taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 03 Oct 2026 11:11:27
Yafichuka rubani alishambulia mwenzake kwa shoka ndege ikiwa angani
Rubani mwenza wa ndege ya Flydubai iliyokuwa ikielekea Israel alijaribu kuteka ndege hiyo baada ya kumshambulia rubani kwa shoka akiwa angani, mwendesha mashtaka mkuu wa Falme za Kiarabu amesema. Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Dubai kuelea Tel Aviv ikiwa na zaidi ya abiria 170. Takribani saa mbili na nusu baada ya kuondoka, ilianza kushuka kwa kasi umbali wa karibu futi 17,000, hali iliyozua hofu kubwa miongoni mwa abiria. Rubani mkuu, Kapteni Smit Machchhar, ambaye alijeruhiwa katika shambulio hilo, alisema alijikuta amelala sakafuni akiwa amejeruhiwa alipogundua ndege ilikuwa ikipoteza mwelekeo. "Nilijiambia lazima nijaribu mara ya mwisho kufungua mlango kutoka ndani," alisema, hatua iliyowaruhusu baadhi ya abiria kuingia kwenye chumba cha marubani na kusaidia kudhibiti hali. Baada ya mshambuliaji kushindwa nguvu, marubani wawili wa akiba waliokuwa ndani ya ndege walifanikiwa kuitua salama nchini Saudi Arabia. Mamlaka za UAE zimesema uchunguzi unaendelea kubaini chanzo na sababu za tukio hilo. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema mshukiwa huyo ni raia wa Oman. Vyombo mbalimbali vya habari vimemtaja kuwa Hamam al-Hammami. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Amerika, alipokuwa akifanya kazi katika shirika la ndege la Oman Air, aliondolewa kwenye mafunzo ya urubani kutokana na wasiwasi kuhusu misimamo yake mikali ya kidini. Netanyahu alisema baada ya kushindwa kutekeleza mpango wake, mshukiwa huyo aliendelea kupiga kelele akisema, "Niueeni, niueeni." Aliongeza kuwa dalili zinaonyesha mshukiwa alikuwa na nia ya kuangusha ndege hiyo. Abiria mmoja, Almog Itali, alisema alihisi ndege ikishuka kwa kasi. "Ghafla, ndege ilianza kushuka kwa nguvu kubwa kwa sekunde kadhaa kabla ya kutulia na kisha kuanza tena kushuka," alisema. Kwa mujibu wa Rais wa Israel Isaac Herzog, mwanamke mmoja Mwisraeli aliyekuwa ndani ya ndege ndiye aliyegundua mtafaruku uliokuwa ukiendelea kwenye chumba cha marubani na kupiga kamsa. Abiria kadhaa waliingia ndani ya chumba hicho na kufanikiwa kumzuia mshambuliaji aliyekuwa akijaribu kuharibu vifaa vya kuongoza ndege. Kapteni Machchhar amelazwa hospitalini Abu Dhabi na ameripotiwa kuwa katika hali nzuri na anaendelea kuimarika. Serikali ya India pia imethibitisha kuwa afya yake inaendelea kuimarika baada ya kujeruhiwa katika tukio hilo ambalo limetajwa kuwa liliepusha janga kubwa la angani.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Sat, 03 Oct 2026 09:46:30
Kibaki's nostalgia: Why Ndiritu Muriithi always seeks inspiration from his famous uncle
Ndiritu Muriithi takes the Kenya Reform Party leadership, drawing on Kibaki-era economic lessons to champion manufacturing, fiscal discipline and mass production ahead of the 2027 elections.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 10:18:09
Moi and Eldoret varsities staff join lecturers' strike
Lecturers at the University of Eldoret and Moi University have joined a nationwide strike by public university academic staff, demanding the implementation of the 2025-2029 Collective Bargaining Agreement (CBA) and payment of their salaries through the Exchequer. The two Universities Academic Staff Union (UASU) chapters said they would remain on strike until the government addresses...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 10:26:21
Likoni youth challenged explore potential in tech industry
Youths in Likoni sub county, Mombasa county have been challenged to turn the digital revolution into a source of employment, income and improved livelihoods by acquiring skills that can open doors to the rapidly growing online economy. Speaking at Shikaadabu, Likoni, during the induction of the second cohort of the Free Computer Training Programme, State...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 10:28:45
Kawaya defends Sh2 trillion Dangote refinery project in Lamu
Mwala MP and UDA National Organising Secretary Vincent Musyoka Kawaya has defended the proposed Sh2 trillion Dangote oil refinery in Lamu, urging leaders to support investments aimed at creating jobs and strengthening Kenya's economy. Speaking in Mlolongo during an economic empowerment event, Kawaya said the refinery, projected to create up to 60,000 jobs and process...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 10:52:22
Suba man documents history, heritage of the Suba-Abamohoro
