kahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 14 Sep 2026 17:24:32
UN calls for 'urgent action' to rein in AI in face of 'unprecedented risks'
The United Nations rights chief called Monday for countries and frontier artificial intelligence companies to act urgently to rein in a technology he warned posed unprecedented risks. In a letter sent to countries and AI developers and shared with the media, Volker Turk cautioned that the world was on the cusp of irreversible change, affecting [...] The post UN calls for urgent action to rein in AI in face of unprecedented risks appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 14 Sep 2026 17:23:44
Serikali yadumisha bei za mafuta licha ya gharama kupanda kimataifa
MAMLAKA ya Kudhibiti Kawi na Petroli (EPRA) jana ilitangaza kuwa bei ya mafuta itasalia jinsi ilivyo mwezi huu hadi Oktoba 14, 2026. Licha ya mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la kimataifa na gharama ya kuyafikisha nchini, EPRA ilisema bei za sasa zitaendelea kutumika katika maeneo mbalimbali nchini. Nairobi, lita moja ya Petroli itaendelea kuuzwa kwa Sh214.03, dizeli Sh217.86 na mafuta ya taa Sh191.38. Mombasa, Super Petrol itauzwa kwa Sh210.87 kwa lita, dizeli Sh214.58 na mafuta ya taa Sh188.09. Nakuru, lita moja ya petroli itagharimu Sh212.92 na dizeli Sh217.27, huku Eldoret na Kisumu petroli ikiuzwa kwa Sh213.69 kwa lita. Bei hizo zinajumuisha VAT, kwa mujibu wa Sheria ya VAT ya 2013, pamoja na marekebisho ya kodi yaliyoainishwa katika sheria mbalimbali za kodi na viwango vipya vya ushuru wa bidhaa vilivyorekebishwa kulingana na mfumuko wa bei.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Mon, 14 Sep 2026 16:38:48
Juja couple's surprise blessing of five babies
A Juja couple expecting quadruplets were surprised by the birth of five premature babies, whose extremely low birth weights now require specialised neonatal care and intensive medical support.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 14 Sep 2026 16:08:33
Another Suspect Arrested Over Deadly Embu Violence at Kindiki UDA Meeting
Detectives have arrested another suspect in connection with the deadly violence and destruction witnessed during Deputy President Kithure Kindiki's United Democratic Alliance (UDA) delegates' meeting at Nembure Grounds in Embu County. The suspect was arrested on Monday, September 14, 2026, in the Kithimu area of Embu town during a coordinated operation conducted by detectives from [...] The post Another Suspect Arrested Over Deadly Embu Violence at Kindiki UDA Meeting appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 14 Sep 2026 16:33:32
Ex-CIA boss was at Ukrainian station when Russian drone struck train
Former US CIA director David Petraeus was at a Ukrainian train station at the very moment a Russian drone struck a passenger train on Sunday, shortly after a diplomatic train carrying former UK Prime Minister Boris Johnson and other foreign dignitaries had passed through. Kyiv framed the attack as evidence of the increased threat Russia's [...] The post Ex-CIA boss was at Ukrainian station when Russian drone struck train appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Mon, 14 Sep 2026 16:38:01
Kenyatta University relay teams qualify for Open Lanes Varsity Invitational finals
Three relay teams from Kenyatta University have qualified for the finals of the Open Lanes Varsity Invitational after emerging from a competitive round of in-campus qualifiers. The competition, powered by Swiss sportswear brand On, brings together student-athletes from universities across Nairobi in a contest for inter-university bragging rights and a fully paid race-weekend experience in [...] The post Kenyatta University relay teams qualify for Open Lanes Varsity Invitational finals appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Mon, 14 Sep 2026 16:36:23
Uvumbuzi wa chakula maalum kufaa mifugo wakati wa kiangazi
