kahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 07:41:18
How to Install a Printer on a Laptop
Learning how to install a printer on a laptop allows you to print documents, photos, assignments, and other files from your computer. Whether you have an HP, Canon, Epson, Brother, or another printer brand, you can connect it to your laptop using a USB cable or a wireless network. Windows also provides built-in tools that [...] The post How to Install a Printer on a Laptop appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 07:29:09
Two siblings aged 10 and 6 found dead after suspected drowning in Migori
Two siblings aged 10 and six were found dead after reportedly being swept away by raging waters while crossing River Ragana in Mabera Location, Kuria West Sub-County, Migori County. The deceased were identified as Catherine Wegesa, 10, and her younger brother, David Chacha, six. The children were heading home on November 12, at around 4pm [...] The post Two siblings aged 10 and 6 found dead after suspected drowning in Migori appeared first on Kahawatungu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Sat, 14 Nov 2026 07:12:09
Uasin Gishu in renewed efforts to fast-tract road projects
The Uasin Gishu County Executive and the County Assembly are working closely to make sure road projects for the 2026/2027 financial year are done on time and correctly, in order to give the people true value for their money. The County Executive for Roads, Transport and Public Works, Dr. Abraham Serem together with Chief Officer...
read morekenyans.co.ke
@kenyans Sat, 14 Nov 2026 07:14:33
Kenya Railways Unveils New Madaraka Express Christmas Schedule
With the increasing volume of passengers going to the coast during the festive season, Kenya Railways has been under pressure to add extra coaches and adjust the SGR travel schedule.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 14 Nov 2026 06:55:22
Ukaguzi waanika wanafunzi 800,000 na shule 200 hewa
Ukaguzi wa serikali katika sekta ya elimu umegundua kuwa sajili za shule za msingi zilikuwa na majina ya wanafunzi hewa wapatao 800,000 na karibu shule 200 ambazo hazipo. Ufichuzi huo umeibua maswali kuhusu jinsi fedha za serikali za kugharamia elimu zilivyokuwa zikitolewa kwa shule bila kuthibitisha idadi halisi ya wanafunzi. Rais William Ruto alisema ukaguzi huo wa kitaifa ulifichua udhaifu katika mifumo ya Wizara ya Elimu ya kukusanya na kuhakiki takwimu za wanafunzi.Wizara ilikuwa na mifumo mitatu tofauti ya kidijitali iliyotumiwa na wakuu wa shule, wakurugenzi wa elimu wa kaunti na maafisa wa makao makuu kuwasilisha taarifa. Wakuu wa shule waliwasilisha idadi ya wanafunzi na maelezo ya taasisi zao, huku wakurugenzi wa elimu wakikusanya takwimu zao ili kulinganisha na kubaini tofauti. Hata hivyo, mifumo iliyotumiwa na maafisa wa mashinani haikuunganishwa, hivyo kulazimisha maafisa kulinganisha taarifa hizo kwa mikono. Kufikia Novemba 10, 2025, shule 44,495 zilikuwa zimeidhinishwa kupokea fedha kulingana na idadi ya wanafunzi iliyothibitishwa. Nyingine 4,555 zilipata nusu ya fedha zilizoonyesha katika rekodi za awali, huku shule 5,851 zikilipwa kulingana na idadi iliyobainika.Wakati huo, shule 1,005 za msingi na za sekondari msingi zilikuwa na taarifa zisizo sahihi au hazikuwasilisha data. Wizara ilieleza Kamati ya Bunge kuhusu Hesabu za Umma Februari 24, 2026 kuwa, wakuu wa shule 20 walikuwa wameripotiwa kwa Tume ya Huduma za Walimu (TSC) kuchukuliwa hatua za kinidhamu, huku maafisa 28 wa elimu wakipewa barua za kueleza kwa nini wasichukuliwe hatua. Ruto alisema serikali itahakikisha rekodi za kila mwanafunzi zinawekwa kidijitali ili fedha zimfuate mwanafunzi halisi.Hata hivyo, haijabainika ni kiasi gani cha fedha za umma kililipwa kutokana na takwimu hizo za uongo na iwapo fedha hizo zimerejeshwa.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Sat, 14 Nov 2026 06:09:42
