kahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 13 Sep 2026 08:49:13
Ruto mourns former President Moi's physician David Silverstein
President William Ruto has mourned Dr David Silverstein, the long-serving personal physician of former President Daniel arap Moi, describing him as a distinguished doctor whose contribution to medicine touched many lives. In a statement on Sunday, Ruto said Silverstein played a pioneering role in the advancement of medicine in Kenya, particularly in cardiology. The President [...] The post Ruto mourns former President Moi's physician David Silverstein appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 13 Sep 2026 09:00:17
Gachagua alleges MP Gitonga Mukunji faces arrest over Embu clashes
Former Deputy President Rigathi Gachagua has alleged that Embu MP Gitonga Mukunji is being targeted for arrest following violent clashes witnessed during a political event in Embu. Gachagua accused Deputy President Kithure Kindiki and Embu Governor Cecily Mbarire of using police officers to intimidate Mukunji after the clashes between police and members of the public. [...] The post Gachagua alleges MP Gitonga Mukunji faces arrest over Embu clashes appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 13 Sep 2026 09:29:05
Gachagua, Kindiki exchange words as DP denies bribery allegations over Embu chaos
Deputy President Kithure Kindiki has dismissed allegations by former Deputy President Rigathi Gachagua that bribery contributed to the chaos witnessed during a political event in Embu. Kindiki hit back at Gachagua on Sunday, telling him to stop insulting residents of the Mt Kenya region and dismissing claims that they could be influenced through money. "Nobody [...] The post Gachagua, Kindiki exchange words as DP denies bribery allegations over Embu chaos appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sun, 13 Sep 2026 08:55:45
Wantam: ODM yamalizana na Sifuna licha ya nyota yake kung'aa
MZOZO wa miezi kadhaa kati ya ODM na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna umefikia kikomo baada ya Jopo la Kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa (PPDT) kutupilia mbali ombi lake la kutaka kubatilisha kuondolewa kwake kama Katibu Mkuu wa chama hicho. Uamuzi huo wa Alhamisi wiki hii unafunga ukurasa muhimu katika safari ya kisiasa ya Bw Sifuna ndani ya ODM, chama ambacho alihudumu kama Katibu Mkuu kwa miaka minane tangu 2018. Lakini zaidi ya nafasi ya Bw Sifuna, mzozo huo umeonyesha mpasuko mkubwa kuhusu mwelekeo wa ODM, nidhamu ya chama na nafasi ya viongozi wanaotofautiana na msimamo rasmi wa chama. PPDT ilisema Kamati Kuu ya Kitaifa (NEC) ya ODM ilikuwa na mamlaka ya kuunda jopo maalum la kusikiliza tuhuma dhidi ya Bw Sifuna. Jopo hilo pia lilibaini kuwa mwanasiasa huyo alipewa nafasi ya kujitetea kabla ya NEC kumwondoa katika wadhifa huo Juni 22, 2026. Hii ilikuwa hatua ya pili katika mzozo huo. Mnamo Juni 18, PPDT iliamua kuwa ODM ilikiuka haki ya Bw Sifuna ya kusikilizwa kwa haki ilipomwondoa kwa mara ya kwanza Februari 11, 2026. Hata hivyo, chama kiliruhusiwa kuanza tena mchakato wa kinidhamu kwa kufuata katiba yake na sheria za vyama vya kisiasa. ODM ilitumia nafasi hiyo kuendesha mchakato mwingine ambao sasa umeidhinishwa na PPDT. Chanzo kikuu cha mzozo kilikuwa madai ya utovu wa nidhamu. Chama kilimtuhumu Bw Sifuna kwa kutoa matamshi yaliyopingana na misimamo rasmi ya ODM, kutohudhuria baadhi ya mikutano muhimu na kushiriki shughuli za kisiasa ambazo hazikuwa zimeidhinishwa na chama. Miongoni mwa shughuli hizo ni mikutano ya Linda Mwananchi, vuguvugu ambalo limekuwa likimjenga katika siasa za upinzani. Mvutano ulianza kuchukua sura mpya Julai 2025 baada ya Bw Sifuna kuonekana katika kipindi cha televisheni na kusema Makubaliano ya Ushirikiano kati ya ODM na UDA yalikuwa "yamekufa". Kauli hiyo haikupokelewa vyema na uongozi wa chama. Aliyekuwa kiongozi wa ODM, Raila Odinga, wakati huo alisisitiza umuhimu wa Katibu Mkuu kufuata na kutetea misimamo rasmi ya chama anapozungumza hadharani. Baada Raila kufariki, Sifuna aliendelea kushikilia msimamo wake na ODM ikamtumia notisi ya kujitetea. Seneta huyo alipinga notisi hiyo akisema haikuwa imeeleza kwa kina malalamishi dhidi yake. Chama kilitoa maelezo zaidi na kuongeza muda wa mchakato wa kusikilizwa. Wakili wa Bw Sifuna alifika mbele ya jopo la chama lakini akaibua pingamizi kuhusu uhalali na muundo wake kabla ya kujiondoa bila kujibu tuhuma zilizowasilishwa. Jopo lilitupilia mbali pingamizi hizo na kupendekeza Bw Sifuna aondolewe. NEC baadaye ilikubali pendekezo hilo. Katika kesi yake mpya, Bw Sifuna alisisitiza kuwa jopo hilo halikutambuliwa katika katiba ya ODM na hivyo halikuwa na mamlaka ya kushughulikia suala lake. PPDT, hata hivyo, ilikubaliana na chama kwamba NEC inaweza kuunda kamati au majopo ya muda kushughulikia majukumu maalum kwa niaba yake. Uamuzi huo sasa unaweka