taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 07 Oct 2026 12:20:38
Gavana alivyojitokeza mbele ya seneti bila mwaliko na kuzua mdahalo
GAVANA wa Kaunti ya Isiolo, Abdi Guyo, alifika mbele ya kamati ya seneti pasipo ajenda rasmi, mwaliko wala tarehe ya kikao na kuweka utangulizi unaowapa mwanya wakuu wa kaunti kuamua kuhusu ni lini na jinsi ya kujitokeza mbele ya seneti. Gavana Guyo ambaye wakati wa kujitokeza kwake alikuwa angali chini ya kibali cha kukamatwa aliendelea kuwasilisha majibu ya usimamizi wake kwa maswali yaliyoulizwa na mkaguzi mkuu hatua ambayo ni kinyume cha sheria na kanuni za bunge. Kulingana na katiba, ajenda rasmi almaarufu Nakala ya Taratibu inapatia kamati ya bunge mamlaka ya kuketi na kuendesha shughuli zake chini ya ratiba rasmi. Kuwasilisha kiholela masuala, nakala au mjadala bila notisi ya awali ni sawa na kukiuka kanuni isipokuwa tu wanakamati wanapopitisha hoja maalum ya kufanyia marekebisho ajenda husika. Kipengee 125 cha Katiba kinatoa mwongozo maalum unaotumika na kamati ambapo shahidi (au gavana) anapaswa tu kujitokeza kufuatia mwaliko rasmi, amri kisheria au notisi inayotolewa na katibu wa kamati kwa niaba ya mwenyekiti. Gavana wa Isiolo alijiwasilisha mbele ya Kamati ya Seneti kuhusu Ukaguzi wa Hesabu za Umma (CPAC) katika kikao Jumanne wiki iliyopita badala ya kusubiri kuwasilishwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja. Kwa kawaida, Inspekta Jenerali anahitajika kisheria kukamata na kuwasilisha gavana anayekaidi amri ya kufika mbele ya kamati wakati kibali cha kumkamata kinapotolewa. Gavana huyo alisusia mara kadhaa kuhudhuria vikao na kukaidi maagizo ya seneti kujibu maswali ya ukaguzi kuhusu fedha zilizotengewa kaunti ya Isiolo na kumlazimu Mwenyekiti wa CPAC, Moses Kajwang, kuamuru akamatwe mnamo Julai 2026. Alipojitokeza hata hivyo, Gavana aliomba msamaha ambapo Naibu Mwenyekiti wa CPAC, Seneta Samson Cherargei aliyeongoza kikao hicho, aliondoa kibali cha kumkamata baada ya kuthibitisha Bw Guyo amelipa faini ya Sh500,000. "Ninaomba msamaha kamati hii kwa nyakati nilizokosa kujitokeza. Kila niliposhindwa kuhudhuria niliandika barua rasmi…nimelipa faini ya Sh500,000 kwa katibu kutoka mifukoni mwangu binafsi," alisema Gavana Guyo. Naibu Mwenyekiti wa kamati alifafanua kuhusu hali isiyo ya kawaida ya kikao hicho akihoji kwamba CPAC ilipaswa kutilia maanani masuala ya wajibikaji badala ya taratibu akinukuu sheria kuhusu haki ya kusikizwa. "Maadamu gavana amelipa faini kutoka mfukoni mwake binafsi na amejiwasilisha, gavana ameondolewa kibali cha kumkamata," alitangaza. "Gavana unafahamu hali ya kipekee kuhusu kikao hiki. Ni kwa sababu ulikuwa chini ya kibali cha kukukamata. Ndiposa hakuna mwaliko, tarehe ya kikao na ajenda." Seneta wa Kitui, Enoch Wambua alisema kwa kuwa mkutano na Bw Guyo haukoordheshwa kwenye ajenda ya siku hiyo, angeshirikishwa tu chini ya "shughuli nyingine yoyote," akielezea wasiwasi kwamba magavana watarajiwa akiwa mmoja wao kama anayemezea mate ugavana, huenda wakatumia vibaya tukio hilo.
