taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 11 Sep 2026 05:55:42
Unaweza kuishi maisha ya furaha kabisa bila kuwa na mpenzi, utafiti wadai
KWA miongo mingi, ndoa na mahusiano ya kimapenzi yamekuwa yakitazamwa kama msingi wa furaha na utulivu wa kihisia. Hata hivyo, utafiti mpya umeonyesha kuwa maisha ya useja yanaweza kuleta manufaa makubwa kwa maendeleo binafsi, ustawi wa kisaikolojia na kuridhika na maisha kwa ujumla. Utafiti huo, uliochapishwa hivi majuzi kupitia mfululizo wa tafiti tatu zilizojumuisha majaribio na uchambuzi wa kumbukumbu za washiriki, uligundua kuwa watu wasio katika mahusiano ya kimapenzi hupata nafasi kubwa ya kujitambua, kujikuza na kushiriki katika uzoefu mpya unaoongeza ubora wa maisha yao. Kwa mujibu wa watafiti, watu wanaochukulia useja kama fursa ya ukuaji binafsi huwa na kiwango kikubwa cha kuridhika na maisha yao. Aidha, wanaripoti kutosheka kwa mahitaji yao ya kisaikolojia, furaha zaidi na hofu ndogo ya kubaki bila uwepo wa mpenzi. Utafiti huo, uliopewa jina la Riding Solo: The Associations Between Singlehood Self-Expansion Potential, Self-Expansion Experiences, and Singlehood Outcomes, unaeleza kuwa zaidi ya asilimia 40 ya watu wazima hupitia kipindi cha maisha ya useja katika hatua mbalimbali za maisha yao. Hii inajumuisha wale ambao hawajawahi kuingia katika ndoa au mahusiano ya kudumu pamoja na wale waliorejea kwenye useja baada ya talaka au kuvunjika kwa mahusiano. Watafiti walibaini kuwa watu wanaochagua kwa hiari kubaki bila wachumba huwekeza muda mwingi katika taaluma zao, masomo, biashara, usafiri, michezo, burudani na mahusiano ya kifamilia. Wengi wao huchukulia shughuli hizi kama njia ya kujenga maisha yenye maana na mafanikio. Miongoni mwa shughuli zilizotajwa kuwa chanzo kikuu cha ukuaji binafsi ni mazoezi ya mwili, sherehe za kijamii, kujumuika na marafiki, kula nje, mafanikio ya kitaaluma, matamanio mbalimbali na safari za mapumziko. Kinyume na dhana kwamba watu wasio na wachumba huishi maisha ya upweke, utafiti ulionyesha kuwa asilimia 83 ya washiriki walifanya shughuli zao za maendeleo binafsi wakiwa pamoja na watu wengine. Marafiki walikuwa kundi kubwa zaidi la waliowasaidia, wakifuatiwa na wanafamilia, huku asilimia 18 pekee wakifanya shughuli hizo wakiwa peke yao. Wanasaikolojia wanaeleza hali huu ni mchakato wa mtu kupanua maarifa, uzoefu na mtazamo wake wa maisha kupitia shughuli na mahusiano mbalimbali. Ingawa tafiti nyingi zimehusisha mchakato huo na mahusiano ya kimapenzi, utafiti huu unaonyesha kuwa ukuaji huo unaweza pia kupatikana nje ya mapenzi. Hata hivyo, watafiti waligundua kuwa watu wanaotamani kuingia katika mahusiano ya kudumu au wanaoamini kuwa furaha inapatikana tu kupitia mapenzi walikuwa na uwezekano mdogo wa kuona useja kama fursa ya maendeleo. Kwa upande mwingine, watu wenye kiwango kikubwa cha kujiamini walionekana kufurahia zaidi maisha ya useja na kuona fursa nyingi za kujikuza. Watafiti waliongeza kuwa matokeo hayo yalitokana na washiriki walio katika umri wa miaka ya 30 na 40, hivyo huenda yasiwakilishe kikamilifu uzoefu wa makundi yote ya watu wasio katika mahusiano. Hata hivyo, utafiti huo unaibua mtazamo mpya kwamba maisha ya useja yanaweza kuwa kipindi muhimu cha ukuaji, mafanikio na kujitosheleza binafsi.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 05:20:53
DP Kindiki says Ruto's development scorecard is extensive and impossible to ignore
Deputy President Kithure Kindiki hailed the National Infrastructure Fund as the answer to Kenya's road financing problems, promising major roads across Mt Kenya East. Prof Kindiki said the next major dual-carriageway project after the Rironi-Mau Summit Road would run from Makutano through Mwea, Embu, Chuka, Meru and Maua. "After the Rironi-Mau Summit Road, the next [...] The post DP Kindiki says Rutos development scorecard is extensive and impossible to ignore appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 05:26:44
New framework ends KSL training monopoly for law students
