kahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 24 Aug 2026 12:40:20
Caroline Wozniacki Siblings: All About Patrik Wozniacki
Caroline Wozniacki is a Danish former professional tennis player, born on July 11, 1990, in Odense, Denmark, to Polish immigrant parents Piotr and Anna Wozniacki. Of Polish ancestry, she grew up in a highly athletic family and began playing tennis at age seven under the guidance of her father, a former professional soccer player who [...] The post Caroline Wozniacki Siblings: All About Patrik Wozniacki appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 24 Aug 2026 12:49:49
Jelena Janković Siblings: All About Marko and Stefan
Jelena Janković is a Serbian former professional tennis player born on 28 February 1985 in Belgrade, then part of the Socialist Federal Republic of Yugoslavia. Turning professional in 2000, she rose to become one of the most successful Serbian players of her era, holding the world No. 1 ranking in women's singles for a total [...] The post Jelena Janković Siblings: All About Marko and Stefan appeared first on Kahawatungu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 24 Aug 2026 11:53:21
Kenya and UK deepen digital collaboration through new ICT and innovation initiatives
Kenya and the United Kingdom are strengthening their long-standing relationship through a renewed focus on digital transformation, innovation, artificial intelligence, and information and communication technology (ICT). British High Commissioner to Kenya Mr Matt Baugh indicated that as both countries seek to harness the opportunities presented by emerging technologies, their collaboration is evolving beyond traditional diplomatic...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 24 Aug 2026 11:56:43
Nakuru embarks on Sh3.8 billion sponge city flood solution
Nakuru County is implementing a Sh3.8 billion project towards embracing the sponge city concept as a possible solution to minimizing the frequency and severity of floods and improving water quality within the County. The County Government is partnering with Netherlands under the Water as Leverage (WaL) program, the UN-Habitat, the Netherlands Enterprise Agency (RVO) and...
read morekenyanews.go.ke
@kna Mon, 24 Aug 2026 12:11:03
Kenya braces for heavy rains as 1.5 million people face possible impact
Kenya has intensified preparations for potentially heavy October-November-December (OND) rains, with the National Disaster Operations Centre (NDOC) estimating that about 1.5 million people could be affected and 500,000 displaced under a worst-case scenario. The warning was issued Monday as the 13th National Climate Outlook Forum (NCOF13) opened at a Nairobi hotel, bringing together government agencies,...
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 24 Aug 2026 12:06:42
WALIOBOBEA: Burudi Nabwera alivuma kisiasa wakati wa Kanu
BURUDI Nabwera alikuwa miongoni mwa wanasiasa wasomi zaidi waliohitimu kutoka taasisi mashuhuri za Uingereza wakati wa ukoloni. Elimu hiyo ilimwezesha kuelewa mifumo ya ubepari wa Magharibi na ujamaa wa Mashariki, maarifa yaliyomsaidia katika siasa na diplomasia baada ya Kenya kupata uhuru. Baada ya uhuru, Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta, alimteua kuwa balozi nchini Amerika. Chini ya Rais Daniel arap Moi, Nabwera alipanda kutoka kuwa Katibu Mkuu wa KANU hadi kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais, moja ya nyadhifa zenye ushawishi mkubwa serikalini. Alizaliwa mwaka 1924 na kusomea Maseno School, Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda na London School of Economics. Akiwa