taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 13 Jul 2026 23:25:58
Kindiki awazidi Wanga na Oburu kwa mbio za mgombea-mwenza wa Ruto
NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki yuko pazuri kudumisha nafasi yake kama mgombea-mwenza wa Rais William Ruto, kulingana na matokeo ya utafiti. Kwa mujibu wa matokeo ya Infotrak, Prof Kindiki amewazidi kwa mbali wanasiasa wengine ndani ya Serikali Jumuishi. Hapo jana, utafiti huo ulionyesha kuwa Prof Kindiki anaongoza kwa asilimia 34 kati ya wale wanaotajwa kuwa wagombea-wenza wa Rais Ruto na ni pekee aliyepata zaidi ya asilimia 20. Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga anafuata kwa asilimia 11, huku Kiongozi wa ODM, Dkt Oburu Oginga na Waziri wa Madini Hassan Joho wakiwa na asilimia tano na nne mtawalia. Bi Wanga ashatangaza kuwa analenga kutetea kiti chake Homa Bay naye Dkt Oginga analenga Useneta wa Siaya kwa mara nyingine. Bw Joho amekuwa akisukumwa na baadhi ya wanasiasa kutoka ukanda wa Pwani ambako ana ushawishi mkubwa wa kisiasa. Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya, Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangúla na Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi wamekuwa wakitajwa na baadhi ya wanasiasa kutoka Magharibi mwa nchi kama wanaotea nafasi ya Profesa Kindiki lakini hawakuorodheshwa popote. Wiki jana, Bw Mudavadi hata hivyo akiwa Kaunti ya Trans Nzoia, aliweka wazi kuwa hataki kuwa mgombeaji mwenza wa Rais Ruto bali analenga kuwahi urais mnamo 2032. Kinaya ni kuwa eneo la Magharibi na Nyanza, Prof Kindiki anapigiwa upatu kwa asilimia 36 and asilimia 28. Kiwango cha Nyanza kinazidi hata asilimia 21 ya Bi Wanga eneo hilo. Vivyo hivyo Pwani mwa nchi, Bw Joho ana asilimia 11 huku Profesa Kindiki akiwa na asilimia 23. Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amekuwa akiongoza viongozi wa Mlima Kenya Mashariki kusisitiza kuwa Prof Kindiki asalie naibu rais huku akisema wako tayari kuagana na wenzao wa Mlima Kenya Magharibi debeni kama hawataungwa mkono. Katika eneo la Mlima Kenya, Profesa Kindiki alijizolea asilimia 22 kati ya wale ambao wanataka awe mgombeaji mwenza wa Rais. Katika matokeo ya utafiti wa TIFA yaliyotolewa mnamo Mei 14, Profesa Kindiki alikuwa na asilimia 59 huku Bi Wanga aliyemfuata akiwa na asilimia 12. Dkt Oginga alipata asilimia tatu huku Bw Joho akitoka na asilimia moja. Iwapo matokeo haya ni ya kuzingatiwa, basi huenda mjadala wa nani anastahili kuwa mgombeaji mwenza wa Rais 2027 ukatatuliwa mapema na kumwezesha kujipanga. Kama mwishowe Rais atamteua Profesa Kindiki kama mgombeaji mwenza ana nafasi ya kuwahi zaidi ya kura 1.3 za Mlima Kenya Mashariki ambazo ni kaunti za Embu, Meru na Tharaka-Nithi
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 13 Jul 2026 22:55:30
Kampeni zakamilika Ol Kalou wakazi wakibaki na maswali matatu ya kutafakari
KAMPENI za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou zilipokamilika rasmi Jumatatu, wapigakura walibaki wakitafakari masuala matatu tofauti yaliyotawala kampeni kabla ya uchaguzi wa Alhamisi. Swali kuu lililozua mjadala ni iwapo uchaguzi huo unafaa kuwa kura ya maoni kuhusu utawala wa Rais William Ruto, kama kinavyosisitiza chama cha Democracy for Citizens Party (DCP). Suala jingine ni iwapo wakazi wanapaswa kukiunga mkono chama tawala UDA ili kuendeleza miradi ya maendeleo na kuonyesha kuwa Nyandarua inaweza kuamua hatima yake ya kisiasa bila kushawishiwa na kaunti jirani za Mlima Kenya. Hoja ya tatu ni kwamba wapigakura wapuuze siasa za kitaifa na wamchague mgombeaji wanayeamini ndiye anayefaa zaidi kuwakilisha Ol Kalou. Tofauti na chaguzi zilizopita, mikutano ya kampeni haikutoa taswira halisi ya uungwaji mkono wa kisiasa. Mikutano ya UDA na DCP ilihudhuriwa na makundi yaliyokuwa yakizunguka kutoka mkutano mmoja hadi mwingine bila kujali chama kilichoandaa. Wadadisi wa kisiasa wanakadiria kuwa zaidi ya nusu ya waliohudhuria mikutano mikubwa walikuwa sehemu