kahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 21:54:58
Romania shuts only nuclear plant as heat causes huge drop in Danube River level
Romania shut down its only nuclear power station because of extremely low water levels in the Danube river caused by prolonged hot weather affecting much of Europe. The Cernavodă plant, where two reactors produce about 20% of Romanias electricity, is not expected to be restarted within the next 10 days. Earlier this week, authorities tried [...] The post Romania shuts only nuclear plant as heat causes huge drop in Danube River level appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 21:34:00
A Practical Guide to Financing a High-Performance Exotic Car
Financing an exotic car calls for discipline before emotion enters the room. Purchase price is only the first number. Taxes, insurance, service history, storage, transport, mileage, and model scarcity all shape the true commitment. A careful buyer studies the car, the credit file, and the payment structure together. That approach protects cash flow, limits surprises, [...] The post A Practical Guide to Financing a High-Performance Exotic Car appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Thu, 13 Aug 2026 21:00:00
Falling apart: Leaders flee Ruto party as 2027 political storm gathers
The political class has embarked on a self-preservation journey to save themselves from the raging political waves that sweep away anyone who is not politically correct.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 13 Aug 2026 18:53:02
Vikwazo kukumbatia mfumo wa bayoteknolojia vyazua wasiwasi kuhusu usalama wa chakula cha mifugo
LICHA ya shinikizo linaloongezeka la kupunguza gharama za ufugaji na kuhakikisha upatikanaji wa malighafi ya chakula cha mifugo, wataalamu wanasema taarifa potovu, changamoto za sera na kutokuwepo kwa uwiano katika kanuni zinaendelea kuchelewesha matumizi ya teknolojia ya kibayoteknolojia katika kilimo nchini Kenya na Afrika kwa jumla. Wanasema kushughulikia vikwazo hivyo ni muhimu katika kuboresha uzalishaji wa chakula cha mifugo, kupunguza gharama na kuimarisha usalama wa chakula. Mkurugenzi wa ISAAA AfriCenter, Dkt Margaret Karembu, anasema upatikanaji wa malighafi bora na nafuu ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokabili sekta ya chakula cha mifugo nchini Kenya. Anasema nchi nyingi zinazoongoza katika uzalishaji wa mifugo zimekubali matumizi ya malighafi ya chakula cha mifugo zinazotokana na mfumo wa bayoteknolojia, hasa mahindi na soya, hatua inayozisaidia kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha mifugo kwa bei nafuu. Kulingana na Dkt Karembu, zaidi ya asilimia 80 ya mahindi na soya zinazouzwa katika soko la kimataifa kwa ajili ya chakula cha mifugo hutokana na bayoteknolojia. Hata hivyo, nchi nyingi za Afrika bado zinakabiliwa na changamoto za kupata bidhaa hizo kutokana na kutokuwa na uhakika wa sera na vikwazo vya kisheria. "Ikiwa Kenya na Afrika zinataka sekta ya mifugo zenye ushindani mkuu, ni lazima tufungue masoko yetu kwa malighafi ya chakula cha mifugo zilizo nafuu, salama na bora, huku tukiwekeza katika utafiti wetu wa kibayoteknolojia ili kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje," alisema. Alisema uzalishaji wa ndani kwa ndani wa malighafi yanayotokana na kibayoteknolojia unaweza kuunda nafasi za ajira, kuimarisha sekta ya utengenezaji wa chakula cha mifugo na kupunguza kiwango cha fedha zinazotumika kuagiza malighafi nje ya Kenya. Hata hivyo, alisema maendeleo yamekuwa yakikwamishwa na sera zilizogawanyika kuhusu upatikanaji wa malighafi na biashara. [caption id="attachment_191114" align="aligncenter" width="300"] Mkurugenzi