Kenya stands as a culturally rich nation shaped by distinct Bantu, Nilotic, and Cushitic migrations, with 43 officially recognised tribes within its borders shaping its customs, languages and traditions. Over time, both colonial authorities and post-independence Kenyan governments worked to unite these diverse groups under a single national identity, symbolized by the national flag with...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 09:44:45
Learning paralyzed as Murang'a University workers strike
Learning and other operations at Murang'a University of Technology were paralyzed Friday after workers downed their tools, demanding the conclusion and implementation of the 2025–2029 Collective Bargaining Agreement (CBA). The workers, drawn from the Universities Academic Staff Union (UASU), Kenya Universities Staff Union (KUSU) and Kenya Union of Domestic, Hotels, Educational Institutions, Hospitals and Allied...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 09:57:56
Head of Public Service calls for peaceful, issue-based politics
Head of Public Service and Chief of Staff, Felix Koskei has called on Kenyans to embrace peaceful and issue-based politics, saying political competition should not be allowed to divide communities or undermine development of the country. Speaking during the funeral of a respected elder at Romorio village in Chepkemel Location, Tinderet Sub County, Koskei said...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 10:10:18
Electric Tuk-Tuks take Kisumu City by storm
We are living in an era where Climate Change is a reality. This phenomenon has been brought about mainly from pollution from industries and motor transport, cutting down trees which act as carbon sinks, among others. Consequently, the world is moving from fossil energy to power transport and machines to more environment friendly sources of...
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 03 Oct 2026 09:29:05
West Pokot boda-boda riders tipped on responsible borrowing
More than 500 boda boda riders in West Pokot County have undergone financial literacy training, aimed at helping them manage their earnings, meet loan obligations and safeguard their livelihoods. The training, organised by Mogo Kenya in partnership with the Boda Boda Association of Kenya (BAK) at Bendera in Kapenguria Town, focused on budgeting, cash-flow management,...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 03 Oct 2026 07:40:33
How to Avoid Hip Pain While Sleeping on Your Side During Pregnancy
Hip pain can make it difficult to sleep comfortably during pregnancy, especially when you spend long periods lying on your side. As the pregnancy progresses, pressure on the hips, pelvis, and surrounding muscles can contribute to discomfort. Learning how to avoid hip pain while sleeping on your side during pregnancy can help you find a [...] The post How to Avoid Hip Pain While Sleeping on Your Side During Pregnancy appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 03 Oct 2026 07:54:43
How to Avoid a Hangover After Drinking
A hangover can cause headache, thirst, tiredness, nausea, stomach discomfort, dizziness, and sensitivity to light or sound after drinking alcohol. The safest way to avoid a hangover is to avoid alcohol or keep alcohol consumption low. If you choose to drink, understanding how to avoid a hangover after drinking can help you make safer choices [...] The post How to Avoid a Hangover After Drinking appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 03 Oct 2026 08:01:09
How to Avoid a Hangover After Drinking
A hangover can cause headache, thirst, tiredness, nausea, stomach discomfort, dizziness, and sensitivity to light or sound after drinking alcohol. The safest way to avoid a hangover is to avoid alcohol or keep alcohol consumption low. If you choose to drink, understanding how to avoid a hangover after drinking can help you make safer choices [...] The post How to Avoid a Hangover After Drinking appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 03 Oct 2026 08:08:01
Muhoozi endorses Ruto's 2027 re-election bid, appoints Wetang'ula his 'Mutume' in Kenya
Uganda's Chief of Defence Forces (CDF), General Muhoozi Kainerugaba, has publicly endorsed President William Ruto's bid for a second term in Kenya's 2027 General Election, introducing a new regional dimension to Kenya's increasingly active political contest. In a post on X, Muhoozi praised National Assembly Speaker Moses Wetang'ula and announced that he had appointed him [...] The post Muhoozi endorses Ruto's 2027 re-election bid, appoints Wetang'ula his 'Mutume' in Kenya appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content