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 07 Oct 2026 11:59:19
Kiambu Speaker hosts EU political delegation
The Speaker of the Kiambu County Assembly Charles Thongo on Tuesday hosted a high-level European Union Political Affairs delegation, including deputy ambassadors, deputy heads of commissions and heads of programmes from member states, led by Dr Cristina Barrios, Head of Political, Press and Information Systems. The visit sought to give the European Union officials a...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 07 Oct 2026 11:59:24
Safaricom launches Shari'ah-compliant investment product
Safaricom PLC has expanded its suite of financial technology offerings with the formal launch of Ziidi Shari'ah, a specialized collective investment scheme tailored to deliver accessible, liquid, and faith-aligned wealth management options to millions of retail investors across the country. The new product, developed in strategic partnership with GulfCap Investment Bank following regulatory clearance from...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 11:54:38
Dmytro Riznyk Siblings: Remembering Serhii Riznyk
Dmytro Hryhorovych Riznyk is a Ukrainian professional footballer who plays as a goalkeeper for Shakhtar Donetsk in the Ukrainian Premier League and the Ukraine national team. Born on 30 January 1999 in the village of Andriivka in Ukraine's Poltava region, he stands approximately 1.91 metres tall and developed through the youth system of local club [...] The post Dmytro Riznyk Siblings: Remembering Serhii Riznyk appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 12:00:16
Dragiša Gudelj Siblings: Meet Nemanja and Vanja Gudelj
Dragiša Gudelj, also known as Dragi, is a Serbian retired professional footballer born on 8 November 1997 in Breda, Netherlands. He holds dual Serbian and Dutch citizenship. The son of former professional footballer Nebojša Gudelj, he grew up in a sporting family and developed through the youth ranks in the Netherlands before pursuing a senior [...] The post Dragiša Gudelj Siblings: Meet Nemanja and Vanja Gudelj appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 12:01:29
Becky Lynch Siblings: Get to Know Richy Quin
Rebecca Quin, better known by her ring name Becky Lynch, is an Irish professional wrestler, actress, and writer born on January 30, 1987, in Limerick, Ireland, and raised primarily in Dublin. She has been signed to WWE since 2013 and is widely recognized as one of the most popular and accomplished performers of her generation, [...] The post Becky Lynch Siblings: Get to Know Richy Quin appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 10:46:51
Murkomen says gov't has stepped up security operations in Samburu, Meru, Isiolo
The Government has intensified security operations in Samburu, Meru and Isiolo counties to curb banditry, cattle rustling and the illegal possession of firearms, Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has said. Appearing before the Departmental Committee on Administration and Internal Security, Murkomen said the security situation in the three counties had improved, although challenges persisted in [...] The post Murkomen says govt has stepped up security operations in Samburu, Meru, Isiolo appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 11:06:13
Ebola contacts rise to 57 as Kenya intensifies tracing Efforts
Kenya has identified 57 contacts linked to the country's first confirmed imported Ebola case, as health authorities intensify efforts to trace and monitor those who may have been exposed to the virus. The Ministry of Health said the number of contacts had increased from the initial 55 after two additional people were identified. Of the [...] The post Ebola contacts rise to 57 as Kenya intensifies tracing Efforts appeared first on Kahawatungu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 07 Oct 2026 10:18:46
Woman Rep questions 27 per cent FGM figure, warns against misrepresentation of Igambang'ombe
Tharaka-Nithi Woman Representative Susan Ngugi has challenged the reported 27 per cent Female Genital Mutilation (FGM) prevalence in Igambang'ombe, calling for credible and verifiable data on the practice. Ngugi, who is eyeing the Tharaka-Nithi gubernatorial seat in the 2027 General Election, said she had not heard of anyone in Igambang'ombe being arrested by police or...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 07 Oct 2026 10:21:14
Trans Nzoia targets to plant 85,000 trees during Mazingira Day Celebrations
Trans Nzoia County is targeting to plant 85,000 trees during this years Mazingira Day celebrations, with fruit trees forming part of the campaign to promote both environmental conservation and food security. Speaking during a tree-planting exercise to mark the start of Mazingira Week at Matisi Senior School and Endebess Primary School, Trans Nzoia County Commissioner...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 10:39:37
Senator, MPs Raise Alarm Over Harambee Stars Allowances and FKF Crisis
Senators and Members of Parliament have raised concerns over unpaid allowances, welfare challenges and administrative gaps affecting Harambee Stars players and technical staff amid ongoing governance disputes within the Football Kenya Federation (FKF). Nandi Senator Samson Cherarkey has sought Senate intervention over delayed allowances, logistical shortcomings and administrative challenges affecting the national football team. In [...] The post Senator, MPs Raise Alarm Over Harambee Stars Allowances and FKF Crisis appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content