taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 27 Aug 2026 02:55:09
Sare baada ya sare: Wakuu wa usalama watetea mavazi mapya ya polisi
MAAFISA wa polisi nchini wataanza kuvalia sare mpya kuanzia Ijumaa na kutelekeza ile ya rangi ya samawati iliyozinduliwa wakati wa utawala wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Sare hizo mpya zitachukua nafasi ya sare za sasa zinazovaliwa na maafisa wa polisi wa kawaida, huku Polisi wa Utawala (APS) na Kitengo cha Kupambana na Ghasia (GSU) wakitarajiwa kuendelea kutumia sare zao za sasa. Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja alisema mabadiliko hayo yamekumbatiwa baada ya malalamishi ya polisi kuhusu mavazi ya sasa. "Tumeitumia sare ya rangi ya samawati iliyokolea, kwa hivyo sasa tumerudi kwenye ile tuliyokubaliana. Ninataka pia kubainisha kuwa Jumatatu nami nitakuwa nimeivaa hiyo sare mpya," akasema Bw Kanja. Inspekta Jenerali huyo alizungumza Jumanne baada ya kuhudhuria gwaride la mazoezi la polisi wa cheo cha konstebo waliokuwa wakipata mafunzo katika Chuo cha Polisi cha Kiganjo, Kaunti ya Nyeri. Alisema polisi wanaotarajiwa kuhitimu Ijumaa watakuwa wa kwanza kuvalia sare hizo mpya. [caption id="attachment_191564" align="alignnone" width="2560"] Maafisa wa polisi wakiwa wamevalia sare mpya katika Kenya School of Government (KSG) Alhamisi, Septemba 13, 2018. PICHA | MAKTABA[/caption] Rais William Ruto anatarajiwa kuzindua rasmi sare hizo katika Chuo cha Polisi cha Kenya wakati wa hafla ya kuhitimu kwa polisi 10,000 wa cheo cha konstebo, ambao baadaye watajiunga na idara ya polisi. Bw Kanja alisema hatua ya kubadilisha sare inalenga kuinua ari ya maafisa na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mabadiliko hayo yanajiri kufuatia zoezi la ushirikishaji wa umma lililofanyika 2023, ambapo maafisa wengi wa polisi walikataa sare za sasa za samawati iliyokolea na kutaka zibadilishwe ili ziwe za starehe zaidi na zinazostahili mahitaji ya kazi yao. Mnamo 2018, Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) ilianzisha sare za sasa za rangi ya samawati kama sehemu ya ajenda ya mageuzi katika idara ya polisi. Hata hivyo, muundo huo wa rangi, haukupokelewa vyema na baadhi ya maafisa. Wengine walidai kuwa sare hizo hazikuwa za starehe wala za kuvutia. Baadhi yao hata walizilinganisha na mavazi yanayovaliwa na wanakwaya makanisani. Lakini hatua ya serikali ya Rais Ruto kuanzisha sare mpya inaibua maswali kuhusu mapendekezo yaliyotolewa na Jopo la Kuangazia Mageuzi ya Polisi aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga. Jopo hilo lilipendekeza polisi wavae sare zao za zamani kwa muda wa miaka mitatu huku mchakato wa kubuni sare mpya ukianzishwa kwa kufuata mapendekezo yaliyomo katika ripoti yake. "Kuhusu sare za NPS, kwa kuzingatia maoni mengi ya wananchi, maafisa wa polisi wenyewe na uongozi wa NPS, jopo linapendekeza NPS irejee kwa sare zake za zamani kwa kipindi cha miaka mitatu. Baada ya mchakato wa kubuni sare mpya utaanzishwa kwa mujibu wa mapendekezo katika ripoti hii," ikasema ripoti hiyo. Ripoti hiyo pia ilipendekeza kuanzishwa kwa Kamati ya Kitaifa ya Sare, ambayo ingejumuisha wawakilishi kutoka huduma mbalimbali za usalama na taasisi za maafisa wanaovaa sare. Kulingana na mapendekezo hayo, Waziri wa Ulinzi, kwa kushauriana na Waziri wa Usalama wa Ndani, angeandaa sheria ya kuanzisha kamati hiyo yenye jukumu la kuidhinisha viwango, rangi na ubora wa sare zinazotumiwa na kila huduma. "Kamati hiyo inapaswa pia kushughulikia matumizi mabaya ya sare na wananchi," ripoti hiyo ilisema. Mbali na sare, ripoti ya jopo hilo ilibaini mapungufu katika usimamizi wa rasilimali za polisi. Ilibaini kuwa huduma hizo hazikuwa zimeweka kikamilifu mifumo yao ya rasilimali watu katika mfumo wa kidijitali, hali ambayo imekuwa ikizua mianya ya udanganyifu, ufisadi na matumizi mabaya ya mamlaka. Pia, baadhi ya kazi za rasilimali watu zinafanywa na maafisa wenye sare ambao hawana mafunzo ya kitaalamu katika usimamizi wa wafanyakazi, jambo ambalo limechangia makosa katika masuala ya kiutawala. Jopo hilo lilipendekeza kuwa, isipokuwa masuala ya kiutendaji yanayohusu kupelekwa kwa maafisa katika maeneo mbalimbali, kazi nyingine zote za rasilimali watu zisimamiwe na wataalamu wenye mafunzo, tajriba na uwezo unaohitajika. "Uwekaji kamili wa huduma zote za rasilimali watu katika mfumo wa kidijitali, ikiwa ni pamoja na malipo ya marupurupu, utahakikisha mahitaji ya maafisa wote wa NPS yanashughulikiwa kwa haraka," ripoti hiyo ilisema.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 27 Aug 2026 03:00:00
