kahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 09:17:01
Richarlison, Danso and Sarr ask to leave Spurs
Richarlison, Kevin Danso and Pape Matar Sarr have asked to leave Tottenham, head coach Roberto de Zerbi says. The trio have all been linked with moves away from Spurs and none were included in De Zerbis matchday squad as Tottenham lost 2-0 at home to Newcastle on Saturday. Asked about their status after the loss, De Zerbi [...] The post Richarlison, Danso and Sarr ask to leave Spurs appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sun, 30 Aug 2026 08:55:56
Zaidi ya watu 3,000 bado hawajulikani walipo Nepal
JUHUDI za kuwaokoa waathiriwa wa mafuriko makubwa katika mpaka wa Nepal na Tibet nchini China zilirejelewa jana, baada ya kusitishwa kwa muda kutokana na hofu ya kutokea kwa mafuriko tena kutokana na kuyeyuka kwa barafu mlimani. Idadi ya waliofariki katika mkasa huo imefikia 633, huku karibu watu 3,000 wakiripotiwa kutoweka. Polisi nchini Nepal ilisema jana kuwa watu 626 wamefariki kutokana na mafuriko hayo, huku Mamlaka ya Kudhibiti Majanga ikiripoti kuwa watu 2,426 bado hawajulikani waliko. Kati ya waliotoweka nchini Nepal, 517 ni raia wa kigeni, ambao huenda ni watalii au wafanyakazi kutoka mataifa mengine. Nchini China, mamlaka ilisema watu wasiopungua saba wamefariki katika eneo la Tibet, huku wengine 554 wakiripotiwa kutoweka. Kutokana na ukubwa wa janga hilo, serikali ya Nepal iliomba msaada maalumu kutoka India na China ili kuongeza uwezo wa operesheni za uokoaji. Timu kutoka mataifa hayo, zikiwemo wataalamu wa uokoaji zilitarajiwa kuwasili jana. Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Nepal, Lok Bahadur Poudel Chhetri, alisema uamuzi huo ulifanywa kwa dharura kutokana na maisha ya watu kuwa hatarini. "Maisha yako hatarini na hali ni ya dharura sana. Hapo awali Nepal haikutaka msaada kwa sababu haikutaka mkanganyiko unaoweza kutokea wakati timu kubwa zinaelekezwa katika maeneo tofauti," alisema Chhetri. Awali, Nepal ilikataa msaada wa kimataifa kwa hofu kuwa kuwasili kwa vikosi vingi vya uokoaji kungeleta mkanganyiko katika operesheni hizo. Mkasa huo ulianza Jumatano asubuhi baada ya sehemu ya barafu katika milima ya Himalaya kuyeyuka kutoka urefu wa takriban mita 5,200. Barafu hiyo ilishuka kwa kasi kwa zaidi ya mita 1,200, ikikusanya mawe na vifusi kabla ya kutumbukia katika Mto Lende. Mafuriko yaliyofuata ulisomba maeneo ya Rasuwa, Nuwakot na Dhading nchini Nepal, na kusababisha kina cha Mto Trishuli kupanda kwa mita tisa ndani ya dakika 30. Mto Trishuli uliongezeka kina kwa takriban mita tisa ndani ya dakika 30, na kusababisha uharibifu mkubwa katika maeneo yaliyo karibu. Uchunguzi wa Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Amerika, USGS, ulidai kuwa tetemeko la ardhi ndilo lililosababisha mkasa huo. Hata hivyo, uchunguzi wa baadaye ulionyesha kuwa mawimbi ya mtikisiko yaliyorekodiwa yalitokana na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na kuyeyuka kwa barafu. Waokoaji jana waliendelea na shughuli za kuwatafuta manusura na waliotoweka, huku matumaini yakipungua kutokana na muda uliopita tangu mkasa huo utokee. Wakazi katika maeneo yaliyo hatarini wameonywa kuwa tayari kwa uokoaji. Nepal hupokea mvua nyingi wakati wa msimu wa monsoon, lakini wataalamu wameonya kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yanaongeza hatari ya kuyeyuka kwa barafu na kutokea kwa mafuriko makubwa.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Sun, 30 Aug 2026 09:23:18
Kaluma dismisses Orengo's presidential bid, says Nyanza backs Ruto
Homa Bay Town MP Peter Kaluma has opposed Siaya Governor James Orengos presidential bid, saying it was aimed at spoiling President William Rutos votes in the Nyanza region.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Sun, 30 Aug 2026 08:42:22
NPS Addresses KSh2.8 Billion Police Uniform Tender Awarded to Unregistered Company