Maseno, alikutana na Jaramogi Oginga Odinga, ambaye baadaye alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Kenya. Wengine waliosoma hapo ni Masinde Muliro na Wycliffe Wasia Awori, ambao baadaye walikuwa miongoni mwa wabunge wa kwanza wa Kenya katika Baraza la Kutunga Sheria (Legco). Akiwa Makerere, Nabwera alikutana na wasomi kama Bethwel Ogot, Thomas Odhiambo, Josephat Karanja, aliyewahi kuwa Makamu wa Rais chini ya Moi, pamoja na mshairi wa Uganda Henry Muwanga Barlow, mwandishi wa shairi maarufu Building the Nation. Katika kitabu chake How it Happened, Nabwera alisema watu hao walimhimiza na kumsaidia kujenga taaluma yake ya baadaye. Katika uchaguzi wa kwanza wa kitaifa baada ya enzi ya Kenyatta mwaka 1979, Nabwera alishindwa na Joshua Angatia katika kiti cha ubunge cha Lurambi North. Wakati wa utawala wa Kenyatta, alikuwa mwanasiasa mwenye ushawishi na Waziri Msaidizi wa Mashauri ya Kigeni. Moi alitaka kuwatumia wanasiasa wakongwe pamoja na rafiki yake Moses Mudavadi kukabiliana na siasa kali za Martin Shikuku, Lawrence Sifuna na Waziri Elijah Mwangale, ambaye rais hakumwamini. Baada ya Mwanasheria Mkuu Charles Njonjo kuporomoka kisiasa kufuatia uchunguzi kuhusu madai ya "uhaini", Moi alianza kupanga upya KANU. Alimteua David Okiki Amayo kuwa mwenyekiti na Nabwera kuwa Katibu Mkuu wa tatu wa chama hicho. Katika kipindi hicho, Nabwera alijenga sifa ya kuwa mwanasiasa mkali, akitangaza sera za chama na kutishia wanachama waliokiuka maagizo kwa hatua za kinidhamu au kutimuliwa. Alipata umaarufu mkubwa mwaka 1986 baada ya kuonekana kwenye runinga ya taifa, Voice of Kenya (VoK), na kutangaza kwamba KANU ilikuwa tayari kuwasamehe wanasiasa waliofahamika kama "watu wa Njonjo". Kauli hiyo ilizua hasira ndani ya KANU kwa sababu wakati huo ilikuwa mwiko kufikiria kuwasamehe wanasiasa waliokuwa wamehusishwa na Njonjo. Moi alikuwa amemshutumu Njonjo kwa kupanga njama na nchi ya kigeni kuangusha serikali. Rais alianzisha tume ya uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Cecil Miller, ambayo hatimaye ilimsafisha Njonjo. Hata hivyo, wanasiasa kadhaa waliodaiwa kuwa washirika wake walikuwa tayari wameanguka kisiasa. Kauli ya Nabwera ilipewa uzito mkubwa na vyombo vya habari, lakini ndani ya Ikulu na miongoni mwa viongozi wakuu wa KANU haikupokelewa vyema. Baadhi yao walimshutumu kwa kuwa mfuasi wa Njonjo. Muda mfupi baadaye, aliondolewa kama Katibu Mkuu na nafasi hiyo ikachukuliwa na Mudavadi. Akiwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Nabwera alikuwa na ushawishi mkubwa kuliko hata Katibu Mkuu wa KANU. Ofisi yake katika Harambee House ilitembelewa na wafanyabiashara, watu waliokuwa wakitafuta ajira na mabroka wa kisiasa waliotaka apelekee ujumbe wao kwa Rais Moi. Hata hivyo, kosa lake kubwa lilikuwa kushindwa kutofautisha masuala ya serikali na chama. Ushindi wake wa moja kwa moja katika eneo bunge la Lugari katika uchaguzi wa 1988 wa mlolongo, ulimfanya aamini zaidi nguvu za KANU. Katika uchaguzi wa 1992, alishindwa na Apili Wawire wa FORD-Asili. Kabla ya kuondoka Bungeni, Nabwera alihamishiwa Wizara ya Habari ambako aliendelea kutetea KANU. Alifanya mabadiliko katika taasisi za habari akilenga kuhakikisha zinaunga mkono chama hicho kabla ya uchaguzi wa vyama vingi wa 1992. Aliondoa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC), zamani VoK, James Kangwana, pamoja na bodi yake kupitia ilani ya serikali na kuwaweka watu alioamini walikuwa waaminifu kwa KANU. Nabwera pia alikosoa Benki ya Dunia kwa masharti yake makali ya misaada kwa Kenya, akipinga hasa pendekezo la kupunguza idadi ya wanafunzi waliojiunga na vyuo vikuu.
