taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Tue, 10 Nov 2026 15:16:46
Zipo sababu tele za kuamini uajiri wa walimu unafanywa kwa upendeleo
YAPO maswali halali kuhusu uwazi na usawa katika uajiri wa walimu nchini. Walimu waliohitimu, wenye uzoefu na walio na umri wa zaidi ya miaka 40 wameendelea kusubiri ajira kwa miaka mingi, huku Tume ya Huduma kwa Walimu (TSC) ikiendelea kuajiri maelfu ya walimu wapya. Hali hii inahitaji maelezo ya kuridhisha. Haiingii akilini kwamba mtu aliyesomea ualimu, akafaulu mafunzo yake na akatumia miaka mingi kusubiri ajira, anaweza kutupiliwa mbali kwa mwaka baada ya mwaka. Tume ina wajibu wa kueleza kwa nini walimu wenye umri mkubwa wameachwa nyuma. Ikiwa kuna sera inayowapa vijana kipaumbele, ni lazima iwekwe wazi na ijadiliwe kwa misingi ya haki. Walimu hawa hawakuchagua kusubiri ajira kwa miongo kadhaa. Wengi wanaishi kwa vibarua na mishahara duni katika shule za kibinafsi huku wakitumai siku moja kupata nafasi serikalini. Hali hii inazua pia tuhuma nzito kwamba nafasi za ajira zinaweza kuwa zinagawa kwa upendeleo wa kisiasa. Kuna madai kuwa barua za ajira zinaweza kuuzwa au kutolewa kwa watu wenye uhusiano na wanasiasa wanaounga mkono serikali. Haya ni madai yanayohitaji kuchunguzwa, si kuachwa yaendelee kama uvumi. TSC inapaswa kuweka wazi vigezo, orodha za waliofaulu na sababu za walioachwa baada ya uajiri. Ikiwa ajira zinatolewa kwa misingi ya uaminifu wa kisiasa, basi mfumo mzima wa elimu unakuwa mateka wa siasa. Ualimu si zawadi ya kuwatuza wafuasi wa viongozi. Ni taaluma inayohitaji uwezo, weledi na kujitolea. Serikali inapaswa kuanzisha ukaguzi huru wa mchakato wa uajiri, kuchunguza madai ya rushwa na kuhakikisha kila mwombaji anapata nafasi sawa. Walimu wanaozidi umri wa miaka 40 hawapaswi kuadhibiwa kwa kuchelewa kupata nafasi ambazo wamekuwa wakisubiriwa kwa miaka mingi. Ajira za walimu lazima ziwe za haki, si za urafiki, jamaa au washirika wa wanasiasa. TSC inafaa kutoa maelezo na kuweka hatua za kurejesha imani katika mfumo wa kuajiri walimu.
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 10 Nov 2026 14:43:14
Kenya launches sovereign cybersecurity centre to shield government systems from rising threats
Kenya has launched a Sovereign Security Operations Centre (SOC) at Konza Technopolis to strengthen the protection of government systems, sensitive citizen data and critical digital infrastructure against growing cyber threats. The SecureKE Sovereign SOC, launched by the Technopolis Development Authority (TDA) in collaboration with the State Department for ICT and the Digital Economy at Ole...
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 10 Nov 2026 14:01:19
WHO launches global movement to rebuild trust in science
The World Health Organization (WHO) has launched a global movement bringing together more than 240 organizations to strengthen public trust in science and promote the use of scientific evidence in improving health outcomes. The initiative, dubbed 'Together for Science and Health,' was launched on World Science Day for Peace and Development, with participation from scientists,...
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 10 Nov 2026 14:07:14
Government steps up child protection reforms, targets family-based care
The Government is stepping up efforts to strengthen child protection systems and keep children within safe family environments, as part of reforms aimed at reducing unnecessary institutional care and addressing the growing cases of child neglect and abuse. Principal Secretary (PS) for Children Services CPA Carren Achieng Ageng'o noted that the reforms require stronger government...
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 10 Nov 2026 14:11:07
State Department unveils blueprint to roll out parliamentary information centres across digital hubs
The State Department for ICT and the Digital Economy has unveiled a strategic blueprint to decentralize access to parliamentary processes across all 47 counties by integrating Parliamentary Information Centres (PICs) into existing Digital Hubs. Appearing before the National Assembly Committee on Parliamentary Broadcasting and Library, chaired by Turkana West MP Hon. Daniel Epuyo Nanok, ICT...
read morekenyanews.go.ke
@kna Tue, 10 Nov 2026 14:14:52
PS Muoria champions industry-led training to expand youth employment opportunities
The Government is advancing reforms in Technical and Vocational Education and Training (TVET) through strengthened collaboration with industry and development partners to ensure training is responsive to labour market needs, produces competent and industry-ready graduates and supports national economic transformation. Principal Secretary for the State Department for Technical and Vocational Education and Training (TVET), Dr...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 10 Nov 2026 14:21:03
Michael Carrick's Future as Manchester United Manager to Be Decided on Wednesday
Manchester United manager Michael Carricks future at the club is expected to be discussed at a meeting involving owner Sir Jim Ratcliffe and senior executives on Wednesday. According to BBC Sport, the meeting in Monaco will be attended by Ratcliffe, chief executive Omar Berrada and director of football Jason Wilcox, who are expected to discuss [...] The post Michael Carrick's Future as Manchester United Manager to Be Decided on Wednesday appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content