The explanation comes amid widespread media reports that the tender was awarded to an unregistred company raising concerns over accountability over the award of the tender.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 08:05:49
Girl found dead behind family home in Nyamira
Police in Nyamira County are investigating the suspected murder of a 17-year-old girl whose naked body was found behind her family home in Borabu Sub-County. The girl identified as Margaret Ayieta was found lying dead in the compound at Kamkunji Village on Saturday afternoon by her mother, police said. The mother said she had left [...] The post Girl found dead behind family home in Nyamira appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 08:12:26
Man shot dead on way to mosque near Kenya-Somalia border in Mandera
A middle-aged man was shot dead by unknown assailants while on his way to a mosque for morning prayers at Damasa Shopping Centre in Lafey Sub-County, Mandera County. The incident occurred at about 5.10am on Saturday, August 29, 2026, at the trading centre located along the Kenya-Somalia border. The deceased, identified as Mohamud Mohamed Ali, [...] The post Man shot dead on way to mosque near Kenya-Somalia border in Mandera appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 08:15:48
Goons torch vehicle in Linda Mwananchi convoy in Migori amid outcry from leaders
A Linda Mwananchi team was attacked in Migori on Saturday after tear gas was discharged in the middle of a rally. What followed was a running battle as the team condemned what it described as yet another attempt on their lives, insisting they would not back down. The incident came even after president William Ruto [...] The post Goons torch vehicle in Linda Mwananchi convoy in Migori amid outcry from leaders appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 08:23:08
MPs Push for Expansion of Digital Hubs to Create Jobs for Kenyan Youth
The National Assembly Departmental Committee on Communication, Information and Innovation has called for the timely completion and expansion of digital hubs across the country to create more employment, innovation and entrepreneurship opportunities for young people. The Committee, chaired by Dagoretti South MP John Kiarie, made the call on Saturday during an inspection tour of digital [...] The post MPs Push for Expansion of Digital Hubs to Create Jobs for Kenyan Youth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 08:25:56
Flights held at JKIA as KAA, KCAA staff begin go-slow
Flight operations at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) were Sunday disrupted by a go-slow involving staff of the Kenya Airports Authority (KAA) and the Kenya Civil Aviation Authority (KCAA), resulting in significant delays. Several flights scheduled to depart as early as 8am remained on the ground several hours later, leaving hundreds of passengers stranded and [...] The post Flights held at JKIA as KAA, KCAA staff begin go-slow appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sun, 30 Aug 2026 07:55:20
Uchaguzi wa 2027 utakuwa ghali zaidi katika historia ya Kenya
UCHAGUZI Mkuu wa 2027 unatarajiwa kuwa ghali zaidi katika historia ya Kenya, huku makadirio yakionyesha kuwa serikali, vyama vya kisiasa na wagombea watatumia zaidi ya Sh272 bilioni katika mchakato mzima wa uchaguzi. Kiasi hicho kinajumuisha bajeti ya Sh74.8 bilioni ambayo Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imekadiria kwa ajili ya kuendesha uchaguzi huo pamoja na takriban Sh197.35 bilioni ambazo wagombea wanaweza kutumia katika kampeni zao iwapo watazingatia viwango vya matumizi vilivyowekwa na tume hiyo. Kwa miaka mingi, uchaguzi nchini Kenya umejulikana kwa nyimbo, kauli mbiu na kampeni za kuvutia. Hata hivyo, matumizi makubwa ya fedha yameibua maswali kuhusu vipaumbele vya taifa wakati sekta muhimu kama afya, elimu na kilimo zinaendelea kukabiliwa na changamoto za ufadhili. Kiasi cha Sh272 bilioni ni zaidi ya nusu ya fedha zilizotumiwa kuendesha kaunti zote 47 nchini