HUKU kiangazi na ukame ukiendelea kuathiri wakulima hasa maeneo kame na nusu-kame (ASAL), teknolojia ya uongezaji malisho thamani kurefusha muda imegeuka kuwa tegemeo kwa wafugaji. Wafugaji wanaokabiliwa na uhaba wa chakula cha mifugo wakati wa kiangazi sasa wanaweza kutumia lishe yenye virutubisho anuwai ya Sh300 pekee iliyovumbuliwa na kutengenezwa na Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo (KALRO) ili kusaidia mifugo. Lishe hiyo iliyoundwa na tawi la KALRO, Muguga, Kiambu imesheheni molasi na urea. Molasi hutoa nishati, huku urea ikisambaza nitrojeni inayohitajika kwa mifugo. Eric Too, mtafiti kutoka KALRO, anasema teknolojia hiyo inalenga kusaidia wafugaji hasa wakati wa ukame na kiangazi kirefu ambapo upatikanaji wa chakula cha mifugo huwa changamoto. Too anasema chakula hicho maalum ni muhimu hasa katika maeneo yanayokabiliwa na ukame na uhaba wa malisho. [caption id="attachment_192112" align="aligncenter" width="300"] Eric Too, mtaalamu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Kilimo Kenya (KALRO), aelezea kuhusu chakula maalum cha mifugo kilichotengenezwa na shirika hilo la utafiti, wakati wa Mkutano wa Afrika wa Chakula cha Mifugo na Virutubisho vya Chakula cha Mifugo (AFEC) 2026 katika Hoteli ya Safari Park, Nairobi mnamo Julai 15, 2026. Mkutano huo uliandaliwa na Chama cha Watengenezaji wa Chakula cha Mifugo nchini Kenya (AKEFEMA). PICHA|SAMMY WAWERU[/caption] "Tumetengeneza bidhaa hii kusaidia wafugaji, hasa wakati wa kiangazi ambapo kuna changamoto ya upatikanaji wa chakula cha mifugo," anasema. Lishe hiyo yenye uzani wa kilo mbili, anahoji haina tofauti na chakula cha kawaida cha mifugo ikizingatiwa kuwa malighafi yaliyotumika ni yaleyale ya kawaida ila tu imeboreshwa. Wafugaji wanashauriwa kuendelea kuwapa ng'ombe, mbuzi na kondoo chakula bora kama vile lucerne, Boma Rhodes na super Napier kabla ya kuwapa chakula hicho. Lishe hiyo maalum ilikuwa kati ya teknolojia na chakula kilichovutia wafugaji wakati wa Maonyesho na Kongamano la Chakula cha Mifugo Afrika (AFEC) 2026 yaliyofanyika Nairobi kati Julai 15 na 16. Hafla hiyo iliandaliwa na Chama cha Watengenezaji na Wauzaji wa Chakula cha Mifugo Kenya (AKEFEMA), na kuleta pamoja kampuni na taasisi 200 kutoka nchi 27 ulimwenguni. Too, kwenye mahojiano na 'Akilimali' alisema chakula hicho maalum husaidia mifugo kuboreshe mmeng'enyo. "Ni bora zaidi kupewa mifugo saa za jioni, wakati mnyama amepumzika ili kusaidia mmeng'enyo na matumizi bora ya chakula alichokula wakati wa mchana," akashauri. Alidokeza kwamba utafiti umebaini kupungua kwa kiwango cha kinyesi baada ya mifugo kutumia lishe hiyo yenye virutubisho tele, hasa baada ya muda wa wiki moja hadi mbili. "Hali hii inaweza kuwa na manufaa kwa mazingira kwa sababu matumizi bora ya chakula yanaweza kusaidia kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane," Too anafafanua. [caption id="attachment_192113" align="aligncenter" width="300"] Eric Too kutoka Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Kilimo Kenya (KALRO) akipanga chakula maalum cha mifugo kilichotengenezwa na shirika hilo la utafiti, wakati wa Mkutano wa Afrika wa Chakula cha Mifugo na Virutubisho vya Chakula cha Mifugo (AFEC) 2026 ulioandaliwa na Chama cha Watengenezaji wa Chakula cha Mifugo nchini Kenya (AKEFEMA) katika Hoteli ya Safari Park, Nairobi, Julai 15, 2026. PICHA|SAMMY WAWERU[/caption] Mifugo, hasa ng'ombe, wanahusishwa na uzalishaji wa gesi zinazochangia ongezeko la joto duniani. KALRO inaendelea kuboresha teknolojia hiyo kama mojawapo ya njia zinazoweza kusaidia wafugaji kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi huku wakiboresha lishe ya mifugo. Hata hivyo, Too anasema utafiti zaidi na ukusanyaji wa data unahitajika kubaini kiwango kamili cha kupungua kwa gesi ya methane, kwani athari zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya mnyama anayelishwa chakula hicho maalum. Lishe hiyo imekuwa ikitafitiwa kwa zaidi ya miaka mitano na hutengenezwa katika tawi la KALRO, Muguga. Kifungu kimoja cha chakula hicho chenye uzani wa kilo mbili kinauzwa Sh300, na kinaweza kutosha ng'ombe mmoja kwa muda wa takriban wiki mbili.
read moreRight Column Content