Man Jailed for 15 Years for Attacking Wife After Failing to Pay Dowry
The court was told that the attack happened right after the victim had attended a church service, when the husband attacked her, causing her serious injuries, before disappearing.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 14 Nov 2026 05:55:39
Mackenzie asubiri hukumu zaidi baada ya kusukumwa jela miaka 200
Hata baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 200 gerezani pasta Paul Mackenzie bado anaandamwa na kivuli cha maafa ya Shakahola, Licha ya kuandika historia nchini Kenya kwa kuhukumiwa kifungo kirefu kiasi hicho, hukumu hiyo haijamaliza masaibu yake mahakamani. Bado anakabiliwa na kesi nyingine zinazotokana na vifo vya zaidi ya wafuasi 450 wa kanisa lake la Good News International Ministries (GNI). Mackenzie alihukumiwa kifungo cha miaka 200 gerezani Novemba 6 baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya watu 191, wakiwemo watoto 190. Hata hivyo, anakabiliwa na hukumu nyingine tatu katika kesi tofauti zinazohusiana na mkasa wa Shakahola. Hukumu ya kwanza inatarajiwa kutolewa Novemba 24 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mombasa, katika kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili Mackenzie na washtakiwa wenzake 95, kuhusiana na vifo vya watu 238. Upande wa mashtaka unadai kuwa washtakiwa hao walishirikiana kutekeleza makubaliano ya pamoja ya kujiua, yaliyosababisha vifo vya watu hao katika msitu wa Shakahola kati ya Januari 2021 na Septemba 2023. Novemba 25, Mahakama ya Watoto ya Tononoka inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ya kuwatesa watoto, ambapo Mackenzie na washirika wake 34 wanakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na ukatili, mateso na kuwanyima watoto haki ya kupata elimu. Upande wa mashtaka unadai kuwa watoto waliondolewa shuleni, wakalazimishwa kufunga na kunyimwa mahitaji ya kimsingi. Baadhi yao walipigwa walipopinga mafundisho hayo au kujaribu kutoroka. Katika kesi hiyo, upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 76, wakiwemo watoto 13 waliosikilizwa kwa utaratibu maalumu wa kuwalinda. Walionusurika walisimulia jinsi familia zao zilivyouza mali na kuhamia Shakahola baada ya kushawishiwa kuwa elimu ya kawaida ilikuwa dhambi. Waokoaji waliwapata watoto 27 wenye umri wa kati ya mwaka mmoja na nusu na miaka 17 msituni. Baadhi yao walikuwa wamekonda kutokana na utapiamlo na walikuwa wameathirika kisaikolojia. Upande wa mashtaka pia uliwasilisha matokeo ya uchunguzi wa miili ya marehemu yaliyoashiria kuwa wengi walikufa kutokana na njaa ya muda mrefu. Ripoti ya uchunguzi wa kidijitali yenye kurasa 74,658, iliyotokana na simu za Mackenzie, ilijumuisha mawasiliano kuhusu kufunga, unabii, Mpinga Kristo, Chapa ya Mnyama, Mpango Mpya wa Dunia na nambari 666. Hukumu ya mwisho inatarajiwa kutolewa Novemba 26 katika Mahakama ya Shanzu, katika kesi inayohusu itikadi kali za kidini na uhalifu unaohusiana na ugaidi. Mackenzie, mkewe Rhoda Mumbua Maweu na washtakiwa wengine 94 wanakabiliwa na mashtaka yakiwemo ya kueneza itikadi kali, kushiriki katika shughuli za uhalifu wa kupangwa, kuwezesha kitendo cha kigaidi na kumiliki machapisho yanayodaiwa kuchochea ugaidi. Upande wa mashtaka unadai kuwa Mackenzie, Maweu, Mary Kadzo Kahindi na wengine 28 walijihusisha na shughuli za uhalifu wa kupangwa zilizohatarisha maisha ya watu na kusababisha vifo vya wafuasi 429. Mackenzie na Smart Deri Mwakalama wanatuhumiwa kuwezesha kitendo cha kigaidi kwa kuwasafirisha wafuasi wa GNI kati ya msitu wa Shakahola na Malindi, hatua inayodaiwa kuwaweka katika hatari. Mackenzie na mkewe pia wanakabiliwa na mashtaka ya kumiliki CD, DVD, vitabu na vipeperushi vinavyodaiwa kuchochea vitendo vya kigaidi. Katika kesi hiyo, upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 96 na vielelezo karibu 500. Ulieleza jinsi GNI