read morekenyans.co.ke
@kenyans Mon, 24 Aug 2026 11:05:03
Relief for Taxpayers as Tribunal Rules on Using VAT Credits to Clear Tax Bills
The ruling comes amid KRA's push for taxpayers to clear historical tax debts under the 2026 tax amnesty, offering fresh guidance on the use of existing tax credits.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 24 Aug 2026 11:03:49
Eva Lys Siblings: All About Lisa Matviyenko
Eva Lys is a German professional tennis player born on January 12, 2002, in Kyiv, Ukraine. Her family relocated to Germany when she was about two years old, settling in the Hamburg area, and she has since represented Germany throughout her career. Lys is coached primarily by her father, Vladimir Lys, a former professional who [...] The post Eva Lys Siblings: All About Lisa Matviyenko appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 24 Aug 2026 11:05:29
Alexander Zverev Siblings: Get to Know Mikhail Zverev
Alexander "Sascha" Zverev is a German professional tennis player born on April 20, 1997, in Hamburg, Germany. He plays right-handed with a two-handed backhand and is known for his powerful serve, solid baseline game, and strong backhand. His parents, Alexander Zverev Sr. and Irina Zvereva, are both former professional tennis players who represented the Soviet [...] The post Alexander Zverev Siblings: Get to Know Mikhail Zverev appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 24 Aug 2026 11:09:43
Serikali yakataa wito wa Upinzani kuita ICC kwa suala la mashambulizi ya wahuni
SERIKALI imekataa wito wa upinzani na mashirika ya kiraia kwa Mahakama ya Kimataifa kuhusu Uhalifu (ICC) kuchunguza kuongezeka kwa ghasia za kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Serikali imesisitiza kuwa idara za usalama na taasisi za sheria nchini zina uwezo wa kukabiliana na vitisho hivyo. Msimamo huo unajiri Amerika ikiongeza kampeni yake dhidi ya ICC, huku Muungano wa Ulaya na washirika wengine wa kimataifa wakitetea mahakama hiyo kama chombo huru cha haki duniani. Mjadala huo umeibua kumbukumbu za ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007, ambapo ICC ilianzisha uchunguzi kuhusu madai ya uhalifu dhidi ya binadamu kufuatia uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata. Mkuu wa Mawaziri na Waziri wa Masuala ya Nje na Wakenya wanaoishi ng'ambo, Musalia Mudavadi, alisema Kenya imejitolea kuzingatia utawala wa sheria na haina haja ya kupeleka uchunguzi wa uhalifu wa ndani kwa taasisi za kimataifa. "Tuna wajibu wa kuimarisha na kulinda taasisi kama ICC," alisema Bw Mudavadi katika mahojiano. Alisema Kenya haijawahi kukataa kuheshimu utawala wa sheria, iwe katika uwanja wa kimataifa au ndani ya nchi. "Serikali hii imefikishwa katika mahakama za humu nchini mara nyingi. Hatujawahi kukaidi maamuzi ya mahakama; daima tumeyaheshimu," alisema. Bw Mudavadi alikataa wito wa taasisi za kimataifa kuingilia kati, akisema mahakama za Kenya na idara za usalama zina uwezo wa kukabiliana na ghasia na uvunjaji wa sheria kuelekea uchaguzi wa 2027. Alikumbusha Rais William Ruto alivyowahi kufikishwa ICC kuhusu tuhuma za ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007. "Rais wetu wa sasa, Ruto, alikuwa na ujasiri wa kukabiliana na ICC. Hii inaonyesha kwamba, mwishowe, anaheshimu utawala wa sheria," alisema. Kesi dhidi ya Rais Ruto iliondolewa baadaye kutokana na ukosefu wa ushahidi wa kutosha. Kwa jumla, Wakenya sita waliwahi kushtakiwa katika ICC, akiwemo Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Kesi zote zilitibuka. Msimamo wa serikali unatofautiana na ule wa viongozi wa upinzani na mashirika ya kiraia yanayotaka uchunguzi wa kimataifa kuhusu kile wanachosema ni dalili za kuandaliwa kwa ghasia za kisiasa. Mnamo Jumatano, Muungano wa Upinzani, muungano usio rasmi wa wakosoaji wa Rais Ruto, uliitaka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa ICC kuanza kuchunguza matukio ya hivi majuzi ya ghasia za kisiasa nchini. Kiongozi wa People's Liberation Party Martha Karua, aliyesoma taarifa hiyo kwa niaba ya muungano huo, alitaja mashambulizi yaliyolenga aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Rongai, Nakuru; tukio lililomlenga aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i Mulot, Bomet; ghasia zilizokumba mkutano wa Linda Mwananchi Homa Bay; na makabiliano ya awali Keumbu, Kisii. "Huu ni wito wa kuchukua hatua kuhusu ghasia za uchaguzi nchini Kenya," alisema Bi Karua. "Matukio ya ghasia za kisiasa yanayoongezeka katika maeneo mbalimbali ya Kenya hayawezi tena kupuuzwa kama makabiliano ya kawaida kati ya wafuasi wa kisiasa wanaopingana."
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 24 Aug 2026 10:34:11
Sebastian Szymański Siblings: Meet the Siblings Squad Behind the Football Player
Sebastian Szymański is a Polish professional footballer who plays as an attacking midfielder or winger. He currently features for the French Ligue 1 club Rennes and represents the Poland national team, for which he has earned dozens of caps and scored several goals. Known for his technical ability, vision, dribbling, and energy on the pitch, [...] The post Sebastian Szymański Siblings: Meet the Siblings Squad Behind the Football Player appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content