wazi kuwa kuondolewa kwa Bw Sifuna kama Katibu Mkuu wa ODM kumesalia. Kwa ODM, huu ni ushindi kwa wale ambao hawakumtaka Sifuna kwa sababu ya kuwakosoa. Kwa Bw Sifuna, hata hivyo, uamuzi huo unafungua swali la hatua yake inayofuata kisiasa. Seneta huyo amekuwa mmoja wa wanasiasa wanaohusishwa na Linda Mwananchi, pamoja na Gavana wa Siaya James Orengo, Mbunge wa Embakasi East Babu Owino na Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi. Kwa hivyo, kuondoka kwake katika uongozi wa ODM kunatazamwa kama baraka kwa kuwa ushawishi wake umeongezeka kwa kasi. Kwa upande mwingine, ODM sasa inakabiliwa na jukumu la kujenga upya uongozi wake na kueleza nafasi yake katika siasa za upinzani baada ya mzozo huo. Kwa sasa, uamuzi wa PPDT umefunga mzozo wa Sifuna na ODM lakini haujazima nyota yake inayozidi kung'aa.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 13 Sep 2026 08:28:08
Two local tourists missing after boat capsizes near Mombasa's Nyali Coast
Two local tourists were reported missing after a boat carrying seven people capsized off the Nyali coast in Mombasa County. The incident occurred on Saturday, September 12, 2026, after the boat was reportedly struck by strong sea waves while returning from Fort Jesus. The boat had two crew members and five local tourists on board. [...] The post Two local tourists missing after boat capsizes near Mombasa's Nyali Coast appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 13 Sep 2026 07:37:15
Woman's decomposed body found in thicket in Busia Hills
Police in Samia Sub-County, Busia County, have launched investigations after the decomposing body of an unidentified woman was found in a thicket at the top of Busia Hills. The body was discovered on Saturday, September 12, 2026. National Police Service officers visited the scene and confirmed the discovery. According to the police report, the body [...] The post Woman's decomposed body found in thicket in Busia Hills appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 13 Sep 2026 07:42:46
Man killed after attempting to snatch cop's firearm outside GSU college in Embakasi
A man was shot dead after allegedly attempting to snatch a firearm from police officers at the main gate of the National Police B Campus in Embakasi, Nairobi, on Saturday morning. According to police, the incident occurred at Gate D at approximately 6:57 a.m. when an unidentified adult male approached officers manning the entrance and [...] The post Man killed after attempting to snatch cops firearm outside GSU college in Embakasi appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Sun, 13 Sep 2026 07:55:11
Ng'ombe, mbuzi na kondoo kupewa vitambulisho kudhibiti wizi
SERIKALI imeanza kutekeleza mfumo mpya wa kitaifa wa kutambua na kufuatilia mifugo unaolenga kudhibiti wizi na kuboresha biashara ya bidhaa za mifugo nchini. Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, Mutahi Kagwe, alisema kila ng'ombe nchini atakuwa na alama maalum ya manjano ya mfumo wa Animal Identification and Traceability (ANITRAC) itakayowezesha kufuatilia alikotoka, afya yake na mahali alikopitia. Akizungumza katika Maonesho ya Kilimo ya Kanda ya Kati ya Kenya mjini Nyeri, Bw Kagwe alisema mifugo itakayopatikana bila vitambulisho hivyo itazua maswali kuhusu usalama. "Katika siku zijazo kila ng'ombe atakuwa na alama maalum. Mtu akipatikana na ng'ombe asiye na alama hiyo atalazimika kueleza alikotoka," alisema. Mfumo huo pia unatarajiwa kusaidia serikali kufuatilia magonjwa ya mifugo na kuimarisha usalama wa chakula huku ukisaidia Kenya kutimiza masharti ya kimataifa ya masoko ya nje. Waziri huyo pia alitangaza hatua za kupunguza gharama ya uzalishaji kwa wafugaji wa maziwa kupitia ruzuku ya mbegu za kisasa upatikanaji wa malisho bora na vifaa vya kupooza maziwa. Aidha, alisema mageuzi katika sekta ya kahawa yanaendelea kutekelezwa kufuatia kuanza kazi kwa Bodi ya Kahawa ya Kenya. Kwa upande wa chai, ushuru mpya wa asilimia 0.8 kwa mauzo ya nje utasaidia kuboresha miundombinu na kuongeza thamani ya bidhaa hiyo. Hata hivyo, aliwaonya wakulima dhidi ya kuvuna mazao kabla ya kukomaa, akisema hali hiyo huharibu sifa ya Kenya katika masoko ya kimataifa na kupunguza mapato ya wakulima.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Sun, 13 Sep 2026 07:13:34
Police deployed in Nairobi CBD ahead of Linda Mwananchi rally
Anti-riot police officers were Sunday deployed across major streets in Nairobi's Central Business District (CBD) ahead of a planned Linda Mwananchi mobilisation rally. The officers were seen patrolling the city on foot and in police vehicles, with authorities saying the deployment was intended to prevent criminal activity, including attacks on businesses and looting. However, organisers [...] The post Police deployed in Nairobi CBD ahead of Linda Mwananchi rally appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content