standardmedia.co.ke
@standard Sat, 19 Sep 2026 04:10:00
Uhuru ignores Ruto's political duel, laughs off 'sponyo' moniker
Former President Uhuru Kenyatta avoided a direct political response to President William Rutos recent attacks but appeared to mock the Sponyo label during a funeral in Muranga.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 19 Sep 2026 03:55:38
Kenya yashuka nafasi tano katika viwango vya amani ulimwenguni
KENYA imeshuka kwa nafasi tano katika viwango vya amani duniani huku ukosefu wa usalama, migogoro ya kikanda na changamoto za kiuchumi zikiendelea kuhatarisha amani nchini. Katika Global Peace Index (GPI) 2026, Kenya imeshuka kutoka nafasi ya 127 mnamo 2025 hadi ya 132. Alama yake pia imedorora kutoka 2.392 hadi 2.447. Kenya imeshikilia nafasi ya 33 kati ya nchi 44 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, eneo ambalo, kwa mujibu wa Institute for Economics and Peace (IEP), lilishuhudia kuzorota zaidi kwa amani katika kipindi hicho. Ripoti hiyo imeweka Kenya katika mazingira mapana ya kiusalama ya Upembe wa Afrika, ambako migogoro ya Sudan, Ethiopia, Eritrea, Somalia na Sudan Kusini imeanza kuhusishwa zaidi. "Upembe wa Afrika si mkusanyiko wa migogoro tofauti tena," IEP ilisema, ikiongeza kuwa migogoro hiyo sasa imeunganishwa kupitia njia mbalimbali zinazowezesha kuenea kwa machafuko.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sat, 19 Sep 2026 02:55:24
Uhuru akejeli Ruto kuhusu dai kuwa yeye ni 'sponyo' wa Upinzani
RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta jana alimkejeli Rais William Ruto kuhusu madai yake ya mara kwa mara kwamba anafadhili upinzani, kwa kujitaja mwenyewe kama "Sponyo". Bw Kenyatta alikuwa akizungumza katika mazishi ya Christine Waruguru, mama wa aliyekuwa Naibu Mdhibiti wa Ikulu George Kariuki, katika Kaunti ya Murang'a. Aliandamana na Naibu Kiongozi wa Jubilee Party na mgombea urais, Dkt Fred Matiang'i, pamoja na Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro. Katika siku za hivi majuzi, Rais Ruto amekuwa akimtaja Bw Kenyatta kama mfadhili mkuu wa upinzani, wakati mwingine akimwita kiongozi wa waasi. Pia amekuwa akiita kundi la upinzani la Linda Mwananchi linaloongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa "Linda Uhuru Kenyatta". Katika hafla hiyo ya mazishi, Bw Kenyatta alianza kutoa hotuba bila maandishi kabla ya kujizuia na kusema imekuwa hatari kwake kutoa mawazo yake hadharani bila maandalizi. "Imekuwa hatari kwangu kuzungumza,nisije nikatafsiriwa vibaya na vyombo vya habari, acha nifuate rambi rambi zangu nilizoandika," alisema. Baada ya kumaliza kusoma ujumbe wake wa rambirambi, alimalizia kwa kauli ya mzaha iliyowafanya waliohudhuria kuangua kicheko. "Hayo ndiyo machache kutoka kwa Sponyo," alisema. Hafla hiyo pia ilikuwa muhimu kisiasa kwa kuwa ilikuwa mara ya kwanza kwa Bw Kenyatta kushiriki jukwaa moja na Bw Nyoro tangu uhusiano wao wa kisiasa uvurugike mnamo 2018. Wakati huo, Bw Kenyatta alikuwa akimuunga mkono Raila Odinga kumrithi katika uchaguzi mkuu wa 2022, huku Bw Nyoro akiwa miongoni mwa viongozi wa Mlima Kenya waliomuunga mkono Dkt Ruto, ambaye wakati huo alikuwa Naibu Rais. Bw Nyoro alikuwa amechaguliwa kuwa Mbunge wa Kiharu mnamo 2017 kwa tiketi ya Jubilee akiwa mshirika wa karibu wa Bw Kenyatta. Lakini mnamo 2018, uhusiano wao ulianza kuvurugika. Wakati wa harusi ya aliyekuwa Seneta wa Murang'a Irungu Kang'ata, ambaye sasa ni gavana, Bw Kenyatta aliwashauri viongozi chipukizi, akiwemo Bw Nyoro, kutulia na kuanzisha familia. Muda mfupi baadaye, uhusiano wa kisiasa kati yao ulizidi kuwa mbaya, huku Bw Nyoro akikamatwa kwa madai ya kutofautiana kisiasa na baadaye akamjibu Bw Kenyatta vikali katika kampeni. Uwepo wa Bw Nyoro jana uliongeza hamu ya kisiasa katika hafla hiyo, hasa kutokana na ukaribu wake wa hivi majuzi na Dkt Matiang'i. Bw Kenyatta alimuidhinisha Dkt Matiang'i kuwa chaguo lake la urais kuelekea uchaguzi wa 2027 katika hafla iliyofanyika Murang'a Novemba 7, 2025. Tangu wakati huo, Bw Nyoro amekuwa akionyesha kumuunga mkono Dkt Matiang'i, hali ambayo imeibua mjadala kuhusu uwezekano wa wawili hao kushirikiana katika uchaguzi wa 2027. Hata hivyo, jana watatu hao hawakutoa tangazo lolote rasmi kuhusu mpango wa kisiasa au tiketi ya pamoja. Badala yake, Bw Kenyatta alizungumzia umuhimu wa taifa kuwaheshimu mashujaa wake, akisema Kenya ina historia ya kutowatambua ipasavyo waliotumikia taifa. Alisema wanawake na vijana ni miongoni mwa mashujaa ambao wamekuwa wakipuuzwa