kahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 27 Aug 2026 13:56:08
Double gold for Kenya in beach volleyball
Kenya completed a memorable beach volleyball sweep on Thursday, winning both the Under-17 girls' and boys' gold medals on the final day of the 2026 Association of National Olympic Committees of Africa (ANOCA) Zone Five Youth Games at Kenyatta University. Kenya 1, comprising Eddah Jepkemei and Ann Akiro, claimed the girls' title after coming from [...] The post Double gold for Kenya in beach volleyball appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 27 Aug 2026 13:57:14
Palace intrigue in Uganda as succession battle heats up
Ugandas tempestuous army chief has once again vowed to run for president and succeed his long-ruling father, but palace intrigues are swirling as he faces a challenge from a brother-in-law. The east African country has been ruled by President Yoweri Museveni for more than four decades, but as the 81-year-old has taken more of a [...] The post Palace intrigue in Uganda as succession battle heats up appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 27 Aug 2026 13:58:48
Kenya bags four gold medals at ANOCA Zone V Youth Games
Kenya struck four gold medals on the final day of athletics at the 2026 ANOCA Zone V Youth Games at Kenyatta University in Nairobi on Thursday, with Enock Tuitoek, Purity Munyalo, David Kapaiko and Anthony Lemoshira leading the hosts' medal charge. Tuitoek set the tone by winning the boys' 3,000m in 8:01.67, holding off Ethiopia's [...] The post Kenya bags four gold medals at ANOCA Zone V Youth Games appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 27 Aug 2026 14:02:04
Search for 1,000 missing after deadly Nepal-Tibet floods
Rescue teams rushed Thursday to find more than 1,000 people missing on the Nepal-Tibet border in flash floods and landslides that killed at least 165 and swept away entire villages. A terrifying clip of surveillance video from the Chinese side of the frontier shows a massive wall of mud and debris crashing over a building [...] The post Search for 1,000 missing after deadly Nepal-Tibet floods appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 27 Aug 2026 14:08:36
The foreigners missing in Nepal's flash floods
Hundreds of foreign nationals are missing in Nepal after devastating flash floods on Wednesday killed at least 160 people. Official figures suggested at least 341 foreigners were among the missing. Hikers and climbers from around the world flock to the Himalayan nation to test themselves on some of the worlds highest peaks, Mount Everest among [...] The post The foreigners missing in Nepals flash floods appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 27 Aug 2026 12:48:00
Mke aliniambia hasikii mdundo wa ngoma, sasa naogopa hata kumkaribia!
NILISHANGAA sana mke wangu kuniambia simridhishi kimapenzi. Badala ya kukasirika, nilihuzunika sana na nikaanza kujiona sitoshi mboga. Tangu siku hiyo nimekuwa nikiepuka hata kuanzisha ukaribu kwa sababu naogopa kukataliwa tena. Yeye sasa anasema hakukusudia kuniumiza, alitaka tu tuzungumze kuhusu kile ambacho kila mmoja anahitaji. Tatizo ni kwamba mimi nimeanza kujitenga kihisia. Nifanyeje? Mazungumzo kuhusu ngono na ukaribu yanaweza kuwa magumu kwa sababu yanagusa hisia za mtu kuhusu mwili na kujiamini. Lakini kueleza mahitaji hakumaanishi mwenzako anakudharau. Jaribu kuona mazungumzo hayo kama nafasi ya kujifunza kuhusu mwenzako, si mtihani wa kuwa mwanamume. Muulize kwa heshima ni mambo gani angependa yabadilike, na wewe pia eleza mahitaji yako. Amehepa baada ya kunipachika mimba Tangu mpenzi wangu anipachike mimba, amejitenga sana. Hashiki simu zangu wala kujibu SMS ninazomtumia. Sijui nifanye nini. Kujitenga kwake baada ya mimba ni dalili ya kutowajibika. Jaribu mazungumzo ya moja kwa moja ili kupata msimamo wake. Akikwepa bado, anza kuangalia maisha yako ya baadaye dada. Wanataka tumfurushe mama, tuuze boma halafu sisi watoto tugawane pesa Baba aliaga miaka miwili iliyopita na alituachia nyumba ambayo sisi ndugu watano tunamiliki kwa pamoja. Wanne wanataka tuiuze tugawane pesa. Mimi nimekataa