ilivyotumika kueneza mafundisho yenye misimamo mikali kupitia televisheni, YouTube, WhatsApp na majukwaa mengine ya mawasiliano. Wafuasi walihimizwa kuacha shule, kukataa matibabu, kujitenga na jamii na kuhamia Shakahola. Wachunguzi walisema Mackenzie alinunua ekari 480 za ardhi Shakahola na kuzigawa katika makazi yaliyopewa majina ya kibiblia, yaliyokuwa yakisimamiwa na walinzi na wasimamizi. Ushahidi uliwasilishwa kuwa miili 426 ilikuwa imefukuliwa katika eneo hilo, huku njaa ikitajwa kuwa chanzo kikuu cha vifo. Upande wa mashtaka pia uliwasilisha ushahidi wa manusura na matokeo ya vipimo vya vinasaba vya DNA vilivyowaunganisha baadhi ya washtakiwa na watoto waliofariki. Hukumu za Novemba 24, 25 na 26 zitaamua iwapo Mackenzie na wenzake wana hatia au hawana hatia ya mashtaka yanayowakabili. Watakaopatikana na hatia watapewa nafasi ya kujitetea kabla ya kutolewa kwa adhabu, huku watakaopatikana hawana hatia wakiachiliwa.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Sat, 14 Nov 2026 05:15:45
KRA Hints at New Changes That Could Affect Cost of Imported Cars
Currently, KRA uses the CRSP schedule to establish the reference value of a car before applying depreciation based on its age, even as the taxman says it has started engaging players in the industry on the proposed changes.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 14 Nov 2026 04:55:05
UDA na ODM sasa zasuka mikakati kuteka jiji 2027
Rais William Ruto ameanza kuimarisha ushirikiano wa kisiasa kati ya UDA na ODM Nairobi, baada ya kukutana na viongozi wa mashinani na wanasiasa wapatao 1,500 kutoka vyama hivyo katika Ikulu ya Nairobi. Mkutano huo uliwaleta pamoja viongozi waliochaguliwa na wagombeaji wanaotaka kuwania nyadhifa mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa 2027. Lengo kuu lilikuwa kuunganisha mifumo ya vyama hivyo, kuratibu kampeni na kuweka mikakati ya kuhakikisha vyama vinapata ushindi katika Kaunti ya Nairobi. Ruto aliandamana na mwenyekiti wa kitaifa wa ODM Gladys Wanga, Kiongozi wa Wachache katika Bunge la Kitaifa Junet Mohamed na viongozi wengine wa vyama hivyo. Rais aliwataka viongozi hao kuunganisha nguvu zao na kuimarisha uhamasishaji kuanzia mashinani hadi vituo vya kupigia kura ili kuhakikisha ushirikiano huo unazaa matunda katika uchaguzi ujao. Mkutano huo ulifanyika huku vyama hivyo vikijaribu kugeuza ushirikiano wao katika serikali jumuishi kuwa nguvu ya kisiasa katika jiji mkuu, ambako kuna wapigakura 2,743,155. Mabadiliko ya hivi majuzi ya kisiasa yamefanya hesabu za uchaguzi Nairobi kuwa tata zaidi. Gavana Johnson Sakaja alihama UDA na kujiunga na ODM, huku Mbunge wa Kasarani Ronald Karauri akijiunga na chama tawala. UDA ilisema ina matumaini kuwa ushirikiano huo utawezesha kupata ushindi mkubwa Nairobi mwaka 2027. Chama hicho pia kilihusisha ushirikiano huo na mpango wa Sh80 bilioni wa kuboresha jiji pamoja na miradi ya maendeleo ya serikali, ikiwemo ukarabati wa Mto Nairobi, ujenzi wa Soko Jipya la Gikomba na mpango wa maendeleo ya jamii wa Kamukunji. Hata hivyo, mkutano huo pia ulifichua ushindani kuhusu nani atakayewania ugavana wa Nairobi kwa tiketi ya vyama hivyo. Sakaja na Mbunge wa Makadara George Aladwa walitambulishwa kama wagombeaji wanaoweza kuwania kiti hicho kupitia ODM. Kwa upande mwingine, Karauri alitambulishwa kama mgombeaji wa UDA. Hali hiyo inaibua swali kuhusu iwapo vyama hivyo vitawasilisha wagombeaji tofauti au vitakubaliana kumuunga mkono mtu mmoja. Wanga alisema mkutano huo ulikuwa wa kuoanisha mifumo ya vyama na kupanga namna ya kushinda Nairobi, wala si kugawana nyadhifa. Alisema suala la kugawa maeneo ya kisiasa kwa vyama, litajadiliwa baadaye. "Tulikuwa tunaoanisha mikakati ya namna ya kushinda Nairobi. Mazungumzo kuhusu kugawana maeneo yatakuja baadaye. Kwa sasa tunajipanga kufanya kazi pamoja, na hakuna kiti tutakachoacha," alisema Wanga. Hata hivyo, ushindani wa ugavana unaweza kuwa kikwazo kikubwa katika mazungumzo hayo. Katika uchaguzi wa 2022, ODM ilishinda kiti cha useneta kupitia Edwin Sifuna na uwakilishi wa wanawake kupitia Esther Passaris, huku UDA ikipata ugavana kupitia Sakaja. Iwapo UDA itasisitiza kubaki na kiti cha ugavana kwa kuwa ilikishinda katika uchaguzi uliopita, Sakaja anaweza kujikuta katika hali ngumu baada ya kuhamia ODM.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 04:32:09