ya makundi hayo. Isitoshe, tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo wafuasi walivaa mavazi ya vyama vyao kipindi chote cha kampeni, wengi walikuwa wakivua kofia na fulana mara tu mikutano ilipomalizika. Haikuwa jambo la kushangaza kuona mtu mmoja akiwa na kofia za UDA na DCP na kuzivaa kulingana na mkutano aliokuwa akihudhuria. Katika kampeni zote, viongozi wa DCP walieleza kuwa uchaguzi huo ni nafasi ya kumwaadhibu Rais Ruto na serikali yake kufuatia kutimuliwa kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na kile walichodai ni usaliti dhidi ya eneo la Mlima Kenya. Wakiongozwa na Seneta wa Nyandarua John Methu, viongozi hao walidai kuwa miradi mingi ya maendeleo iliyozinduliwa wakati wa kampeni ilikuwa mbinu ya kuwahonga wapigakura. Ujumbe huo ulitawala pia mkutano wa mwisho wa DCP uliofanyika katika Bustani ya Ol Kalou Jumatatu. "Ni lazima tukatae mgombeaji wa UDA kwa sababu Rais Ruto alitusaliti baada ya kumpa uungwaji mkono mkubwa katika uchaguzi mkuu wa 2022. Kumkataa yeye na mgombeaji wake kutarejesha heshima ya kisiasa ya jamii yetu. Kenya nzima inaangalia Nyandarua kwa sababu uchaguzi huu utaweka msingi wa kumwondoa mamlakani 2027," akasema Seneta Methu. Mgombeaji wa DCP Kamau Ngotho aliwataka wapigakura kutumia uchaguzi huo kuonyesha kutoridhishwa kwao na serikali ya Kenya Kwanza. "Kura ya DCP ni ujumbe mzito kwa Kenya na dunia dhidi ya mauaji ya waandamanaji wa Gen Z, gharama ya juu ya maisha na mfumo wa afya unaodorora," akasema. Kwa upande wake, UDA iliwataka wapigakura kutenganisha siasa za kitaifa na maendeleo ya eneo lao. Chama hicho kilisema Nyandarua imekuwa ikitengwa kwa miaka mingi na kwamba kuunga mkono serikali kutahakikisha miradi inayoendelea inakamilika. Mratibu wa kampeni za UDA na Mbunge Mwakilishi wa Kike wa Nyandarua Faith Gitau aliwashutumu viongozi wa DCP kwa kutumia malalamishi ya eneo hilo kisiasa ilhali walipokuwa serikalini hawakutekeleza maendeleo. "Wanaozungumzia usaliti walikuwa katika nyadhifa za juu serikalini lakini hawakufanyia Nyandarua maendeleo. Aliyekuwa Naibu Rais atuambie ni mradi gani mkubwa aliouletea kaunti hii. Miradi mingi mnayoiona sasa ilianzishwa baada ya kuondoka kwake," akasema katika mkutano wa mwisho wa UDA katika uwanja wa JM Kariuki KMTC.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 21:54:27
UAE condemns Iran's 'brazen' attack on tankers as US launches fresh strikes
The UAE accused Iran of a brazen attack on two tankers in the Strait of Hormuz on Monday, killing one and wounding eight, as Donald Trump said the US would impose a 20% charge as part of a new blockade on the waterway. The US president said they were hitting Iran very hard as strikes [...] The post UAE condemns Irans brazen attack on tankers as US launches fresh strikes appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 21:56:40
Body of missing banker found in mortuary after suspected stupefying at Lavington club
The body of a banker who had been missing was found in the mortuary in Nairobi after a suspected stupefying incident. The body of Edgar Mokua was found at the City Mortuary days after his family launched a search for him. He had been missing since July 7 when he was last seen at the [...] The post Body of missing banker found in mortuary after suspected stupefying at Lavington club appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 13 Jul 2026 21:55:32
Sifuna sasa amfunika Matiang'i katika utafiti wa maoni kuhusu urais 2027