kwa sababu hiyo ndiyo nyumba tulikulia na mama bado anaishi humo. Ndugu zangu wanasema ninazuia maendeleo yao. Mama naye hataki kuondoka kwa sababu kila kona ya nyumba ina kumbukumbu za baba. Sasa tumekuwa tukigombana kuhusu mali hiyo. Nifanyeje? Hisia na masuala ya urithi mara nyingi huchanganya, hivyo ni muhimu kutenganisha thamani ya kihisia na haki za kisheria. Ikiwa mali iko katika umiliki wa pamoja, maamuzi yake yanapaswa kufanywa kwa kufuata taratibu zinazofaa. Jambo muhimu ni kutomfukuza mama bila mpango wa makazi salama. Pia epukeni vitisho na ugomvi wa kifamilia. Mali inaweza kugawanywa, lakini uhusiano wa ndugu ukivunjika, si rahisi kuurekebisha. Maisha ya wengine mtandaoni yanipa presha, nifanyeje nipate utulivu? Marafiki zangu wanaposti jinsi wanavyofanikiwa kimaisha na hii inanipa presha sana. Inafanya nihisi kushindwa na maisha. Nifanyeje? Maisha si mashindano, kila mtu ana safari yake. Sherehekea na ujivunie mafanikio yako madogo. Uko sawa, usijipe presha
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 27 Aug 2026 13:47:40
Mbunge aandaa mbio za baiskeli kuboresha afya, kuhubiri amani
ZAIDI ya watu 500 walijitokeza eneo la Baharini, tarafa ya Mpeketoni, Lamu Magharibi kushuhudia mbio za baiskeli. Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na ofisi ya Mbunge wa Kike wa kaunti ya Lamu, Bi Muthoni Monica Marubu yalidhamiria kuhubiri amani, umoja na utangamano msimu huu ambapo Uchaguzi Mkuu wa 2027 unaendelea kukaribia. Wakati wa mbio hizo, mashabiki waliojitokeza pamoja na walioshirikishwa mchezoni kuelimishwa kuhusiana na umuhimu wa kuendelea kujisajili kama wapigakura na kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu ujao. Isitoshe, mbio hizo zilinuiwa kuwasaidia wazee, akina mama, vijana na watoto kujenga afya ya miili yao wanapoendesha baiskeli hizo. [caption id="attachment_191578" align="alignnone" width="1599"] Kina mama wakisubiri zamu yao kushiriki mashindano ya kuendesha baiskeli yaliyoandaliwa na Mbunge Mwakilishi wa Kike wa Lamu Muthoni Monica Marubu. Picha|Kalume Kazungu[/caption] Mbio hizo ziligawanywa makundi tofautitofauti, ikiwemo wazee na akina mama wa umri wa kati ya miaka 50 hadi 70, vijana waliokomaa na wale wa kizazi cha Gen Z na watoto. Walioibuka washindi katika kila kitengo cha mashindano hayo ya mbio za baiskeli walitunukiwa baiskeli mpya. Mbali na kijiji cha Baharini, mbio hizo pia zimewahi kuandaliwa katika mji wa Mpeketoni, Hindi, Safirisi na viunga vyake. Sehemu zingine zinazolengwa kuwashirikisha wananchi katika mbio sawia ni Witu, kisiwa cha Lamu, kilecha Manda na maeneo ya Lamu Mashariki. "Nimefurahi kuona wananchi, ikiwemo wazee wakongwe, akina mama, vijana na watoto, wote wakitangamana na kufurahia mbio za baiskeli hapa Baharini. Wameonyesha weledi wao katika kuendesha baiskeli, kuijenga afya ya miili yao, kuhubiri amani na uwiano. Ningewasihi wakazi kote Lamuna nchini wajikaze kujisajili kama wapiga kura wakati uchaguzi mkuu ukikaribia," akasema Bi Marubu. [caption id="attachment_191579" align="alignnone" width="1599"] Umati uliohudhuria mashindano ya baiskeli yaliyoandaliwa na Mbunge Mwakilishi wa Kike wa Lamu Muthoni Monica Marubu. Picha|Kalume Kazungu[/caption] Aliongeza, "Hii pia ni sehemu mojawapo ya mimi kama kiongozi kujishirikisha na wananchi mashinani ili kuwapa ajenda zangu za uongozi na kupokea ushauri au maoni kutoka kwao kuhusiana na ni lipi nafaa kuwafanyia." Issakia Yunus, kiongozi wa vijana Lamu, alimpongeza Bi Marubu kwa kuibuka na mfumo huo alioutaja kujenga umoja wa wananchi. "Tumejionea maafisa wa utawala serikalini,ikiwemo machifu wetu na walinda usalama wakijumuika na wananchi kwenye mbio za baiskeli. Huko ni kumaanisha mashindano kama haya hayaleti umoja Lamu pekee bali pia kitaifa," akasema Bw Yunus.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 27 Aug 2026 13:45:00
Of Sakaja and 'el chapo' promise: Chapati making machines finally lands in Nairobi
More than a year after President Rutos chapati machine pledge made him the butt of jokes, Nairobi schools have started getting chapati, from a machine making 2,000 an hour.
read moreRight Column Content