taifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 26 Aug 2026 02:55:11
Silaha fiche ya Sifuna akisaka chombo mbadala cha kuwania urais 2027
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna na viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi wameanza kutekeleza mkakati wa pande mbili huku wakijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Huku kundi hilo likiendelea na mapambano ya kisheria kulinda jina la Linda Mwananchi, pia limeanzisha juhudi za kutafuta chama mbadala cha kisiasa litakalotumia ikiwa halitafaulu mahakamani. Hatua hiyo inajiri huku muda wa kutimiza masharti ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ukiendelea kuyoyoma, jambo linaloweka presha kwa viongozi wa vuguvugu hilo kuhakikisha wana chama cha kisiasa cha kutumia kushiriki uchaguzi wa Agosti 10, 2027. Jana, Jopo la Mahakama la kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa (PPDT) liliwapa afueni washirika wa Bw Sifuna baada ya kumzuia Msajili wa Vyama vya Kisiasa kusajili chama kipya kinachotumia jina la Linda Mwananchi au jina lingine linalofanana nalo hadi rufaa iliyowasilishwa na viongozi wa vuguvugu hilo isikizwe na kuamuliwa. Uamuzi huo pia umeathiri mchakato unaoendelea wa kusajili chama cha Liberty National Democratic Alliance (LINDA) pamoja na jina la Mwananchi Party, huku ukiwalinda walalamishi dhidi ya uwezekano wa jina la Linda Mwananchi kutumiwa na kundi lingine. Kesi hiyo imewasilishwa na Mbunge wa Suba Kusini Caroli Omondi, aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Kenya (LSK) Faith Odhiambo na mwanamikakati wa kisiasa Pauline Njoki Njoroge. Watatu hao wanapinga jinsi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa ilivyoshughulikia ombi lao la kuhifadhi jina la Linda Mwananchi Movement. Hata hivyo, huku kesi hiyo ikiendelea mahakamani, duru za karibu na vuguvugu hilo zinasema viongozi wake hawataki kutegemea matokeo ya mahakama pekee. Tayari wameanza mazungumzo na baadhi ya vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa kikamilifu kwa lengo la kuvibadilisha jina, rangi na uongozi ili viwe jukwaa lao la kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu. Miongoni mwa vyama vinavyotajwa ni United Democratic Party (UDP), chama kilichohusishwa na mwanasiasa marehemu Cyrus Jirongo. Chama hicho kwa sasa kinapitia mchakato wa kubadilishwa jina na kuwa Ukombozi People's Party (UPP). Kulingana na notisi ya umma iliyotolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho Bernard Wafukho, kuna mipango ya kubadilisha rangi za chama, kaulimbiu na nembo yake. Pia, chama cha United Patriotic Movement (UPM) kinachohusishwa na Seneta wa Kakamega Boni Khalwale kimetajwa. Kulingana na rekodi za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa, UPM kilipata usajili kamili mnamo Juni mwaka huu. Awali, Dkt Khalwale alidokeza kuwa chama hicho kinaweza kuwa makazi ya baadhi ya viongozi wakuu wanaojipanga kwa uchaguzi wa 2027. Seneta huyo ni mmoja wa wanasiasa waliojitokeza hadharani kuunga mkono azma ya kisiasa ya Bw Sifuna. Mbunge wa Saboti Caleb Amisi pia amesajili chama cha People's Renaissance Movement (PM). Hata hivyo, baadhi ya wanachama wa Linda Mwananchi wanasemekana kuwa na mashaka kuhusu kutumia chama hicho licha ya Bw Amisi kuwa sehemu ya vuguvugu hilo. Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi amethibitisha kuwa kundi hilo lina chaguo kadhaa mezani lakini akakataa kutaja majina. Alisema kufanya hivyo mapema kunaweza kuvuruga mipango yao kutokana na kile alichodai kuwa hujuma za kisiasa kutoka kwa wapinzani wao. "Linda Mwananchi ni chapa ambayo sisi tumejenga na kuvumisha. Wakenya wanaijua na wanaifahamu vizuri. Lakini hata kama tutanyimwa kuitumia, bado tuna njia nyingi za kuendelea mbele," alisema Osotsi. Kwa mujibu wake, kinachovutia wananchi si jina la chama bali sera, viongozi na maono ya vuguvugu hilo. Alisisitiza kuwa wafuasi wao wataendelea kuwaunga mkono hata wakishiriki uchaguzi kwa jina tofauti. Mbali na changamoto za jina, kundi hilo pia linakimbizana na muda wa kutimiza masharti yaliyowekwa na IEBC. Tume hiyo imeweka Oktoba 15, 2026 kuwa tarehe ya mwisho kwa vyama vya siasa kuwasilisha majina ya maafisa wake walioidhinishwa pamoja na sahihi zao rasmi kwa maandalizi ya uchaguzi wa 2027. IEBC pia imepanga Oktoba 30 kuwa tarehe ya kuthibitisha kanuni za uteuzi wa vyama vya kisiasa, huku vyama vikitarajiwa kuwasilisha kanuni hizo ifikapo Novemba 6. Katika maelezo yaliyowasilishwa mbele ya mahakama, viongozi wa Linda Mwananchi walisema kufikia Agosti 13, 2026, jukwaa lao la kidijitali lilikuwa na wanachama zaidi ya 55,000 waliojisajili wenyewe pamoja na zaidi ya 13,000 wa kujitolea.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:24:47
US to revoke visas of short-term visitors seeking asylum
The Trump administration plans to revoke the visas of foreign nationals who entered the US as short-term visitors and later applied for asylum. Obtaining a visa in order to seek asylum is fraud which is grounds for visa revocation, US State Department spokesman Tommy Pigott said. Pigott said the number of revocations remains dynamic [...] The post US to revoke visas of short-term visitors seeking asylum appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:30:08
When political touts rock the boat: Coarse verbal attacks puncture Matiang'i's backyard campaigns
