kahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 07:33:47
Juan Soto Net Worth
Juan Soto is a Dominican professional baseball player who has an estimated net worth of $100 million. The MLB outfielder has built his wealth through a highly successful career that began when he signed with the Washington Nationals as an international free agent at just 16 years old. Known by the nickname "Childish Bambino," Soto [...] The post Juan Soto Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 11 Sep 2026 07:55:52
Kunywa chai moto sana huongeza hatari ya saratani ya umio – Utafiti
KUNYWA chai, kahawa au vinywaji vingine vikiwa moto sana kunaweza kuongeza hatari ya kupata saratani ya umio, kulingana na utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oxford Uingereza. Utafiti huo, uliochapishwa katika Jarida la International Journal of Cancer, ulihusisha watu 977,282 wenye umri wa juu na umeelezwa kuwa mojawapo ya tafiti kubwa zaidi kuchunguza uhusiano kati ya joto la vinywaji na saratani ya umio. Watafiti waligundua kuwa watu waliokunywa vinywaji vilivyo na joto la nyuzi 65 au zaidi walikuwa na hatari karibu mara tatu zaidi ya kupata saratani hiyo ikilinganishwa na waliokunywa vinywaji vya vuguvugu. Kulingana na watafiti, mvuke wenye joto kali unaweza kuharibu chembe zinazofunika umio wakati unapopita kuelekea tumboni. "Kunywa vikombe sita au zaidi vya vinywaji vya moto kwa siku kunaweza kuongeza hatari hiyo. Kuongezwa kwa maziwa kunaweza kupunguza joto kidogo, lakini chai au kahawa yenye maziwa bado inaweza kuwa moto kupita kiasi," unasema utafiti huo. Chai inayotengenezwa mara tu baada ya maji kuchemka inaweza kuwa na joto la karibu nyuzijoto 100. Inapomiminwa kwenye kikombe, joto hilo hupungua hadi karibu nyuzi 90–95. Wataalamu wanashauri watu kusubiri kwa dakika chache kabla ya kunywa ili kinywaji kipoe hadi joto linalofaa. Mtaalamu wa Afya, Dk Keren Papier, alisema tafiti za awali Amerika Kusini, ambako watu wengi hunywa kinywaji cha mitishamba kikiwa moto sana, pia zilionyesha uhusiano wa kupata aina hiyo ya saratani. Hata hivyo, watafiti walisema hatari ya jumla ya kupata saratani ya umio bado ni ndogo hata kupitia unywaji wa vinywaji moto. Njia muhimu zaidi za kupunguza hatari ni kutovuta sigara na kupunguza unywaji wa pombe. Dalili za saratani ya umio zinaweza kujumuisha kiungulia, maumivu ya koo au kifua na kupungua uzani wa mwili.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 06:40:10
Two children die in Mbumbuni house fire in Makueni County
Two children aged two and four years died after a fire broke out in their room at Mbumbuni Market, Makueni County. The incident occurred on Thursday, September 10, 2026. A tenant alerted authorities after noticing smoke emanating from one of the rooms.. Police said they found that the two children had perished in the fire. [...] The post Two children die in Mbumbuni house fire in Makueni County appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 06:48:27
Police repulse al-Shabaab militants after probing attack on camps in Mandera, Lamu
Suspected Al-Shabaab militants on Thursday night attempted to attack an Anti-Stock Theft Unit (ASTU) camp in Elram, Mandera County, but were repulsed by security officers. A similar incident happened at a General Service Unit camp in Kiunga, Lamu County. Officials said the first incident occurred at around 10:23 p.m. on September 10, 2026, at the [...] The post Police repulse al-Shabaab militants after probing attack on camps in Mandera, Lamu appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 06:53:18
Aroldis Chapman Net Worth
Aroldis Chapman has an estimated net worth of $70 million. The Cuban-American professional baseball pitcher has built his fortune through a long Major League Baseball career, lucrative contracts and high-value salaries. Known for his extraordinary fastball, Chapman became one of the most dominant relief pitchers of his generation and has played for several MLB teams, [...] The post Aroldis Chapman Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 06:54:27
