kahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 08 Sep 2026 16:44:58
Can you account for every visitor and contractor after an evacuation?
When an evacuation is triggered, getting everyone out of a building is only half the challenge. Once people reach safety, there is another critical question to answer: can you account for everyone who should be there? As you can imagine, post employees will be familiar with evacuation procedures, escape routes and assembly points. Visitors, contractors, [...] The post Can you account for every visitor and contractor after an evacuation? appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 08 Sep 2026 17:12:34
Kremlin Says Russia's Victory in Ukraine Is "Very Near," Open to Trilateral Talks: Peskov
Russian Presidents Press Secretary Dmitry Peskov stated on Tuesday, September 8, 2026, that Russia is confident of victory in the conflict with Ukraine and believes that victory is very near. We are sure that the victory is very near. We are very confident in our military potential, in our military. Our military actions are going [...] The post Kremlin Says Russias Victory in Ukraine Is Very Near, Open to Trilateral Talks: Peskov appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 08 Sep 2026 17:20:30
King Oyo Burial Set for September 12, 2026
The late King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV of Tooro will be laid to rest on Saturday, September 12, 2026, exactly 31 years to the day since his coronation. The King passed away on Thursday, August 27, 2026, at the age of 34, in Dallas, Texas, United States, where he had traveled for medical [...] The post King Oyo Burial Set for September 12, 2026 appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 08 Sep 2026 16:47:54
Maafisa wa michezo wa zamani kushtakiwa kwa Sh330m zilizopotea wakati wa CHAN
ALIYEKUWA Katibu katika Wizara ya Michezo, Peter Kaberia, ni miongoni mwa maafisa 10 watakaofunguliwa mashtaka kutokana na madai ya kupotea kwa Sh330 milioni zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) la mwaka wa 2018. Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) imethibitisha kuwa uamuzi wa kuwafungulia washukiwa hao mashtaka ulifikiwa baada ya uchunguzi uliofanywa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC). Kwa mujibu wa ODPP, kuna ushahidi wa kutosha wa kuwafungulia mashtaka watu binafsi na kampuni zinazohusishwa na ununuzi usio wa kawaida na utovu wa nidhamu wa kifedha katika maandalizi ya mashindano hayo, ambayo hatimaye Kenya ilipoteza haki ya kuwa mwenyeji. Mashindano hayo yaliandaliwa na Morocco. "Baada ya kutathmini ushahidi kwa kina, Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma amebaini kuwa kuna msingi wa kutosha wa kuwafungulia washukiwa na kampuni zinazohusika mashtaka," ODPP ilisema katika taarifa. Watakaoshtakiwa pamoja na Balozi Kaberia ni pamoja na maafisa wakuu kutoka Wizara ya Michezo na wakurugenzi wa kampuni binafsi zinazodaiwa kunufaika kutokana na fedha hizo. Maafisa hao ni Stephen Njoroge Muthuma, Afisa Mkuu wa Fedha; Harun Chebet Komen, Mkurugenzi wa Utawala; Enock Ondwari Onditi na John Kiende Ruga. Wakurugenzi wa kampuni binafsi ni Marcos Gonzalez Puente wa Auditel Kenya, Samuel Mbaa Njoroge wa Taxwise Consulting Limited, Kitheka Muema wa Restea Enterprises Limited, Anthony Mwangi Kimanthi wa Lease Pride Limited, na Ephraim Kinyua Muchangi wa Leasepath Limited. Kampuni sita zinazokabiliwa na mashtaka ni Auditel Kenya, Taxwise Consulting Limited, Restea Enterprises Limited, Lease Pride Limited, Leasepath Limited na Liroma Assurance. Wanatarajiwa kujibu mashtaka yanayojumuisha matumizi mabaya ya mamlaka, ununuzi haramu wa mali ya umma, utovu wa nidhamu wa kifedha, na kushughulikia mapato ya uhalifu. Afisi ya DPP ilisisitiza dhamira yake ya kuhakikisha uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali za umma. "Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma inathibitisha tena dhamira yake thabiti ya kuzingatia utawala wa sheria, kulinda rasilimali za umma, kuendeleza uadilifu, na kuhakikisha uwajibikaji katika usimamizi wa masuala ya umma," taarifa hiyo iliongeza. Wakati huo huo, aliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF), Nick Mwendwa, ambaye pia alikuwa akichunguzwa kuhusiana na fedha za CHAN, ameondolewa katika tuhuma za makosa yoyote.
read moreRight Column Content