taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 19 Sep 2026 07:55:30
Hofu genge la 'panga boys' likirejea mitaa ya Mombasa
KWA Said Faiz Khamis, 29, safari ya kawaida ya bodaboda usiku iligeuka kuwa jinamizi baada ya kushambuliwa kwa mapanga na kujeruhiwa kwenye kichwa na vidole. Mkazi huyo wa Maweni alisema mnamo Septemba 15, saa tano usiku, abiria mmoja alimuomba ampeleke nyumbani kwake eneo la Barsheba, Kisauni. Bw Khamis alimweleza abiria huyo kuwa angemfikisha steji na hangeingia kwenye kitongoji. Hata hivyo alipomfikisha kwenye steji, abiria alimuomba amfikishe nyumbani kwake, mita chache kutoka steji. Hata hivyo, alipomfikisha genge la majambazi waliokuwa na silaha walijitokeza na kumvamia. "Niligundua kuwa abiria alikuwa amepanga watu waliokuwa wanasubiri kunishambulia kwa mapanga. Niliponea chupu chupu na kutoroka lakini nilikuwa nimekatwa katwa kichwani na kwenye vidole. Nilihepa na funguo za pikipiki yangu kwa kutumia vichochoro," alisema. Kupitia msaada wa waendesha bodaboda wenzake, alipata pikipiki hiyo katika kituo cha polisi cha Kiembeni mnamo Septemba 17. Hata hivyo, hii haikuwa mara yake ya kwanza kushambuliwa. Mapema mwaka huu, mwendo wa saa tisa usiku, Bw Khamis alisema alikuwa akimpeleka abiria katika Soko la Kongowea alipovamiwa na vijana waliokuwa kwenye pikipiki. "Walinipiga kichwani na kunikata kata na kuninyang'anya pikipiki yangu, simu na kila kitu nilichokuwa nacho kilienda. Walimuibia abiria wangu pesa zote ambazo alikuwa anaenda nazo Kongowea kununua bidhaa za biashara," alisema. Baada ya kutafuta fedha na kununua pikipiki nyingine, alirejea kazini. Hata hivyo, baada ya kujeruhiwa kwa mara ya pili amemua kuacha kazi hiyo. "Sasa nimeamua kuacha hii kazi. Kichwa changu kimekatwa vibaya mara mbili. Hii kazi ni hatari sana na nina bahati niko hai," alisema. Visa hivyo vimeibua hofu mpya kuhusu mashambulizi ya usiku katika maeneo ya Kisauni huku wakazi na wahudumu wa bodaboda wakidai magenge ya vijana wenye silaha butu yanaendelea kuwahangaisha wakazi. Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya jamii ya Maweni na dereva wa bodaboda, Bw Samson Omondi, alidai kuwa magenge hayo wakati mwingine hutumia wanawake kama chambo. "Wanawake huwafuata waendesha bodaboda kwenye steji wakitaka huduma zetu. Wanapofikishwa waendako, abiria huchelewesha malipo kwa M-Pesa au kupiga simu, kumbe ni njama ya kuwapa muda washirika wao kujitokeza kutushambulia," alisema. Bw Omondi aliwataka maafisa wa polisi kuimarisha operesheni na kuwakamata wanaohusika, akisema baadhi yao wanajulikana na jamii. Vikundi vya kutetea haki za binadamu pia vimeitaka serikali kuchukua hatua ya kuimarisha usalama. Mratibu wa Vocal Africa Pwani, Wild Sketty, alisema shirika hilo limeorodhesha watu wanane waliodaiwa kushambuliwa kwa mapanga kati ya saa nne usiku na saa kumi na mbili asubuhi ndani ya wiki moja Kisauni. Hata hivyo, Naibu Kamishna wa Kaunti ya Kisauni, Bw Jamleck Mbuba, aliwatuliza wakazi akisema polisi tayari wamewakamata baadhi ya washukiwa na wanaendelea kuwasaka wengine. "Tutawakamata wanaojificha. Tupeni muda, lakini mtusaidie kwa kutoa taarifa ili tuwatambue wahalifu walioko miongoni mwenu," alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 19 Sep 2026 07:05:37
Aaron Harang Net Worth
Aaron Harang is a former American professional baseball pitcher who has an estimated net worth of $25 million. He built his wealth during a Major League Baseball career that included more than a decade in the majors and stints with several teams, including the Oakland Athletics, Cincinnati Reds, San Diego Padres, Los Angeles Dodgers, Seattle [...] The post Aaron Harang Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 19 Sep 2026 07:17:04
Esteban Loaiza Net Worth
Esteban Loaiza has an estimated net worth of $5 million. The retired Mexican-born professional baseball player built his wealth during a 14-year Major League Baseball career that included stints with the Pittsburgh Pirates, Texas Rangers, Toronto Blue Jays, Chicago White Sox, New York Yankees, Washington Nationals, Oakland Athletics and Los Angeles Dodgers. Loaiza earned approximately [...] The post Esteban Loaiza Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 19 Sep 2026 07:18:11
Gun holder shoots suspect dead after phone theft in Kawangware
A 23-year-old man was shot dead in Kawangware, Nairobi after he and another man allegedly snatched a mobile phone from an unidentified armed person. The incident occurred on Friday, September 18, 2026. Police officers who responded to the scene found the body of Steven Muriuki lying face down on the road near the Equity Bank [...] The post Gun holder shoots suspect dead after phone theft in Kawangware appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 19 Sep 2026 06:35:39
Bronson Arroyo Net Worth