Traffic chaos anticipated on Mombasa Road as Cabanas section temporarily closed
Motorists using Mombasa Road towards Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) were notified of a temporary partial closure of a section of the highway at Cabanas area. Officials said this may cause traffic chaos as they urged motorists to seek alternative routes if necessary. The Kenya National Highways Authority (KeNHA) said the closure will affect the [...] The post Traffic chaos anticipated on Mombasa Road as Cabanas section temporarily closed appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 11 Sep 2026 07:04:10
David Cone Net Worth
David Cone has an estimated net worth of $30 million. The retired American professional baseball pitcher built his wealth during a 17-year Major League Baseball career that included stints with the Kansas City Royals, New York Mets, Toronto Blue Jays, New York Yankees and Boston Red Sox. Cone was one of the most successful pitchers [...] The post David Cone Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 11 Sep 2026 06:55:21
Mudavadi asema wafanyabiashara wageni watalindwa
MKUU wa Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewahakikishia wafanyabiashara wa kigeni kuwa wanaweza kuendelea kufanya biashara nchini Kenya iwapo wana stakabadhi zinazohitajika, huku mashirika ya kutetea haki yakieleza wasiwasi kuhusu unyanyasaji wa wageni hao. Bw Mudavadi alisema Kenya haijaweka marufuku ya jumla kwa wageni kufanya biashara ndogo ndogo na akawataka raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kurekebisha stakabadhi zao na kuendelea na shughuli halali "kwa ujasiri". Alisema hayo Alhamisi alipohutubia mabalozi na maafisa wa balozi za kigeni mjini Nairobi. "Maagizo yaliyotolewa na Rais wetu Septemba 2, 2026 kuhusu biashara ndogo ndogo na rejareja yanalenga kulinda sekta zilizo hatarini za uchumi wetu, kukuza ushindani wa haki na kuhakikisha Wakenya wanapata riziki," alisema. Alisema Kenya bado imejitolea kuimarisha ushirikiano wa kikanda na akawataka raia wa EAC kufuata sheria zinazohusu kuingia nchini, kukaa na kufanya kazi. "Kenya iko wazi kwa biashara ndogo na kubwa kwa wageni, mradi wanazingatia masharti ya uhamiaji, vibali vya kufanya kazi, usajili na leseni," alisema. Kauli hiyo ilitolewa huku mashirika ya haki za binadamu, viongozi wa kidini na makundi mengine yakieleza wasiwasi kuhusu utekelezaji wa maagizo hayo ulioanza Septemba 7. Police Reforms Working Group Kenya ilisema wafanyabiashara kutoka Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameathirika zaidi, huku kukiwa na ripoti za misako kiholela, vitisho, unyang'anyi na unyanyasaji. Muungano wa mashirika 23 ya kiraia pia ulisema hatua za kulinda biashara za Wakenya hazifai kugeuka kuwa ubaguzi wa wageni kwa misingi ya utaifa. Mashirika hayo yalisema raia wa Burundi, Uganda, Tanzania na nchi nyingine za EAC wamekumbwa na hofu, huku baadhi wakifunga biashara na wengine kutafuta hati za kusafiria ili kuondoka nchini. Baraza la Mashirika ya Kidini nchini Kenya lililaani mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wageni na kuitaka Serikali kuhakikisha usalama wao. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu Kenya Davis Malombe, alitaka waathiriwa walipwe fidia na Serikali iwaombe msamaha. "Tunaomba waathiriwa walipwe fidia. Na fidia pekee haitoshi; lazima muombe msamaha na kutoa hakikisho kwamba hawatanyanyaswa tena," alisema. Wakati huo huo, hali katika Ubalozi wa Burundi Nairobi iliripotiwa kuwa mbaya huku wanawake, watoto na watu wasio na ajira wakipiga kambi nje ya ubalozi wakisubiri hati za kusafiri. Niyonkuru Celestin alisema mchakato ulikuwa wa polepole na baadhi yao walikosa chakula na maji. Nchini Nakuru, mzee wa Nyumba Kumi Bondeni, Maalim Sharif, alisema wageni wameishi kwa amani na wenyeji na wanapaswa kupewa nafasi ya kurekebisha stakabadhi zao. "Ni ndugu na dada zetu; tunapaswa kuishi kwa amani kama Waafrika," alisema.
read moreRight Column Content