wa ISAAA AfriCenter, Dkt Margaret Karembu akihutubu Jijini Nairobi. Picha|Sammy Waweru[/caption] Mbali na kanuni za kibayoteknolojia, Dkt Karembu alitaja ushuru wa kaunti unaotozwa wakati wa kusafirisha mazao ya kilimo (cess) kama mzigo mwingine unaoongeza gharama kwa watengenezaji wa chakula cha mifugo. Alisema ada nyingi zinazotozwa bidhaa zinaposafirishwa kutoka kaunti moja hadi nyingine huongeza gharama za uzalishaji na kupunguza ushindani wa wazalishaji wa ndani kwa ndani. "Serikali inahitaji kuoanisha sera zinazoathiri watengenezaji wa chakula cha mifugo. Kupunguza gharama ya chakula cha mifugo hatimaye kutapunguza bei ya mayai, maziwa na nyama, na hivyo kuwanufaisha walaji," alisema. Dkt Karembu alisema malighafi zinazotokana na kibayoteknolojia zimetumika kwa usalama duniani kwa muda mrefu na hazipaswi kulemazwa na vikwazo visivyo vya lazima pale ambapo usalama wake umethibitishwa kisayansi. Kulingana naye, kikwazo kikubwa kwa matumizi ya kibayoteknolojia si sayansi tena, bali ni taarifa potovu na upotoshaji. "Licha ya kutumika duniani kwa zaidi ya miongo mitatu, taarifa za uongo zinaendelea kuzua hofu miongoni mwa walaji na watunga sera, hivyo kuchelewesha utekelezaji wa sera zilizopo," alisema. Alisema kampeni endelevu za uhamasishaji wa umma na mawasiliano yanayotegemea sayansi yanahitajika ili kuondoa dhana potovu kuhusu bayoteknolojia. Pia, alitoa wito kwa nchi za Afrika kuoanisha kanuni zao za kibayoteknolojia, akisema tofauti katika mahitaji ya udhibiti zinafanya biashara ya mipakani kuwa ngumu bila sababu, licha ya nchi nyingi kutegemea viwango vinavyofanana vya kimataifa vya usalama. Dkt Karembu alisema kutokuwa na uhakika wa sera pia huwakatisha tamaa wawekezaji wa ndani kwa ndani na nje kuwekeza katika utafiti na biashara ya kibayoteknolojia. Alisema walaji wanapaswa kupewa fursa ya kuchagua kati ya bidhaa zinazotokana na kibayoteknolojia na zile za kawaida, badala ya chaguo hizo kuzuiwa na taarifa potovu. Kwa kuwa chakula cha mifugo kinachukua zaidi ya asilimia 60 ya gharama za uzalishaji wa mifugo, Dkt Karembu anakadiria kuwa kupunguza gharama ya malighafi kunaweza kushusha bei ya mayai, maziwa na nyama kwa karibu asilimia 30. Akieleza kuhusu usalama wa kibayoteknolojia, Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kibayoteknolojia ya KALRO, Dkt Martin Mwirigi, alisema tathmini za kisayansi za usalama hufanywa kabla ya zao lolote lililobadilishwa vinasaba kuwafikia wakulima au walaji. [caption id="attachment_191115" align="aligncenter" width="300"] Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kibayoteknolojia ya KALRO, Dkt Martin Mwirigi. Picha|Sammy Waweru[/caption] Alisema watafiti hufanya tathmini pana zinazohusisha kiwango cha virutubisho, sumu na uwezekano wa kusababisha hasara kabla bidhaa kuwasilishwa kwa mamlaka husika kwa idhini. "Lengo ni kuhakikisha mazao yaliyobadilishwa vinasaba yanaendelea kuwa sawa na yale ya kawaida katika thamani ya lishe. Tofauti pekee ni sifa maalum iliyoingizwa, kama vile uwezo wa kustahimili wadudu au magonjwa," alisema. Dkt Mwirigi alitaja aina za viazi zilizobadilishwa vinasaba ili kustahimili ugonjwa wa late blight kama mfano bora, akisema zao hilo hupata uwezo wa kustahimili ugonjwa huo huku ubora wake wa lishe ukisalia vilevile. Alisema wanasayansi pia huchunguza iwapo sifa mpya zilizoingizwa zinaweza kusababisha sumu au hasara kabla bidhaa kuwasilishwa kwa mamlaka za udhibiti (National Biosafety Authority). Kwa upande wa wazalishaji wa chakula cha mifugo, Mwenyekiti wa Association of Kenya Feed Manufacturers (AKEFEMA), Joseph Karuri, alisema utegemezi mkubwa wa Kenya kwa malighafi kutoka nje unaweka nchi katika hatari