taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 26 Aug 2026 04:55:36
Shule za upili zalemaa mgao ukipungua nayo serikali ikionya walimu dhidi ya kuongeza karo
WAKUU wa shule za sekondari wameonya kuwa uhaba wa fedha unaathiri ubora wa elimu, huku wakitaka serikali iongeze kiwango cha fedha kinachotolewa kwa kila mwanafunzi. Wakuu hao wamesema gharama ya kuendesha shule imeongezeka kwa kiasi kikubwa tangu kiwango cha ufadhili cha Sh22,244 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka kilipowekwa mwaka 2014. Onyo hilo linajiri shule zinapoanza muhula wa tatu, ambao ni muhimu kwa watahiniwa wa Kidato cha Nne wanaojiandaa kwa mitihani yao ya kitaifa (KCSE). Kwa mujibu wa uchanganuzi wa Chama cha Wakuu wa Shule za Sekondari (KESSHA), shule zimepokea Sh16,056.29 kwa kila mwanafunzi mwaka huu, dhidi ya Sh22,244 zinazotarajiwa. Hii inaacha pengo la Sh6,188 kwa kila mwanafunzi, sawa na asilimia 27.82 ya fedha zinazotarajiwa. KESSHA ilisema shule zilipokea Sh7,952.04 kwa kila mwanafunzi katika muhula wa kwanza, Sh4,766.49 muhula wa pili na Sh3,337.76 mwanzoni mwa muhula wa tatu. Mwenyekiti wa shule za kitaifa, Casper Maina, ambaye pia ni mkuu wa Nairobi School, alisema kiwango hicho hakikidhi mabadiliko ya gharama ya maisha. "Mgao hautoshi. Kiwango hiki kiliwekwa mwaka 2014, miaka 12 iliyopita. Mambo mengi yamebadilika tangu wakati huo. Kwa nini hakiongezwi upya?" alisema. KESSHA ilisema shule zilipokea Sh11,892.14 kwa kila mwanafunzi mwaka 2023, sawa na asilimia 53.46 ya kiwango kilichotarajiwa. Mwaka 2024, kiasi hicho kiliongezeka hadi Sh16,205.96, sawa na asilimia 72.86, kabla ya kushuka hadi Sh15,385.12 mwaka 2025. Mwaka huu, ingawa kiasi kilichotolewa kimeongezeka, bado shule hazijapokea fedha zote zinazotarajia. Wakuu wa shule walisema wanakabiliwa na gharama kubwa za chakula, umeme, maji, usafiri na vifaa vya masomo na mishahara ya wafanyakazi wasio walimu. "Tunatakiwa kutoa elimu bora kwa kutumia rasilimali ambazo hazijaongezeka kulingana na gharama. Mkuu wa shule analazimika kuamua ni jambo gani la kulipia sasa na lipi litasubiri," alisema mkuu mmoja wa shule Nakuru. Shule pia zinakabiliwa na gharama ya maandalizi ya mtihani wa KCSE, ikiwemo ununuzi wa kemikali, vifaa vya maabara na uchapishaji wa mitihani ya marudio. Mkuu mwingine wa shule Nairobi alisema baadhi ya shule zimeanza kutegemea kukopa toka kwa wasambazaji. "Tunakopa na kuwaomba wasambazaji watupatie muda zaidi. Lakini huwezi kuendelea kukopa milele," alisema. Wakati huo huo, Waziri wa Elimu, Bw Julius Ogamba amewataka wakuu wa shule kutumia fedha za umma kwa uangalifu na kuacha kuwatoza wazazi ada zisizoidhinishwa. "Serikali imejitolea kutekeleza wajibu wake kwa wanafunzi na taasisi za elimu," alisema.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 26 Aug 2026 05:55:44
Ndovu wanaharibu mazao shambani kwangu Taveta, Rais Ruto alalamika
RAIS William Ruto amefichua kuwa ndovu wamekuwa wakivamia shamba lake lililoko Taita-Taveta na kuharibu mimea licha ya juhudi za kuwazuia, huku mizozo kati ya binadamu na wanyamapori ikizidi kutishia jamii katika eneo la Pwani. Rais alisema ndovu waliingia katika shamba lake na kuharibu mimea yake ya mahindi pamoja na kuangusha ua wa umeme aliokuwa ameweka kulinda mimea yake dhidi ya uvamizi huo. Alisema kuwa anafahamu changamoto zinazowakabili wakulima wanaoishi karibu na mbuga za wanyamapori. "Mimi pia ninakabiliwa na uvamizi wa ndovu katika shamba langu. Wamekula na kuharibu mimea yangu ya mahindi; pia nimepata hasara. Nilijaribu kuweka ua wa umeme lakini waliuvunja na kuendelea kula na kuharibu mimea yangu," alisema Rais Jumapili wakati wa ibada kanisani katika kaunti hiyo. Hata hivyo, Dkt Ruto, ambaye anafuga ng'ombe wa nyama na maziwa katika shamba hilo