taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 26 Aug 2026 12:49:18
Jinsi athari za lugha ya kwanza zinavyochangia makosa ya hijai
TUNAPOTUNGA sentensi za Kiswahili, usahihi wa maneno ni muhimu sana. Iwapo neno lililotumiwa katika sentensi litaandikwa visivyo, linaweza kusababisha sentensi kuwa na maana isiyokusudiwa na mwandishi. Mojawapo wa makosa yaliyozoeleka katika uandishi wa maneno ni kudondosha baadhi ya konsonanti h na m katika maneno. Aghalabu utapata sentensi kama vile: *Tulimsaidia mama kuosha vyombo alafu tukaenda kucheza. *Wanafunzi wote waliwasili shuleni asubui. *Nilipofika nyubani nilimpata baba akifyeka nyasi. *Mjoba aliuza buzi watano jana. Mifano hii ya sentensi ina maneno *alafu, asubui, nyubani, mjoba, buzi ambayo si sahihi. Konsonanti h imedondoshwa katika neno halafu na asubuhi. Ili kusahihisha sentensi hizo tunafaa kuandika: Tulimsaidia mama kuosha vyombo halafu tukaenda kucheza. Wanafunzi wote waliwasili shuleni asubuhi. Katika sentensi ya tatu na ya nne, maneno *nyubani, mjoba na buzi yamedondosha konsonanti m. Tunafaa kuandika: Nilipofika nyumbani nilimpata baba akifyeka nyasi. Mjomba alinunua mbuzi watano jana. Udondoshaji wa herufi hizi aghalabu husababishwa na athari ya lugha ya kwanza hasa ikiwa konsonanti hiyo haipo katika lugha ambayo mwanafunzi alijifunza kwanza. Mwanafunzi mwenye changamoto ya kudondosha baadhi ya konsonanti katika maneno anafaa kufanya mazoezi ya: kutambua konsonanti ambayo ana mazoea ya kuidondosha, kutamka maneno yenye konsonanti husika kwa sauti, kuandika sentensi mbalimbali akitumia maneno yenye konsonanti ambayo amezoea kudondosha katika maneno. Tuendelee kujifunza Kiswahili ili kuimarisha mawasiliano.
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 26 Aug 2026 11:35:44
County assures traders of fair stall allocation ahead of market opening
The County Government of Uasin Gishu has assured traders of a transparent and inclusive process in the allocation of stalls at the 64 Ultra-Modern Market in Eldoret City, as preparations for the facility's official opening gather pace. The County Department of Trade on Tuesday convened a high-level engagement forum with traders, led by Chief Officer...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 26 Aug 2026 11:50:06
Murang'a County to roll out feeding programme to all public schools
The County Government of Murang'a is set to roll out a county-wide school meals programme targeting more than 215,000 learners in public primary schools, Junior Secondary Schools (JSS) and Early Childhood Development Education (ECDE) centres. The programme, to be implemented in partnership with Food for Education (FFE), follows a successful two-year pilot conducted in 90...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 26 Aug 2026 12:09:20
Arati hails Cardinal Otunga's FEASSSA rugby win
Kisii Governor Simba Arati has congralulated Cardinal Otunga Mosocho School for emerging winners of the 2026 Federation of East Africa Secondary Schools Sports Associations (FEASSSA) Rugby 7s title in Morogoro, Tanzania. The school finished top of the standings following an unbeaten campaign in which it accumulated 18 points and posted a points difference of +104,...
read morekenyanews.go.ke
@kna Wed, 26 Aug 2026 12:20:26
KYTI drive boosts ID applications and voter registration in Bondo
Residents of Bondo Sub-County have turned up in large numbers for the second consecutive day to apply for identification cards (IDs) and register as voters under the Kenya Youth Transition Initiative (KYTI) programme. The programme, sponsored by Interior Principal Secretary Dr Raymond Omollo, has recorded more than 400 new ID applications from Mageta Island and...
read morekenyans.co.ke
@kenyans Wed, 26 Aug 2026 11:12:34
EACC Arrests County Official, Orders Two Others to Surrender
The county official and other suspects are alleged to have been involved in the unlawful acquisition of public property, money laundering, and dealing with proceeds of crime involving Ksh92 million.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Wed, 26 Aug 2026 11:46:00
Hidden Meaning Behind IG Kanja's Attire Worn During Police Pass-Out Parade
Kanja's ceremonial attire for Friday's parade differs from everyday police uniforms, with elements reflecting longstanding symbols associated with the police service.
read moreRight Column Content