ya kukumbwa na upungufu wa bidhaa hizo. Alisema karibu asilimia 80 ya soya inayouzwa duniani imebadilishwa vinasaba, huku nchi kubwa zinazozalisha kilimo kama Amerika, Brazil, Argentina na Afrika Kusini zikiwa zimekubali teknolojia hiyo. "Kenya inapaswa kuanza kujiandaa sasa kwa mahitaji ya chakula ya siku zijazo kwani idadi ya watu inatarajiwa kuongezeka maradufu katika miaka 25 ijayo, huku mabadiliko ya tabianchi yakiendelea kupunguza uzalishaji wa kilimo kutokana na ukame unaoongezeka," alisema. Kwa sasa, Kenya huagiza karibu asilimia 80 ya malighafi za chakula cha mifugo kutoka Tanzania, Uganda, Zambia na Malawi. Karuri alisema utegemezi huu unaweza kuwa hatari kwa sababu nchi hizo zinapanua viwanda vyao vya chakula cha mifugo na hivyo kupunguza uuzaji wa bidhaa nje. "Hatupaswi kutegemea nchi nyingine kabisa kutulisha. Uzalishaji wa mahindi na soya nchini utaimarisha usalama wetu wa chakula na kupunguza utegemezi huo," alisema. Alisema sekta ya kuku hutumia takriban asilimia 60 ya chakula chote cha mifugo kinachozalishwa nchini, hivyo kuwa katika hatari kubwa ya mabadiliko ya bei ya mahindi na soya. Mbali na kuunga mkono bayoteknolojia, Karuri alisema sekta hiyo ya chakula cha mifugo inahimiza matumizi ya malighafi mbadala kama azolla, wadudu kama vile BSF, unga wa nyama na mifupa ili kupanua vyanzo vya malighafi na kuimarisha ustahimilivu wa sekta hiyo kwa muda mrefu. AKEFEMA, pamoja na washirika wengine wa maendeleo, iliandaa Mkutano wa Africa Feed and Feed Ingredients Conference (AFEC) 2026, uliofanyika Julai 15 na 16 Jijini Nairobi, ambapo wataalamu na washikadau walijadili mikakati ya kupunguza gharama ya chakula cha mifugo nchini huku wakiimarisha na kukuza sekta hiyo.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 13 Aug 2026 18:22:31
Wabunifu wahimizwa kuunda teknolojia nafuu za kilimo
WABUNIFU katika sekta ya kilimo na mabadiliko ya tabianchi wamehimizwa kuunda teknolojia za bei nafuu, rahisi kutumia na endelevu zinazolenga mahitaji halisi ya wakulima wa mashamba madogo, ambao huzalisha zaidi ya asilimia 75 ya chakula kinachotumiwa nchini Kenya. Mkurugenzi Mkuu wa KickStart International, Peter Juma, anasema wakulima hawawezi kutumia teknolojia kwa sababu tu ni bunifu, bali huchagua suluhisho zinazoshughulikia changamoto zao, za bei nafuu na zinazowapa faida. "Wakulima hutumia teknolojia ikiwa ni ya bei nafuu, inatatua tatizo halisi na inajilipa," akasema Bw Juma. Mjasiriamali huyo wa teknolojia za kilimo alikuwa akizungumza katika kongamano la Kenya Editors Guild (KEG) Press Club lililofanyika Nairobi, lililowaleta pamoja wanahabari na wahariri wa masuala ya kilimo, pamoja na washikadau wengine katika sekta hiyo. Kongamano hilo "Resilient Harvests" na kaulimbiu "Building Climate-Smart Agriculture for Kenya's Future", liliwakutanisha watunga sera, wanasayansi, wabunifu, washirika wa maendeleo, wakulima na wanahabari kujadili njia za kujenga kilimo kinachoweza kustahimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Ingawa washikadau wanaendelea kuhimiza matumizi ya teknolojia za kidijitali na ubunifu katika kuimarisha mifumo ya chakula, Juma alisema wakulima wengi wanahitaji suluhisho rahisi kutumia, kutunza na kumudu kifedha. [caption id="attachment_191109" align="aligncenter" width="300"] Trekta ndogo ikilima shamba. Picha|Sammy Waweru[/caption] Alisema pia teknolojia za kilimo zinapaswa kuzingatia mahitaji ya jinsia, kuwa nyepesi na zinazoweza kubebwa ili ziweze kutumiwa na watu wengi zaidi. "Teknolojia kama pampu za maji zinapaswa kutengenezwa ili zitumike katika mazingira tofauti, ikiwemo maji safi na yenye chumvi, na ziweze kuendana na maeneo mbalimbali nchini," alisema. Juma