Bronson Arroyo is a former American professional baseball pitcher who has an estimated net worth of $40 million. Arroyo built his wealth during a 17-year Major League Baseball career that included stints with the Pittsburgh Pirates, Boston Red Sox, Cincinnati Reds, Arizona Diamondbacks and other teams. A dependable starting pitcher for much of his career, [...] The post Bronson Arroyo Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 19 Sep 2026 06:55:35
Maafisa 20 wa IEBC wahamishwa uchaguzi ukikaribia
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeanza kupanga upya uongozi wake katika kaunti kwa kuwahamisha zaidi ya maafisa 20 wakuu wa uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini, huku maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 yakishika kasi. Uhamisho huo uliotangazwa katika barua iliyotiwa saini na Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji wa IEBC Ruth Kulundu. IEBC imesema mabadiliko hayo ni sehemu ya zoezi la kawaida la kiutawala la kujaza nafasi zilizo wazi, kuwaweka maafisa waliopandishwa vyeo katika vituo vipya na kuimarisha utendaji wa tume mashinani. Mabadiliko hayo yanajiri siku chache baada ya IEBC kutangaza Jumanne, Agosti 10, 2027 kuwa siku ya kupiga kura. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amepuuza madai kwamba uhamisho huo umechochewa na siasa au una uhusiano na uadilifu wa maafisa wanaohusika. Alisema ni utaratibu wa kawaida baada ya tume kuajiri maafisa wapya kuchukua nafasi za waliostaafu, waliofariki au walioondoka kazini. "Tumeajiri maafisa wapya wa uchaguzi wa kaunti. Hiyo inamaanisha lazima wapangwe upya na kupelekwa katika vituo vipya," Bw Ethekon alisema katika mahojiano na Taifa Leo. Alisema takriban maafisa 17 wameajiriwa na kupandishwa vyeo, hivyo kuhitajika kupelekwa katika kaunti mbalimbali. "Kuna waliostaafu, wengine walifariki na wengine wakaondoka. Kwa hivyo wako takriban 17 ambao tumeajiri," alisema. Baadhi ya maafisa waliohamishwa ni Beatrice Muli kutoka Kiambu hadi Taita-Taveta; Hudson Salenoi kutoka Vihiga hadi Turkana; Rebecca Abwaku kutoka Homa Bay hadi Trans Nzoia; Reuben Mbuu kutoka Makueni hadi Kitui na Amosi Chilai kutoka Nairobi hadi Kakamega. Wengine ni Japheth Lagat kutoka Trans Nzoia hadi Pokot Magharibi; Grace Anyang kutoka Migori hadi Kericho; Husna Hassa kutoka Mombasa hadi Kilifi; Zahara Hassan kutoka Mandera hadi Wajir na Sheikh Abdi kutoka Wajir hadi Garissa. Engor Emmanuel amehamishwa kutoka Turkana hadi Narok, Frank Boinet kutoka Elgeyo-Marakwet hadi Baringo, Sidney Namulungu kutoka Kericho hadi Marsabit, John Mwangi kutoka Baringo hadi Kirinyaga na Saumu Chirchir kutoka Murang'a hadi Bomet. Maafisa wa uchaguzi wa kaunti wana jukumu muhimu katika maandalizi ya uchaguzi, ikiwa ni pamoja na usajili wa wapigakura, mafunzo, usafirishaji wa vifaa na uendeshaji wa shughuli za kupiga kura. Bw Ethekon alisema zoezi hilo litaendelea huku nafasi zilizo wazi katika ngazi ya maeneo bunge zikijazwa. "Tunaendelea kuwapeleka katika vituo vyao. Hatua inayofuata ni kujaza nafasi zilizo wazi katika ngazi ya maeneo bunge," alisema. IEBC pia imeweka ratiba ya shughuli kuelekea uchaguzi wa 2027. Vyama vya kisiasa vinatarajiwa kuwasilisha majina na saini za maafisa wao walioidhinishwa kufikia Oktoba 15, 2026. Sheria za uteuzi wa vyama zinatarajiwa kuthibitishwa na Msajili wa Vyama vya Kisiasa kufikia Oktoba 30 na kuwasilishwa kwa IEBC kufikia Novemba 6. Maafisa wa umma wanaonuia kugombea uchaguzi huo watahitajika kujiuzulu nyadhifa zao kufikia Februari 10, 2027. Kampeni rasmi zinatarajiwa kuanza Mei 29, 2027 na kumalizika Agosti 7, siku mbili kabla ya uchaguzi. Bw Ethekon alisema mabadiliko hayo yanalenga kuhakikisha kila kaunti ina afisa anayefaa kabla ya shughuli za uchaguzi kuingia katika hatua muhimu zaidi. Alisisitiza kuwa maafisa hawana haki ya kudumu katika kituo fulani. "Ukiambiwa uende kituo kipya, unaenda na kufanya kazi. Hauwezi kusema lazima ufanye kazi mahali pamoja," alisema. Bi Kulundu aliteuliwa kuwa Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji wa IEBC Agosti 5, baada ya kumalizika kwa muda wa miezi sita wa Moses Ledama Sunkuli katika afisi hiyo.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 19 Sep 2026 06:10:57
John Smoltz Net Worth
John Smoltz has an estimated net worth of $50 million. The former American professional baseball pitcher built his wealth during a 21-year Major League Baseball career, most of which he spent with the Atlanta Braves. Smoltz was one of the key players behind Atlantas dominance during the 1990s and early 2000s. Alongside Greg Maddux and [...] The post John Smoltz Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sat, 19 Sep 2026 06:22:19
Tim Wakefield Net Worth
Tim Wakefield was an American professional baseball pitcher who had an estimated net worth of $20 million at the time of his death. Wakefield spent 19 seasons in Major League Baseball, becoming one of the most recognizable and durable players in Boston Red Sox history. He played for the Pittsburgh Pirates early in his career [...] The post Tim Wakefield Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content