katika mwaka wa kifedha uliomalizika Juni 2025, ambazo zilikuwa Sh470.7 bilioni. Pia fedha hizo zinaweza kulipa kikamilifu madeni ambayo serikali za kaunti zinadaiwa ya zaidi ya Sh156 bilioni. Kwa mtazamo mwingine, kiasi hicho ni kikubwa kuliko bajeti za baadhi ya sekta muhimu katika uchumi. Kwa mfano, sekta ya afya ilitengewa Sh177.2 bilioni, elimu ya juu Sh163.9 bilioni na elimu ya msingi Sh136.6 bilioni katika bajeti ya hivi karibuni ya serikali. IEBC inasema gharama kubwa ya uchaguzi inatokana na teknolojia ya uchaguzi, vifaa vya kutambua wapigakura, mifumo ya kutuma matokeo, karatasi za kura zenye vipengele vya usalama pamoja na ongezeko la idadi ya wapigakura. Tume hiyo inalenga kusajili wapigakura milioni 28.5 kufikia mwaka 2027, ikilinganishwa na milioni 22.1 waliopiga kura mwaka 2022. Ongezeko hilo litahitaji vituo vya kupigia kura 55,393 kutoka vituo 46,229 vilivyotumika mwaka 2022. Kwa upande wa wagombeaji, viwango vipya vya matumizi ya kampeni vinaonyesha kuwa kinyang'anyiro cha kisiasa kitahitaji fedha nyingi zaidi. Mgombea urais ataruhusiwa kutumia hadi Sh6.1 bilioni, kutoka Sh4.7 bilioni mwaka 2022. Wagombeaji wa ugavana, useneta, ubunge na uwakilishi wa wanawake pia watatumia mabilioni ya fedha katika kampeni zao. Mbunge wa Likuyani, Innocent Mugabe, anasema kiwango cha matumizi kilichowekwa na IEBC ni cha chini ikilinganisha na hali halisi ya kampeni. "Nilitumia takriban Sh50 milioni mwaka 2022. Ukiwa na nia ya kushinda, lazima utumie fedha zaidi," alisema. Kwa mujibu wa IEBC, mipaka ya matumizi ya kampeni inalenga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, uwazi na uwajibikaji, na kwamba matokeo ya uchaguzi yanaamuliwa na wapigakura badala ya nguvu ya fedha. Hata hivyo, baadhi ya viongozi wamehoji jinsi sheria hizo zitakavyotekelezwa, wakisema bado Kenya ina mfumo mkubwa wa matumizi ya fedha taslimu ambao ni vigumu kufuatilia. Iwapo makadirio ya sasa yatatimia, uchaguzi wa 2027 utaweka rekodi mpya kama uchaguzi wa gharama kubwa zaidi kuwahi kufanyika nchini Kenya.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sun, 30 Aug 2026 06:55:37
Azma ya Raila Jnr Kibra yachemsha Orero, Imran
KUJITOSA kwa Raila Junior katika kinyang'anyiro cha ubunge wa Kibra, Nairobi, kumeanza kuzua pingamizi miongoni mwa baadhi ya wawaniaji wa ODM, huku mwana huyo wa aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga akisaka kiti hicho 2027. Kibra kwa miongo imekuwa ngome ya kisiasa ya familia ya Odinga. Marehemu Raila aliwakilisha eneo hilo bungeni kuanzia 1992 hadi 2013, wakati Kibra ilikuwa sehemu ya Lang'ata. Kila mara nchi ilipokabiliwa na maamuzi magumu ya kisiasa, Raila alirejea Kibra kutoa mwelekeo ambao baadaye ulikumbatiwa na maeneo mengine nchini. Mnamo Novemba 30, 2009 wakati wa mvutano kuhusu uamuzi wa kufurusha watu kutoka msitu wa Mau, Raila alitangaza hadharani kwamba alikuwa tayari kurejea Kibra akapike mandazi iwapo suala hilo lingemgharimu kisiasa. Kuingia kwa Raila Junior katika kivumbi hicho kumezua ushindani mkali wa kisiasa kati yake, mbunge wa sasa wa Kibra Peter Orero na aliyekuwa mbunge wa hapo Imran Okoth. Junior amekuwa akishiriki miradi ya kijamii na kukutana na makundi mbalimbali huku akiweka misingi ya kampeni zake kuelekea 2027. "Kibra ilikuwa ngome ya kisiasa ya babangu, na kama familia tumekuwa na safari ndefu pamoja na watu wa eneo hili. Nikichaguliwa nitamakinikia sana elimu kwa kuhakikisha basari zinapatikana ili pasiwe na mtoto anayekosa fursa ya kupata elimu," mwana huyo mdogo wa Raila alisema katika mahojiano na Jamvi. "Najua baadhi ya sekta kama afya na maji zimekabidhiwa serikali za kaunti, lakini nitafanya kila niwezalo kuhakikisha huduma hizo zinafikia watu wa Kibra. Tutazingatia sana kuboresha maisha ya wakazi kwa kila njia iwezekanavyo," akaongeza. Junior pia alifichua kuwa kwa miaka mingi alikuwa miongoni mwa wandani waliompangia babake mikakati ya kisiasa huko Kibra. Wiki hii mama yake, Ida