alibainisha kuwa teknolojia nyingi za kilimo, zikiwemo pampu za maji zinazotumia nishati ya jua na mashine za kilimo, bado ni ghali kwa wakulima wa mashamba madogo. "Pampu ya maji inaweza kugharimu Sh40,000 pekee, huku aina nyingine ikiuzwa hadi Sh200,000, ilhali zote huuzwa kama suluhisho kwa wakulima wa mashamba madogo," alisema. Alisisitiza kuwa wabunifu wanapaswa kuzingatia uwezo wa kifedha wa wakulima wakati wa kubuni teknolojia. "Wakati wa kuunda teknolojia, wanaozibuni lazima wazingatie bajeti na mahitaji ya wakulima ili tujenge uwezo wa kukabiliana na athari mbaya za mabadiliko ya tabianchi," aliongeza. Washiriki wa kongamano hilo walikubaliana kuwa Kenya haina uhaba wa suluhisho, tafiti au data kuhusu tabianchi. Changamoto kubwa ni kubadilisha maarifa hayo kuwa hatua zinazoweza kutekelezwa, kufikiwa na kupitishwa kwa urahisi na wakulima. [caption id="attachment_191111" align="aligncenter" width="300"] Mayai kwenye mtambo wa kisasa kuyaangua vifaranga. Picha|Sammy Waweru[/caption] Majadiliano yalilenga jinsi mabadiliko ya tabianchi yanavyobadilisha mifumo ya kilimo, yakiathiri mazao yanayopandwa, kiwango cha mavuno na hatimaye upatikanaji wa chakula katika familia za Kenya. Washiriki walisema utafiti unaomlenga mkulima, ushirikiano bora wa taasisi, suluhisho zilizojaribiwa nchini na mawasiliano yanahitajika ili kusaidia wakulima kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Aidha, walisisitiza kuwa nafasi ya vyombo vya habari katika kuangazia suluhisho, uwajibikaji na uzoefu wa jamii zinazokabiliana na mabadiliko ya tabianchi, badala ya kuangazia majanga pekee. "Wanahabari na wahariri si watazamaji tu wa mabadiliko ya tabianchi. Sisi ni wasimuliaji wanaoleta uzoefu wa binadamu kwa umma, walinzi wanaowawajibisha taasisi na wawezeshaji wanaosaidia kuunda uelewa kwa umma," alisema Agnes Mwangangi, Mjumbe wa Baraza Kuu la Kenya Editors Guild. Kongamano hilo pia lilibainisha fursa nyingi zilizopo katika kilimo cha Kenya, hasa katika teknolojia na ubunifu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 16:06:21
Trump sued over Truth Social's $100,000 early access service
Donald Trump is being sued by two US media groups over a new Truth Social service that charges up to $100,000 (£74,000) a month for early access to his posts. The lawsuit was filed on Wednesday in New York federal court by The Intercept and Freedom of the Press Foundation. The suit argues that selling [...] The post Trump sued over Truth Socials $100,000 early access service appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 16:10:46
Sixteen inmates injured after lightning strikes US prison
Lightning struck an Ohio prison during severe weather in the state on Tuesday, injuring 16 inmates including one who had to be airlifted to hospital. The prisoners were outside during the storm, moving between buildings after an evening meal. Nine of the inmates have since returned to the correctional institution, while seven remain in [...] The post Sixteen inmates injured after lightning strikes US prison appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 16:26:37
Members of Trump's cabinet remained on decoy plane, after president's quiet exit
Two members of US President Donald Trumps cabinet were on a decoy plane that Trump secretly exited before boarding a different flight in Turkey last month, CBS News reports. Secretary of State Marco Rubio and Treasury Secretary Scott Bessent remained aboard what was believed to be Air Force One and didnt join a flight that [...] The post Members of Trumps cabinet remained on decoy plane, after presidents quiet exit appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content