pamoja na kuendesha kilimo cha mboga, alisema amewasiliana na Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini (KWS) kutafuta suluhu ya kudumu. "Lazima tupate suluhu ya kudumu kupitia mitaro na uzio ili kuwazuia wasiingie katika mashamba yetu," alisema. Mbunge Mwakilishi wa Kike Taita-Taveta, Bi Lydia Haika, alisema uvamizi wa ndovu ni tatizo kubwa katika kaunti hiyo na kumtaka Rais kutafuta suluhisho ya kudumu. Haya yanajiri huku maelfu ya wakulima katika jamii zinazoishi karibu na hifadhi za kitaifa za Tsavo Mashariki na Tsavo Magharibi, wakiendelea kulalamika kuhusu uvamizi wa wanyamapori katika mashamba na makazi wakitafuta chakula na maji. Katika kaunti za Kilifi, Kwale, Taita-Taveta, Lamu na Tana River, wakazi wameripoti uharibifu wa mimea, mali na vitisho kwa usalama wao kutokana na wanyamapori. Hivi majuzi mwanafunzi wa Gredi ya Saba alishambuliwa na kuuawa na simba Machi 29 alipokuwa akirejea nyumbani kutoka shuleni katika Kaunti ya Kilifi. Tukio hilo liliwalazimu maafisa wa KWS kuwasindikiza wanafunzi kwenda na kutoka shuleni katika baadhi ya vijiji vilivyoathirika. Hali imekuwa mbaya zaidi eneo la Ganze, ambako wakazi wanasema ndovu wamekuwa wakiingia mara kwa mara katika mashamba na makazi. Miezi minne iliyopita, zaidi ya ndovu 300 waliripotiwa kutoka katika Hifadhi ya Kitaifa ya Tsavo na kuvamia vijiji vya Kilifi, wakiharibu mimea, vyanzo vya maji na mashamba, ikiwemo mali ya Katibu Mkuu wa Idara ya Masuala ya Vijana, Bw Fikirini Jacobs. Uvamizi huo ulizua hasira na huku wakazi wakitoa wito kwa serikali kujenga uwa wa umeme kuzunguka hifadhi ya kitaifa ya Tsavo ili kuwazuia wanyamapori kuingia katika maeneo ya makazi. Katika kaunti jirani ya Kwale, Mbunge wa Kinango, Bw Gonzi Rai, alimuomba Rais Ruto kuingilia kati akisema ndovu wamekuwa wakiharibu mimea na kuzidisha ukosefu wa chakula. "Tafadhali tusaidie kutatua tatizo hili. Ndovu wanaharibu mimea yetu na ndiyo maana wakazi wanategemea misaada ya chakula kila mara. Hatutaki kutegemea misaada kwa sababu sisi ni wakulima. Changamoto pekee tunayokabili ni uvamizi wa ndovu ambao wanaendelea kuharibu mashamba yetu," alisema Bw Rai. Hivi majuzi, Naibu Kamishna wa Magarini, kaunti ya Kilifi, Bw Michael Ololtuaa pia alilitaka Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini (KWS) kujitahidi na kuhakikisha kila mwaathiriwa wa migogoro ya binadamu na wanyamapori anafidiwa kikamilifu. Katika mahojiano na Taifa Leo Jumapili, Bw Ololtuaa alisisitiza kuwa si jambo jema kuona mwaathiriwa wa wanyamapori akikosa kufidiwa kutokana na kufeli kwake kusajili matukio kwa KWS. Kumekuwa na visa vya wanyamapori, hasa simba kuvamia, kuwaua na kuwala wanafunzi eneo hilo la Magarini. Kisa cha hivi punde zaidi ni cha juma lililopita ambapo simba-jike alimvamia,kumuua na kumla mwanafunzi wa Gredi 4 katika kijiji cha Chanjalo, Magarini, kaunti ya Kilifi. Mwanafunzi huyo kwa jina Kelvin Amani alikuwa njiani kurudi nyumbani jioni baada ya kucheza mpira wakati alipovamiwa na simba huyo. Machi, 2026, mwanafunzi mwingine wa Gredi 7 kwa jina Simon Nzaro Chai, kutoka kijiji cha Watala, eneobunge la Magarini, pia alivamiwa na kuliwa na simba wakati akitoka shule. Katika ziara yake ya awali huko Kilifi, Rais Ruto alitangaza kuwa serikali ilikuwa imetenga Sh315 milioni kujenga uzio wa umeme wenye urefu wa kilomita 140 kuzunguka hifadhi hiyo. "Nimesikia changamoto mnazokabiliana nazo kuhusu mzozo kati ya binadamu na wanyamapori. Hili lilizungumzwa pia na Gavana Gideon Mung'aro, Mbunge wa Ganze Kenneth Tungule na viongozi wengine. Nilikuwa nimeahidi kutafuta fedha na sasa nimepata Sh315 milioni za kujenga uzio wa umeme wa kilomita 140 kuzunguka hifadhi ya kitaifa," alisema wakati wa hafla ya shukrani ya Bw Jacobs. Rais alisema uwa huo unalenga kuzuia ndovu na wanyamapori wengine kutoka katika hifadhi na kuingia kwenye mashamba na vijiji. "Tunajua kila mnapopanda mimea, wanyama wa porini huja na kuiharibu. Lakini tatizo hili litakwisha mwaka huu na hali ya kawaida itarejea. Hili ndilo ninawaahidi," alisema. Rais Ruto pia alisema Mkurugenzi Mkuu wa KWS Prof Erustus Kanga, alikuwa akikamilisha mchakato wa zabuni na kwamba wakandarasi walitarajiwa kuanza kazi kufikia Julai.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 03:56:46