Odinga, alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, alitangaza kwamba amempa Raila Junior baraka za kutimiza ndoto zake za kisiasa, ikiwemo azma yake ya kuwania ubunge wa Kibra. "Nyinyi watu wa Kibra mmeamua na sina chaguo jingine. Namkabidhi mwanangu mikononi mwenu. Viongozi mlio hapa mtunze, mfundishe na mpe mwongozo. Wengi wenu mlianza siasa pamoja na Baba. Mwonyesheni njia," akasema Mama Ida. Alisisitiza kuwa siasa za Junior zinapaswa kuwa safi na zisizo na matusi wala vurugu, akisema Kibra ilikuwa msingi wa safari ya kisiasa ya familia ya Odinga. "Washawishi watu kwa maneno yako na uwaambie kile unachoweza kuwafanyia," akasema. Hata hivyo, mbunge wa sasa Orero anadai Junior anasukumwa na baadhi ya wawakilishi wadi (MCAs) maalum ambao hawana ushawishi wa kisiasa Kibra. Alisisitiza yuko tayari kukutana na Junior kwenye debe. "Baadhi ya wawakilishi wadi maalum wanaomsukuma wamepoteza uchaguzi mara nne, na wanalenga maslahi yao binafsi. Hata hivyo, kazi yangu Kibra iko wazi kwa kila mtu kuona. Sina mpinzani. Aje tushindane, nami nitamshinda," akahoji Orero. Alishangaa kwa nini Junior amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho ilhali dada yake, Winnie Odinga, aliwahi kukinyemelea kabla kujiondoa na kuelekeza nguvu zake katika kivumbi cha useneta Nairobi. Orero alisema licha ya kuwa karibu na familia ya Odinga hajazungumza na Mama Ida kuhusu azma ya Junior. "Kuna nini cha kuzungumza? Junior ana haki yake ya kidemokrasia na sitaki kuwadharau au kuonekana niko kwenye vita nao. Waache watu waamue," akasema mbunge huyo. Kwa upande wake aliyekuwa mbunge Imran Okoth ametishia kuondoka ODM na kuwania kiti hicho kama mgombea huru iwapo chama hakitaendesha uteuzi wa haki na huru. "Junior yuko huru kuja kuwania lakini ajue sisi ni wanachama wa ODM na tunasisitiza kusiwe na mapendeleo yoyote. Orero, Junior na mimi tushindane kwa haki, na atakayeshinda apewe tiketi ya ODM," akahoji.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 06:12:31
They fell in love – then had to check they weren't brother and sister
For years, Arthur Kermalvezen, the child of a sperm donor, saw possible fathers everywhere he went. I imagined it might be my teacher, the people I saw on the bus and I was very angry because its impossible to live like this. When, as an adult, he fell in love with Audrey, another sperm donor [...] The post They fell in love then had to check they werent brother and sister appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 06:25:42
Two more suspects including a cop arrested in Kampala over murder of Dr Mutiso
One of the wanted police officers over the murder of psychiatrist Dr. Victoria Nthunya Mutiso was Saturday arrested in Kampala, Uganda. His accomplice who is also wanted over the same is still hiding in Uganda, officials said. A specialised team investigating the assassination of Dr Mutiso, comprising detectives drawn from DCI Headquarters Crime Research and [...] The post Two more suspects including a cop arrested in Kampala over murder of Dr Mutiso appeared first on Kahawatungu.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Sun, 30 Aug 2026 06:06:24
Boma Yangu Takes Action After Residents Flag Missing Units Despite Paying Deposit
On Friday, Nairobi residents protested over missing the units despite paying the required deposit, raising fresh concerns over graft in the allocation of the units.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 30 Aug 2026 06:05:15
Canada installs large Lake Ontario sign in latest jab at US
Ontario Premier Doug Ford has hit back at Donald Trump by installing a large sign on Canadas shoreline with the message: Lake Ontario. Now and Always. The US president signed an executive order on Thursday seeking to change its name to Lake America and has shared a series of AI-generated videos about the lake that [...] The post Canada installs large Lake Ontario sign in latest jab at US appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content