NYOTA ya kisiasa ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna inaendelea kung'aa baada ya kumpiku aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang'i kama mgombea-mwenza anayeshabikiwa zaidi kushirikiana na kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka kama mgombea urais. Utafiti wa kampuni ya Infotrak jana ulionyesha kuwa kati ya wafuasi wa upinzani, tiketi ya Kalonzo-Sifuna ndiyo inayopigiwa upato zaidi kuliko ya Kalonzo-Matiang'i miongoni mwa wafuasi wa upinzani. Katika utafiti huo, tiketi ya Kalonzo-Sifuna inashabikiwa kwa asilimia 23 huku ya Kalonzo-Matiang'i ikiwa na asilimia 16. Asilimia 36 ya wafuasi wa upinzani kutoka Magharibi wanashabikia tiketi ya Kalonzo-Sifuna na kitaifa vijana wa kati ya umri wa miaka 18-26 wanaiunga mkono kwa asilimia 31. Kwa upande mwingine, ushirika wa Kalonzo-Matiang'i unashabikiwa kwa asilimia 23 eneo la Kaskazini Mashariki na asilimia 22 Mashariki. Takwimu hizo ndizo za juu zaidi kwa Kalonzo-Sifuna na Kalonzo-Matiang'i kulingana na utafiti huo. Aidha, utafiti huo unaonyesha tiketi ya Kalonzo-Sifuna ni maarufu katika maeneo yote (mikoa minane ya zamani) isipokuwa Kaskazini Mashariki ambapo Kalonzo-Matiang'i inatamba kwa asilimia 23 dhidi ya 17 ya Kalonzo-Sifuna. Mbali na mpangilio huo, tiketi ya Matiang'i kama mwaniaji urais na Kalonzo akiwa mgombea-mwenza inashabikiwa na asilimia 15 ya wafuasi wa upinzani huku ya Kalonzo-Rigathi Gachagua ikifuatia kwa umbali kwa asilimia tano pekee. Tiketi za Gachagua-Kalonzo na Gachagua-Matiang'i zilizoa asilimia nne pekee kila moja. Kwenye utafiti uliofanywa na kampuni ya TIFA mnamo Mei 14 tiketi ya Kalonzo-Matiang'i ndiyo ilikuwa na umaarufu miongoni mwa wafuasi wa upinzani kwa asilimia 31 huku ile ya Kalonzo-Sifuna ikiwa na asilimia 28. Kuhusu wawaniaji wa urais, Rais William Ruto anazidi kuwapiku washindani wake kwa asilimia kubwa japo, iwapo uchaguzi ungeandaliwa leo, hakuna yeyote ambaye angeshinda urais katika duru ya kwanza kwa kukosa kufikisha asilimia 50 + kura moja inayohitajika kikatiba. Katika utafiti huo, Rais alizoa asilimia 32 ya kura ya maoni, akimzidia kwa mbali mshindani wake wa karibu Bw Kalonzo aliyepata asilimia 13. Seneta Sifuna na Matiang'i walifuatia kwa karibu kwa kupata asilimia 12 kila mmoja. Iwapo Gachagua angewania urais, kulingana na Infotrak, angezoa asilimia nne ya kura, akimzidi Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino kwa asilimia moja. Aliyekuwa Jaji Mkuu, David Maraga angepigiwa kura na asilimia mbili naye Martha Karua wa PLP akapata asilimia moja. Utafiti huo unaonyesha asilimia 13 ya wapigakura hawajaamua ni mwaniaji yupi wa urais ambaye wangemchagua, hiyo ikiwa na maana kuwa kinyang'anyiro cha urais kingali wazi huku uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 ukizidi kukaribia. Aidha, matokeo hayo yanaashiria kuwa upinzani utalazimika kudumisha umoja hadi debeni ndipo uimarishe nafasi yao ya kumbwaga Rais Ruto. Kwa jumla, matokeo ya kura ya urais ya utafiti huo yanaonyesha kuwa wawaniaji hao sita wa urais kwa upande wa upinzani wangezoa asilimia 43 dhidi ya asilimia 32 ya Ruto. Hiyo ni bila kujali mienendo mingine ya wapigakura. Kimaeneo, Rais Ruto anampiku Bw Sifuna katika umaarufu eneo la Magharibi ambapo ana asilimia 35 huku seneta huyo wa Nairobi akiwa na asilimia 26. Kung'aa kwa nyota ya Bw Sifuna kunatukia wakati Linda Mwananchi imepanga mikutano miwili mikuwa Trans Nzoia na Bungoma mnamo Julai 25 na 26. Mikutano hiyo imekuwa ikivumishwa na Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya na inatarajiwa kutumiwa na wazee kumtawaza seneta huyo kama msemaji wa jamii ya Waluhya na kumpa baraka ya kusaka urais maeneo mengine. "Mipango inaendelea na tutatoa maelezo kuhusu mikutano hiyo baadaye," akasema Bw Natembeya katika mahojiano na Taifa Leo. Ni katika mikutano hiyo ambapo chama kipya ambacho Bw Sifuna atakitumia huenda kikatangazwa huku nia ikiwa ni kumsawiri kama kiongozi wa kitaifa. Kwa mujibu wa mchanganuzi wa masuala ya kisiasa, Lumala Masibo, kung'aa kwa nyota ya Bw Sifuna ni hatari kwa Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula ambao wametawala siasa za eneo hilo kwa miaka mingi. "Raila (Odinga) amekuwa akidhibiti siasa za Magharibi na kuwalemea Wetang'ula na Mudavadi lakini sasa Sifuna anaonekana amevalia viatu vya Raila na ushawishi wake unaendelea kupanda. Jinsi ilivyo sasa aidha atawania urais au kuwa mgombeaji mwenza kwa sababu sasa amekuwa mwanasiasa wa kitaifa," akasema Prof Masibo.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Mon, 13 Jul 2026 22:00:00