Whitney Houston Net Worth
Whitney Houston was an American singer, actress and model who had an estimated net worth of negative $20 million at the time of her death in 2012. Despite generating hundreds of millions of dollars during her career, Houston experienced severe financial problems in the final years of her life. Spending, debt, legal disputes, addiction and [...] The post Whitney Houston Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 04:03:56
Pat Houston Net Worth
Pat Houston is an American television personality, manager and producer who has an estimated net worth of $1 million. She became widely known through her close connection to the Houston family and her role as the manager of her sister-in-law, legendary singer Whitney Houston. Pat Houston later became a familiar face on television through the [...] The post Pat Houston Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 04:12:35
Bobby Brown Net Worth
Bobby Brown is an American RB singer, songwriter and entertainer who has an estimated net worth of $2 million. Brown rose to fame as a member of the legendary RB group New Edition before launching a successful solo career in the 1980s. His biggest commercial breakthrough came with his second solo album, Dont Be Cruel, [...] The post Bobby Brown Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 04:20:14
Paul Heaton Net Worth
Paul Heaton has a net worth of $4 million. The English singer-songwriter built his wealth through a career spanning more than four decades, first as the frontman and primary lyricist of the Housemartins before becoming one of the leading figures behind the Beautiful South. Heaton later established a solo career and reunited with former Beautiful [...] The post Paul Heaton Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 04:27:32
Fatboy Slim Net Worth
Fatboy Slim, whose real name is Norman Cook, has an estimated net worth of $20 million. The British DJ, musician, rapper and record producer built his fortune through a career spanning several decades and multiple successful bands and musical projects. Cook first gained recognition as a member of the Housemartins before becoming the driving force [...] The post Fatboy Slim Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 26 Aug 2026 03:55:44
Mama, mwanawe wadai kusingiziwa mauaji ya Dkt Mutiso ili mali yao ya Sh1.5bn itwaliwe
KULIKUWA na kizaazaa katika Mahakama ya Milimani baada ya Rose Mbithe Mulwa na mwanawe Chris Mulwa kudai wanasingiziwa kuhusika katika mauaji ya Dkt Victoria Mutiso ili mali ya familia ya thamani ya Sh1.5 bilioni itwaliwe. Rose alidai hawezi kufikia akaunti zake za benki ili kupata pesa za matibabu na mahitaji ya kila siku. Alitoa madai mazito dhidi ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP), akisema kesi dhidi yake imebuniwa. [caption id="attachment_191518" align="alignnone" width="1245"] Rose Mbithe Mulwa, anayeshukiwa kwa mauaji ya Dkt Victoria Mutiso. Picha|Richard Munguti[/caption] "Hawajawahi kuniona nikimuua Dkt Victoria Nthunya Mutiso," Rose alidai. Alisema alimsomesha aliyekuwa mumewe, Profesa David Ndetei, hadi kiwango cha uzamifu (PhD), na kwamba sasa ana matatizo makubwa ya kiafya. Chris naye alidai maafisa wa DCI walimtisha ili aandike taarifa dhidi yake, la sivyo wangeomba mahakama iamuru azuiliwe kwa siku 60. "Mimi ni wakili wa mahakama hii na nina haki ya kujieleza," Chris alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 03:16:06