The Council of Legal Education (CLE) has introduced a new framework ending a monopoly at the Kenya School of Law (KSL) on training advocates. KSL has been enjoying the monopoly for 18 years which among others affected the quality of services offered. This came after CLE introduced two regulatory frameworks: the Legal Education (Licensing and [...] The post New framework ends KSL training monopoly for law students appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 05:29:49
Woman assaulted, murdered as three children tied to tree in Kilifi
Police in Kilifi County have launched investigations after a 36-year-old woman was allegedly assaulted and murdered at Mbuuni area of Sosoni Ndogo Centre in Magarini Sub-County. Police said Neema Charo Nchengo was allegedly lured from a makeshift structure together with her three children before the children were tied to a tree. The three children were [...] The post Woman assaulted, murdered as three children tied to tree in Kilifi appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 05:32:24
Woman murdered on her way to toilet in Meru in suspected love triangle saga
A 31-year-old woman was brutally murdered in Muthathia area of Buuri West, Meru County, on Thursday morning while reportedly heading to the toilet. The deceased, identified as Charity Kinya, was attacked at around 5am near Full Gospel Church, police said. Kinya had woken up and was walking towards the toilets within a rental compound when [...] The post Woman murdered on her way to toilet in Meru in suspected love triangle saga appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 11 Sep 2026 04:55:26
Shahbal amkaidi Ruto, atema ODM na kuapa kuwania ugavana Mombasa
UAMUZI wa mfanyabiashara na mwanasiasa Suleiman Shahbal kukataa jaribio la Rais William Ruto kumshawishi asigombee ugavana wa Mombasa, na kutangaza kujiondoa katika Chama cha ODM, kumesababisha mwelekeo mpya wa kisiasa katika ushindani wa ugavana wa kaunti hiyo. Awali, Bw Shahbal alitarajiwa kushindania tikiti ya ODM dhidi ya Gavana Abdulswamad Nassir kuwania ugavana 2027, kabla Dkt Ruto kujaribu kumshawishi ajiondoe kwenye kinyang'anyiro Jumanne. Katika mahojiano na wanahabari wa Mombasa Jumatano usiku, mwanasiasa huyo alisisitiza atakuwa debeni hata kama ODM haitampa tikiti. Alidai kuwa, Rais Ruto alishawishiwa na watu wanaotaka kumtoa kwenye kinyang'anyiro hicho. "Ninaamini Rais alichochewa kutamka maneno hayo, kwamba mimi ni mfanyabiashara na ninapaswa kuwaachia wanasiasa siasa. Ndiyo maana wanasukuma suala la kugawana maeneo. Kwa nini hamwaachi wananchi waamue?" Bw Shahbal alisema. Huku akitangaza kujiondoa kutoka ODM, alisema anaamini chama hicho hakitamteua. "Tuko katika 'talaka ya kirafiki' na ODM. Chama hakitaniteua na ninajiandaa na jukwaa jipya la kisiasa. Tuna chama chetu cha kisiasa ambacho tutakitangaza hivi karibuni," Mjumbe huyo wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) alisema. Katika uchaguzi wa mwaka wa 2022, Bw Shahbal alijiondoa katika kinyang'anyiro cha ugavana na kumuunga mkono Bw Nassir. Jumanne, Rais Ruto alimshauri kutorejea katika kinyang'anyiro hicho, akisema Kenya ingenufaika zaidi kutokana na ujuzi wake wa biashara, uwekezaji na uundaji wa nafasi za ajira kuliko kuingia katika siasa. Rais alikuwa akizungumza wakati wa kutiwa sahihi kwa makubaliano ya Sh12 bilioni kati ya GulfCap Group ya Bw Shahbal na kampuni ya kimataifa ya shughuli za bandarini ya DP World, kwa ajili ya kuanzisha eneo maalumu la kiuchumi lenye ukubwa wa ekari 535 Jomvu. Bw Shahbal alikiri kuwa ana urafiki na Dkt Ruto na akamsifu Rais kwa kutambua mafanikio yake katika biashara. Hata hivyo, alisema hakubaliani na ushauri wa kuachana na siasa. Alihoji kwa nini Rais, ambaye pia ni mfanyabiashara, angemwomba achague kati ya biashara na uongozi wa kisiasa. Kulingana naye, wanasiasa wengi wa Kenya wamewekeza katika biashara, akisema biashara na siasa zina malengo tofauti. "Unajua biashara ni jambo la kibinafsi; unapata hasara na faida ambazo hunufaisha familia yako na wafanyakazi wako. Lakini katika siasa, unapogombea uongozi, ni tendo la kujitolea kuwahudumia wananchi," alisema. Alikosoa ODM kwa kutumia vibaya uteuzi wa wagombea kwa manufaa ya watu wachache, akidai kwamba baadhi ya madiwani waliotaka kumuunga mkono mwaka wa 2022 walitishiwa kunyimwa tiketi za chama. "Enzi ya kuamua wanasiasa wanaopaswa kugombea na wale wanaopaswa kujiondoa imepitwa na