The irony: Kenya's Ministry of incompetence, embarrassment
Critics say Kenyas Interior Ministry has failed to curb rising insecurity, accusing its leadership of allowing organised crime, political violence and alleged state complicity to flourish.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 21:41:38
Volkswagen planning to cut up to 100,000 jobs globally
The chief executive of the German car giant Volkswagen Group has confirmed it is looking to cut up to 100,000 jobs – twice as many as previously stated. The group, which includes Porsche, Audi, Seat and Skoda as well as the VW brand, had previously said it would axe some 50,000 posts in Germany by [...] The post Volkswagen planning to cut up to 100,000 jobs globally appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 21:45:30
Lindsey Graham's sister chosen as replacement after senator's death
The sister of US Senator Lindsey Graham will serve as his temporary replacement after the South Carolina lawmaker died from an aortic tear on Saturday. Darline Graham Nordone was formally chosen by South Carolina Governor Henry McMaster on Monday, who introduced her as Grahams darling little sister who would finish his work for him now. [...] The post Lindsey Grahams sister chosen as replacement after senators death appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 21:49:18
Hungary parliament votes to remove president from office
The Hungarian parliament has voted to remove President Tamás Sulyok from office, who was widely seen as a loyalist of former prime minister Viktor Orbán who lost power in April after 16 years. Prime Minister Péter Magyars Tisza party used its two thirds majority to steamroll through the 17th amendment to the constitution, ending the [...] The post Hungary parliament votes to remove president from office appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 21:51:44
US judge voids Donald Trump's $1.8bn settlement with IRS that gave him immunity from tax audits
A US judge voided a legal agreement between President Donald Trump and federal agencies that granted him immunity from tax audits and allowed his administration to create a since-abandoned $1.8bn (£1.3bn) anti-weaponisation fund. The fund, intended to compensate individuals claiming they were unfairly targeted by the government, was unveiled in May in exchange for Trump [...] The post US judge voids Donald Trumps $1.8bn settlement with IRS that gave him immunity from tax audits appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 15:53:38
How Pranic Healing Dubai Can Support Energy Balance and Inner Wellness
Every individual experiences moments of stress, emotional exhaustion, and uncertainty in their personal or professional life. While modern lifestyles offer convenience and opportunities, they can also create mental and emotional pressure. As people become more aware of the connection between their thoughts, emotions, and overall well-being, holistic practices are becoming a popular way to restore [...] The post How Pranic Healing Dubai Can Support Energy Balance and Inner Wellness appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 13 Jul 2026 15:58:56
Mudavadi backs government-church partnership ahead of regional Catholic Assembly
Prime Cabinet Secretary and Cabinet Secretary for Foreign and Diaspora Affairs Musalia Mudavadi has reaffirmed the government's commitment to strengthening collaboration with faith-based organisations, describing the Church as a key partner in promoting peace, national unity, good governance and socio-economic development. Mudavadi made the remarks after meeting Archbishop Philip Anyolo of the Archdiocese of Nairobi [...] The post Mudavadi backs government-church partnership ahead of regional Catholic Assembly appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content