European rights court orders Turkey to free imprisoned businessman
The European Court of Human Rights (ECHR) has ordered Turkey to immediately release Osman Kavala, an activist and philanthropist who has been detained in prison for almost a decade. Kavala was sentenced to life behind bars in 2022 for charges related to nationwide protests in 2013 and a failed coup attempt three years later. Since [...] The post European rights court orders Turkey to free imprisoned businessman appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 03:19:01
3 Secret Service officials placed on leave amid misconduct investigation
Three Secret Service officials, including the agency's director of communications, have been placed on leave as an investigation into potential misconduct unfolds, a source familiar with the decision told CNN. The nature of the alleged misconduct was not immediately clear. All three officials, including comms chief Anthony Guglielmi, have lost their security clearances and access [...] The post 3 Secret Service officials placed on leave amid misconduct investigation appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 03:21:25
Trump says all mines cleared from Strait of Hormuz
US President Donald Trump has said that the US Navy has removed or detonated all mines in the Strait of Hormuz the vital waterway which Iran has largely closed since the beginning of the war in the Middle East. Iran has been notified that any ship or boat placing new mines will be immediately [...] The post Trump says all mines cleared from Strait of Hormuz appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 03:23:42
Musk's SpaceX announces $100 billion plan for new spaceport in Louisiana
Elon Musks space company plans to spend $100 billion to build a massive new spaceport in Louisiana to launch rockets, state officials and the company announced Tuesday. Louisiana Gov. Jeff Landry said the deal was a big win for the state and country, likening the impact of the new launch site to the 1803 Louisiana [...] The post Musks SpaceX announces $100 billion plan for new spaceport in Louisiana appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 03:33:45
Stella Parton Net Worth
Stella Parton has an estimated net worth of $10 million. She is an American country singer-songwriter, actress, author and advocate who built a career in entertainment independently while also being known as the younger sister of country music icon Dolly Parton. Stella Parton began performing professionally in the 1960s and scored several country music hits [...] The post Stella Parton Net Worth appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 26 Aug 2026 03:44:29
What Is Emmylou Harris Net Worth?
Emmylou Harris is an American singer-songwriter who has an estimated net worth of $10 million. She built her fortune through a career spanning more than five decades, with income coming from album sales, songwriting, touring, collaborations and other music projects. Harris is one of the most respected artists in country and Americana music. She has [...] The post What Is Emmylou Harris Net Worth? appeared first on Kahawatungu.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Wed, 26 Aug 2026 03:10:00
Two murders, bitter family feud and Sh1.5b land war: The deadly revenge in Dr Mutiso's murder
A decades-long divorce and land dispute involving Rose Mbithe Mulwa and Prof David Ndetei has resurfaced in the investigation into the murders of lawyer Kyalo Mbobu and Dr Victoria Mutiso.
read moreRight Column Content