Rigging thunderbolt: Gachagua takes on IEBC over 2027 election technology kits
Former DP Rigathi Gachagua has accused IEBC of being behind a plot to rig the 2027 General Election through a digital voting system to be supplied by a South Korean company.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 21:05:46
The Open Championship: Players, Courses, and More
The Open Championship is golf's oldest major and one of the sport's most respected events. First played in 1860, it is held on some of the best links courses across Britain and Northern Ireland. The 154th edition returns to Royal Birkdale, where Scottie Scheffler begins the week as the defending champion after winning at Royal [...] The post The Open Championship: Players, Courses, and More appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 23:57:41
Reports: CIA Chief Warned Russia Against NATO Attack and Aid to Iran
CIA Director John Ratcliffe made an unannounced trip to Moscow on Tuesday, August 25, 2026 — his first publicly known visit to Russia since assuming the role. Here are the facts as reported by major news outlets. According to The Wall Street Journal, Ratcliffe's trip was to warn Russia not to attack NATO countries. Sources [...] The post Reports: CIA Chief Warned Russia Against NATO Attack and Aid to Iran appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 27 Aug 2026 00:05:41
Germany in Talks to Back UK's Trident Nuclear Deterrent
Germany is in talks to invest in Britains nuclear deterrent, The Telegraph understands. Berlin is considering offering financial support for Trident as it spearheads efforts to reinforce Europes nuclear umbrella. The discussions between Paris, Berlin and London have accelerated in recent months amid fears the Trump administration will withdraw its military from Europe. European nations [...] The post Germany in Talks to Back UKs Trident Nuclear Deterrent appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 21:06:19
Judge in Don Lemon indictment asks to see grand jury records, adding to growing scrutiny of Justice Department cases
A federal judge in Minnesota will probe this week whether grounds exist to toss the Justice Department's case against journalist Don Lemon. It's the latest example of judges' growing skepticism of whether the department is behaving ethically behind closed doors in grand jury proceedings. Judges across the country have signaled they are willing to give [...] The post Judge in Don Lemon indictment asks to see grand jury records, adding to growing scrutiny of Justice Department cases appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 21:09:50
Jubilee dismisses departure by some members to DCP
Jubilee Party has dismissed the reported departure of several of its members in Nairobi, saying those presenting themselves as defectors had already been suspended over alleged misconduct and interference with party affairs. In a statement attributed to Deputy Party Leader Fred Matiang'i, the party said it respected the constitutional right of individuals to choose their [...] The post Jubilee dismisses departure by some members to DCP appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 21:13:40
Nepalese authorities say 33 UK nationals missing after flash floods
Thirty-three people from the UK are among hundreds feared missing following a deadly flash flood near the Nepal-Tibet border. Flooding and mud slides hit the Rasuaw region in the morning on Wednesday, killing at least 157 people in Nepal and three in Tibet, according to Chinese state media. Nepal police said 579 tourists are missing [...] The post Nepalese authorities say 33 UK nationals missing after flash floods appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Wed, 26 Aug 2026 21:00:00
Gachagua challenges IEBC tender for 2027 election technology kits
Former DP Rigathi Gachagua has accused IEBC of being behind a plot to rig the 2027 General Election through a digital voting system to be supplied by a South Korean company.
read moreRight Column Content