wakati," alisema. Uamuzi wake wa kuondoka katika chama hicho unaweza kujaribu uwezo wake wa kujenga nguvu za kisiasa nje ya chama ambacho kimekuwa nguvu kubwa katika siasa za Mombasa kwa zaidi ya muongo mmoja. Hata hivyo, Bw Shahbal amekuwa akitumia vyama tofauti katika azma zake za uongozi, vikiwemo Wiper na Jubilee, tangu mwaka 2013. Alikanusha pia uwezekano wa kukubali nafasi ya uwaziri iwapo atapewa. Bw Shahbal anasema hagombei wadhifa huo kwa ajili ya kujipatia fedha, bali anataka kuwatumikia wananchi. Amependekeza kutengwa kwa Sh50 milioni kila mwaka kwa kila wadi kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika sekta za afya, vijana, wanawake na usalama, akisema rasilimali zinapaswa kugawanywa moja kwa moja zaidi hadi ngazi ya mashinani.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 04:18:48
Oburu confirms UK medical trip
Orange Democratic Movement (ODM) leader Oburu Oginga confirmed that he travelled to the United Kingdom for a routine medical check-up, assuring party members that the political outfit has sufficiently strong structures to continue operating in his absence. Oburu said in a statement issued on Thursday, he travelled to the UK on the advice of his [...] The post Oburu confirms UK medical trip appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 04:21:14
Azimio to rebrand, include more opposition parties
United Opposition leaders under the Azimio la Umoja One Kenya coalition umbrella have resolved to rebrand the political outfit into a more inclusive opposition coalition party. Speaking at the SKM Command Centre in Karen on Thursday, Azimio Secretary General Caroli Omondi said the decision followed a meeting held by Joint Azimio Council and National Executive [...] The post Azimio to rebrand, include more opposition parties appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 04:23:48
Korane vows to reinstate 6,000 sacked county workers if re-elected Garissa governor
Former Garissa Governor Ali Bunow Korane pledged to reinstate 6,000 county employees he says were dismissed after he left office if elected Governor in the 2027 General Election. Korane, who served as Governor from 2017 to 2022, said his bid to reclaim the seat was driven by an unfinished development agenda and lessons he learnt [...] The post Korane vows to reinstate 6,000 sacked county workers if re-elected Garissa governor appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 04:26:05
Trump promises to send $500 to nearly 1 million Americans for Obamacare 'overcharges'
US President Donald Trump has promised to send $500 (£370) to nearly one million Americans, as refunds for what he described as Obamacare overcharges collected during the Biden administration. The refunds, to be sent out starting in October, will go to people in 30 states who buy health insurance through the federal marketplace and do [...] The post Trump promises to send $500 to nearly 1 million Americans for Obamacare overcharges appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 04:28:29
Jimmy Kimmel says interview with Democrat won't air on TV, cites regulator 'threats'
TV host Jimmy Kimmel says his interview with Democratic Senate candidate James Talarico will not air on television due to pressure from the Federal Communications Commission (FCC). Speaking on his talk show, Jimmy Kimmel Live!, on Wednesday, Kimmel said the FCC, under Donald Trumps presidency, had threatened him and his show based on simple traditional [...] The post Jimmy Kimmel says interview with Democrat wont air on TV, cites regulator threats appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 04:31:19
US airport security weighs major changes 25 years after 9/11
American airports dramatically changed in the wake of 9/11, but new policy changes are restoring some previously banned travel practices after 25 years. The Transportation Security Administration (TSA) announced that it will soon allow individuals without tickets to pass through security and go to airport gates with loved ones. TSA is also considering allowing some [...] The post US airport security weighs major changes 25 years after 9/11 appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content