Trump, Putin and Xi plan historic joint meeting in China next week, White House says
Donald Trump, Vladimir Putin and Xi Jinping are planning to meet on the sidelines of a summit in China next week, the White House has said. The historic meeting between the leaders of the US, Russia and China will take place as Trump attends the Asia-Pacific Economic Cooperation (Apec) summit in the southern city of [...] The post Trump, Putin and Xi plan historic joint meeting in China next week, White House says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 04:34:50
Stocks recover after Nvidia scandal roils tech sector
Stock markets recovered on Friday as traders looked past the shock downfall of Nvidias chief Jensen Huang, though shares in the AI chip behemoth continued their descent. The latest inflation reading in the United States also helped investors turn their attention to the prospect of further interest rate hikes in the worlds biggest economy. After [...] The post Stocks recover after Nvidia scandal roils tech sector appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 04:43:53
EACC warns accountants against using professional skills to facilitate corruption
The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) warned accountants and other professionals against using their specialised expertise to facilitate corruption, saying their technical skills can make economic crimes difficult to detect and investigate. EACC Chairperson Dr David Oginde said professionals were increasingly being implicated in corrupt practices, urging accountants to uphold integrity and ensure their expertise [...] The post EACC warns accountants against using professional skills to facilitate corruption appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 04:22:45
What we know about the longest US nationwide flight ground stop since 9/11
The US Federal Aviation Administration has lifted the longest nationwide ground stop of flights since the 11 September 2001 terrorist attacks. The FAA said Fridays stoppage, which lasted more than four hours, was due to extraordinary circumstances from a communication issue affecting all air traffic control centres. Homeland Security Secretary Markwayne Mullin said there was [...] The post What we know about the longest US nationwide flight ground stop since 9/11 appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 04:25:10
Lauren Boebert, once a MAGA star, loses her Colorado seat
Lauren Boebert, the Republican representative from Colorado who rose to national fame as one of Donald Trumps biggest cheerleaders, lost her seat in Congress. The race was too close to call on election night last week, but after every vote was counted the Democrat Eileen Laubacher was declared the winner by the AP news agency. [...] The post Lauren Boebert, once a MAGA star, loses her Colorado seat appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 14 Nov 2026 04:27:40
Setback for SpaceX Starship rocket's double-catch test
SpaceX aborted its attempt to catch the bottom part of its huge Starship rocket during its latest test flight. The aim was to catch it using the mechanical arms nicknamed chopsticks on the launch tower as it returned to Earth, but instead it was diverted to the ocean, bursting into flames as it [...] The post Setback for SpaceX Starship rockets double-catch test appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content