua hayana msingi wala ukweli wowote. Kenya ni nchi ya demokrasia. Tunasikitika kwamba amejiondoa UDA, ila tunaheshimu maamuzi yake. Cha msingi kwake ni kwamba afahamu UDA itasalia kuwa imara, yenye nguvu na umaarufu," akasema Bw Timamy. Tangazo la Bi Marubu hata hivyo limepokelewa kwa hisia mseto na wakazi wa Lamu. Kiongozi wa vuguvugu la vijana la Lamu, Bw Issack Yunus alimpongeza Bi Marubu kwa maamuzi yake akisema watamuunga mkono kumchagua wadhfa wowote atawania kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2027. "Sisi tulimchagua 2022 kuwa Mbunge Mwakilishi wa Wanawake kama mgombea huru. Kujitenga na chama cha UDA ni sawa. Yeye ni kiongozi mzuri. Tutamchagua bado. Sisi hatuangalii chama, tunamwangalia yeye kama kiongozi mchapakazi," akasema Bw Yunus. Naye Bi Nancy Mugo alitaja hatua ya Bi Marubu kujiondoa UDA kuwa mwanzo na mwisho wa kuanguka kwake. "Tumesalia na mwaka mmoja pekee kujitosa uchaguzini ilhali yeye ameanza kuruka huku na kule. Sidhani atachaguliwa tena," akasema Bi Mugo.
read morekenyanews.go.ke
@kna Thu, 13 Aug 2026 07:16:38
Farmers receive Sh 6.75 million farm inputs
A non-governmental organization has donated farm inputs worth Sh6.75 million to farmers in North Gem ward, Siaya county. Speaking during the distribution of the inputs, Mentors International Kenya team led by director Erick Onyango and Evans Ojwang' said 300 farmers from across all the sub locations in the area will each receive inputs enough to...
read morekenyanews.go.ke
@kna Thu, 13 Aug 2026 07:18:39
Construction of new stadium to begin this month
Construction of the 10,000-seater Kipchamba Stadium in Bomet County within Nyangores Ward, Chepalungu Sub-County, is set to officially commence this week on Friday, in a development that will avail the much needed facility to area residents. Defence Principal Secretary Patrick Mariru confirmed the commencement date during a site visit at the proposed stadium site on...
read morekenyanews.go.ke
@kna Thu, 13 Aug 2026 07:20:04
President Ruto calls for people-driven long-term national development plan beyond Vision 2030
President William Ruto has called for the development of a new long-term national development vision beyond 2030, saying Kenya must plan for future generations rather than allow electoral cycles and changes in administration to determine the country's development priorities. The president further proposed the need for a new vision had become urgent because the current...
read morekenyanews.go.ke
@kna Thu, 13 Aug 2026 07:23:04
Co-op Bank records Sh23.1billion half-year profit on strong lending growth
Co-operative Bank of Kenya has posted a record Sh23.1 billion profit before tax for the first half of 2026, representing a 17.3 per cent increase from Sh19.7 billion recorded during a similar period last year. According to their half-year Financial results report released on Wednesday 12th August, the lender said the performance was its best-ever...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:28:03
Kenya Ranked World's Top Country in AI Usage at 97.5 Percent
Kenya has emerged as the world's leading country in artificial intelligence (AI) usage, highlighting the rapid adoption of AI-powered tools and services among internet users. According to the Digital 2026 Mid-Year Global Update Report, 97.5 percent of Kenyan internet users aged 16 and above use AI, placing the country ahead of other markets surveyed globally. [...] The post Kenya Ranked World's Top Country in AI Usage at 97.5 Percent appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:30:14
KCB Group Raises Interim Dividend by 50% to Sh3 per Share
KCB Group has increased its interim dividend by 50 percent to Sh3 per share for the six months ended June 2026, following a strong improvement in earnings. The lender will pay shareholders a total of Sh9.64 billion, compared with Sh2 per share distributed during the corresponding period last year. The increased payout comes as KCB [...] The post KCB Group Raises Interim Dividend by 50% to Sh3 per Share appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:32:44
Sanlam Allianz Kenya profit rises to Sh124.6 million
Listed non-bank financial services provider Sanlam Allianz Holdings (Kenya) has more than quadrupled its net profit for the first half of 2026, supported by higher insurance revenue and continued efforts to control operating costs. The company posted a net profit of Sh124.6 million for the six months ended June 30, 2026, up from Sh30.9 million [...] The post Sanlam Allianz Kenya profit rises to Sh124.6 million appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:01:00
Zion Williamson Net Worth
Zion Williamson has an estimated net worth of $70 million. The American professional basketball player built his wealth through his NBA career with the New Orleans Pelicans, a lucrative rookie-scale contract extension and major endorsement deals, most notably with Nike. Williamson became one of the most highly anticipated basketball prospects of his generation before entering [...] The post Zion Williamson Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:08:01
Emeka Okafor Net Worth: NBA Salary, Contracts and Career Earnings
Emeka Okafor has an estimated net worth of $30 million. The American former professional basketball player built his wealth primarily through his NBA career, where he earned nearly $90 million in salary over 10 seasons. Okafor was selected second overall by the Charlotte Bobcats in the 2004 NBA Draft, becoming the first draft pick in [...] The post Emeka Okafor Net Worth: NBA Salary, Contracts and Career Earnings appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:13:21
How to Check Debit Orders on Nedbank App
Knowing how to check debit orders on the Nedbank app is useful when you want to monitor automatic payments, identify unexpected deductions, or keep track of your monthly financial commitments. The Nedbank Money app allows you to review transactions on your account and manage certain debit-order information from your cellphone. Open the Nedbank Money App [...] The post How to Check Debit Orders on Nedbank App appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:17:09
How to Check Facebook Password
Knowing how to check your Facebook password can be useful if you have forgotten it and want to access your account on another device. Facebook does not normally display your current password inside the Facebook app or website. However, if you previously saved the password on your phone or browser, you may be able to [...] The post How to Check Facebook Password appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:19:11
How to Check FNB Airtime Balance
Knowing how to check FNB airtime balance is useful when you want to see how much airtime you have available before making calls, sending SMS messages, or using other mobile services. FNB provides cellphone banking and digital banking options that can help you manage airtime and other account services conveniently. Open FNB Cellphone Banking Start [...] The post How to Check FNB Airtime Balance appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:21:09
How to Check FNB eWallet
Knowing how to check FNB eWallet is useful when you want to confirm whether an eWallet has been received, check its status, or find information about a transaction. FNB provides options for managing eWallet transactions through its digital and cellphone banking services. Open the FNB App Start by opening the FNB app on your smartphone [...] The post How to Check FNB eWallet appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 06:23:52
How to Check Hollywoodbets Results
Knowing how to check Hollywoodbets results is useful when you want to find out the outcome of a sports bet or check the results of completed sporting events. Hollywoodbets provides several ways to view results, including through its website and mobile services. Always check the specific event, date, and competition to make sure you are [...] The post How to Check Hollywoodbets Results appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content