zaidi. Dkt Matiang'i naye alikosoa baadhi ya viongozi wa kitaifa ambao alisema wamekuwa wakiwatukana wengine, kuwadanganya wananchi na kutoa kauli zisizo na maana. Kwa upande wake, Bw Nyoro alimsifu Bw Kenyatta na kuhusisha baadhi ya miradi ya maendeleo katika Kiharu na uongozi wa rais huyo wa zamani. "Baadhi ya barabara mnazoona Kiharu zilitokana na uongozi wako mzuri, mkuu wangu," alisema. Mbunge huyo pia alidokeza kuwa Bw Kenyatta bado ni mtu anayemshauri katika safari yake ya kisiasa. "Ninashukuru kwamba unatupa ushauri mzuri tunapokutafuta," alisema. Bw Nyoro aliwaomba Wakenya kuelewa msimamo wake wa sasa wa kisiasa, akisema yuko katika hatua ya kujijenga mwenyewe.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 18 Sep 2026 22:00:39
Kremlin seizes Nestlé's assets in Russia as crackdown on private business grows
The Kremlin has moved to seize the Russian assets of Nestlé and French retailer Auchan amid a broader nationalization drive that has seen a surge in government takeovers of private companies. Auchan and Nestlé are "European companies from unfriendly countries… currently actively involved in hostilities against us," Kremlin spokesperson Dmitry Peskov told reporters Friday, a [...] The post Kremlin seizes Nestlé's assets in Russia as crackdown on private business grows appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 18 Sep 2026 22:03:06
Trump says he is banning CNN, MS NOW and Politico from the White House
President Donald Trumpsaid Friday that he was banning CNN, MSNOW and Politico from the White House due to what he called unfavorable coverage, and threatened that more such media prohibitions could be coming — offering his administration's latest test of constitutional First Amendmentprotections guaranteeing the freedom of the press. Trump has long bristled at news [...] The post Trump says he is banning CNN, MS NOW and Politico from the White House appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 18 Sep 2026 22:06:34
British rapper Sway dies aged 44
The award-winning British-Ghanaian rap artist Sway DaSafo has died at the age of 44. He was the first unsigned rapper to win a Mobo Award in 2006, and scored a top 10 hit in 2012 with the single Level Up. The news was first shared online by the Mobo organisation, and confirmed to the BBC [...] The post British rapper Sway dies aged 44 appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 18 Sep 2026 22:14:28
Uber ordered to pay $40m to family of woman killed after driver left her on highway
Uber has been ordered to pay $40m (£29m) to the family of a 23-year-old woman who was fatally struck on a California highway after the rideshare companys driver allegedly pulled over and ordered her out of the car. Emily Normandin-Parker had booked an Uber for home with a friend on 12 August 2023, before her [...] The post Uber ordered to pay $40m to family of woman killed after driver left her on highway appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Fri, 18 Sep 2026 21:00:00
Uhuru's jibe: Former President ignores Ruto's political duel, laughs off 'Sponyo' moniker
Former President Uhuru Kenyatta avoided a direct political response to President William Rutos recent attacks but appeared to mock the Sponyo label during a funeral in Muranga.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 18 Sep 2026 19:50:59
Government releases report on deadly Mount Ololokwe helicopter crash
The government has released a preliminary report on the helicopter accident that claimed seven lives at Mount Ololokwe in Samburu East Sub-County, Samburu County. Roads and Transport Cabinet Secretary Davis Chirchir said the accident occurred on August 19, 2026, at about 9:13 a.m. and involved an Airbus EC130 B4 helicopter, registration 5Y-GYM, operated by Lady [...] The post Government releases report on deadly Mount Ololokwe helicopter crash appeared first on Kahawatungu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 18 Sep 2026 18:48:58
Integrate technology into legal training- former CJ Mutunga urges
Former Chief Justice Dr Willy Mutunga has challenged universities to integrate technology and artificial intelligence into legal training to equip lawyers with skills to respond to emerging legal and societal challenges, including electoral problems. Mutunga said technology is rapidly reshaping the legal profession and the way justice is delivered, making training in areas such as digital evidence, data...
read moreRight Column Content