kahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 04:50:37
Lou Holtz Net Worth
Lou Holtz was an American football coach, television analyst and motivational speaker who had an estimated net worth of $12 million at the time of his death on March 4, 2026. He was one of the most recognizable and successful coaches in college football history, best known for leading the Notre Dame Fighting Irish to [...] The post Lou Holtz Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 07 Oct 2026 04:55:28
Hospitali za kaunti 37 zakaukiwa dawa
HOSPITALI za umma katika kaunti kadhaa zinakabiliwa na uhaba wa dawa muhimu na vifaa vya matibabu huku baadhi ya serikali za kaunti zikitenga fedha nyingi kwa safari na makongamano kuliko ununuzi wa dawa. Hali hiyo imechangiwa na deni la Sh3.7 bilioni ambalo kaunti zinadaiwa na Mamlaka ya Usambazaji wa Dawa (Kemsa), huku baadhi ya madeni hayo yakilimbikiza kwa miaka mitatu.Kutokana na madeni hayo, hospitali katika kaunti 37 zinakumbwa na changamoto za usambazaji wa dawa katika miezi ya hivi punde.Ripoti ya Mdhibiti wa Bajeti (CoB) ya utekelezaji wa bajeti za kaunti kwa mwaka wa kifedha wa 2025/2026, ilikosoa kaunti hizo kwa kutotanguliza ununuzi wa dawa na vifaa vya matibabu.Ripoti hiyo ilisema kaunti nyingi hazikutenga fedha za kutosha kununua dawa licha ya kukusanya mabilioni ya fedha kutoka kwa vituo vya afya.Kwa kipindi hicho, kaunti zote 47 zilikusanya Sh40.40 bilioni kutokana na huduma za afya, karibu nusu ya Sh96.08 bilioni zilizokusanywa kupitia mapato ya ndani."Katika kaunti kadhaa, fedha zilizotengwa kwa dawa muhimu na vifaa vya matibabu hazikutosha ikilinganishwa na mahitaji ya vituo vya afya vya umma," ilisema ripoti hiyo.Badala yake, baadhi ya kaunti zilitumia fedha katika safari za ndani na nje ya nchi, marupurupu makubwa na matumizi mengine yaliyotajwa kuwa ubadhirifu.Ripoti ilionyesha kuwa ni kaunti 10 pekee zilitenga kiasi kikubwa cha fedha kwa ununuzi wa dawa na vifaa vya matibabu.Nakuru ilitumia Sh377.8 milioni, Kilifi Sh374 milioni, Mandera Sh330 milioni, Murang'a Sh306 milioni na Tana River Sh303 milioni. Wajir ilitumia Sh265 milioni, Nandi Sh251 milioni, Homa Bay Sh200 milioni, Kirinyaga Sh157.5 milioni na Vihiga Sh72.5 milioni.Mdhibiti wa Bajeti, Dkt Margaret Nyakang'o, alizitaka kaunti kutanguliza ununuzi wa dawa na kutumia takwimu za magonjwa na uzito wa shughuli kupanga bajeti za afya.Wakati huo huo, Kemsa imeonya kuwa madeni hayo yameathiri uwezo wake wa kulipa wasambazaji na kujaza bidhaa katika mabohari yake.Miongoni mwa kaunti zinazodaiwa pesa nyingi ni Nairobi iliyo na deni la Sh254 milioni, Kilifi Sh234 milioni, Turkana Sh229 milioni na Tharaka-Nithi Sh186 milioni.Kajiado na Pokot Magharibi ndizo kaunti mbili pekee ambazo hazina deni la Kemsa.Hali hiyo imezua wasiwasi kuhusu utekelezaji wa huduma ya afya kwa wote, kwani wagonjwa wanaweza kulazimika kununua dawa kwa kuwa hazipatikani hospitalini.Kaunti ya Kwale pia imekosolewa baada ya kubainika kuwa inadaiwa na Kemsa na wasambazaji wengine Sh351 milioni, huku deni lake la Kemsa likiwa Sh122 milioni.Hata hivyo, Gavana Fatuma Achani alisema kaunti hiyo imetenga Sh100 milioni kwa ununuzi wa dawa na inapanga kuongeza Sh100 milioni kupitia bajeti ya ziada."Tuna dawa za kutosha. Kwa sasa tuna Sh100 milioni, lakini tayari tumeweka bajeti ya ziada ya Sh100 milioni," alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 04:26:44
Bob Stoops Net Worth
Bob Stoops is an American football coach with an estimated net worth of $18 million. He is best known for his long tenure as head coach of the University of Oklahoma Sooners, where he built one of the most successful programs in college football. Stoops coached Oklahoma from 1999 through 2016 and led the team [...] The post Bob Stoops Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 04:28:02
Two children drown in Baringo pond
Two young children drowned after they were found floating in a pond in Kimoriot Location, Baringo County. The bodies of the boy aged two, and girl aged three, were discovered on October 5, 2026, at about 4pm. According to police, the bodies were found floating in a pond by locals. The children's bodies were retrieved [...] The post Two children drown in Baringo pond appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 04:31:34
Paramount takes over Warner Bros in $110bn Hollywood merger
Paramount Skydance has officially taken over Warner Bros Discovery in a $110bn merger that is set to reshape Hollywood and the media landscape. The takeover merging two of the biggest studios in Los Angeles comes after months of legal disputes and widespread criticism over feared cuts and consolidation could harm competition and consumers. [...] The post Paramount takes over Warner Bros in $110bn Hollywood merger appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 04:36:10
ODM says Oburu Oginga is well, dismisses social media reports on his health
The Office of ODM Party Leader Dr Oburu Oginga has dismissed reports circulating on social media regarding his health, describing them as false and malicious. In an official communiqué issued by the Dr Oburu Oginga Secretariat on Tuesday, the office said the veteran politician was "well, safe, and in good spirits." The statement said Oburu [...] The post ODM says Oburu Oginga is well, dismisses social media reports on his health appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 04:37:53
Barry Switzer Net Worth
Barry Switzer is a former American football coach with an estimated net worth of $7 million. He is one of the most successful coaches in American football history, having won national championships at the college level and a Super Bowl in the NFL. Switzer coached football at an elite level from 1962 to 1997. He [...] The post Barry Switzer Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 07 Oct 2026 04:15:32
Kirby Smart Net Worth
Kirby Smart is an American football coach with an estimated net worth of $50 million. He is best known as the head coach of the University of Georgia Bulldogs, where he has built one of the most successful college football programs in the country. Smarts wealth has been driven largely by his coaching career, particularly [...] The post Kirby Smart Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content