In the heat of Kenya's emerging 2027 political contest, combative language can easily be mistaken for political courage. But for some voters, particularly older residents, insults and personal attacks are less a sign of political strength than an indication of poor political manners. That tension is increasingly visible around Dr Fred Matiang'i's presidential campaign in [...] The post When political touts rock the boat: Coarse verbal attacks puncture Matiang'i's backyard campaigns appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 18:26:44
Leeds and Rangers co-owner jailed after prostitution arrest
Leeds and Rangers co-owner Jed York has been jailed in Ohio after being arrested for soliciting prostitution. The 45-year-old, who is also the owner of the San Francisco 49ers, was convicted of disorderly conduct and possessing criminal tools after pleading no contest to two charges. In the Ohio legal system, a no contest plea means [...] The post Leeds and Rangers co-owner jailed after prostitution arrest appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 21:47:52
State files extradition proceedings against Chinese national wanted in Uganda over UGX 4.5 billion fraud.
The State filed extradition proceedings against a 39-year-old Chinese national wanted by the Government of Uganda to face criminal charges arising from an alleged fraud involving UGX 4,533,379,400 (approximately Sh151 million). Chen Guang, alias Alex, is accused of manipulating weighbridge bills and payment vouchers during his employment as a cashier at Diamond Steel Uganda Limited. [...] The post State files extradition proceedings against Chinese national wanted in Uganda over UGX 4.5 billion fraud. appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:00:16
Narok airport to be completed in two months, Ruto says
The construction of Narok Airport is set to be completed in the next two months, President William Ruto has announced. He said it is coming as a major boost for tourism in Narok County and across the country. Ruto said the airport will strengthen air connectivity to the Masai Mara National Reserve, a globally renowned [...] The post Narok airport to be completed in two months, Ruto says appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:04:17
Senior prison officer, daughter die in Konza road rash
A senior prison officer and his teenage daughter were killed in a road accident along the Nairobi–Mombasa Highway at Konza in the early hours of Tuesday. The crash occurred at about 3.30am and involved a Beiben truck, registration number and a Mitsubishi Mirage. According to police, the Beiben, driven by 52-year-old driver, was travelling from [...] The post Senior prison officer, daughter die in Konza road rash appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:11:21
ICE arrests jumped to nearly 50,000 in July, the highest monthly total of Trump's second term
U.S. Immigration and Customs Enforcement arrested nearly 50,000 people during July, the highest single monthly arrest total during the second Trump administration, according to new figures. The spike in immigration arrests shows that the administration has continued to advance its mass deportations agenda despite a shift in approach earlier this year from high-profile operations in [...] The post ICE arrests jumped to nearly 50,000 in July, the highest monthly total of Trump's second term appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:15:27
Federal judge rejects Ghislaine Maxwell's 'miscarriage of justice' claims and bid for prison release
Ghislaine Maxwell's bid to overturn her sex trafficking conviction and be freed from prison was rejected by a federal judge Tuesday who said the claims by Jeffrey Epstein's former girlfriend and longtime associate that new evidence had emerged were "demonstrably meritless." Maxwell filed a habeas petition last December seeking to set aside her conviction and [...] The post Federal judge rejects Ghislaine Maxwell's 'miscarriage of justice' claims and bid for prison release appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:17:36
CIA chief in Moscow for unannounced talks, US media reports
The head of the US Central Intelligence Agency (CIA) travelled to Moscow for unannounced talks, the BBCs US news partner CBS has reported. John Ratcliffe arrived in the Russian capital earlier on Tuesday. Neither Washington or Moscow have confirmed the nature of the visit or who he was due to meet. In-person talks between high-level [...] The post CIA chief in Moscow for unannounced talks, US media reports appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 22:20:06
Canada imposing tariffs of up to 50% on $20 billion in U.S. imports, officials say
Canada on Tuesday announced that it is imposing tariffs of up to 50% on about $20 billion of U.S. imports, aiming to match the Trump administrations recently announced import duties on Canadian imports. Today, Im announcing Canada will match the U.S. tariffs dollar for dollar, up to 50% on $27.6 billion of imports from the [...] The post Canada imposing tariffs of up to 50% on $20 billion in U.S. imports, officials say appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Tue, 25 Aug 2026 20:15:33
When will Dolly Parton be buried? What we know about her funeral
Dolly Parton's family has announced plans for a private service following the death of the country music icon at the age of 80. Parton died in Nashville on Tuesday, August 25, 2026. Her representatives said the singer had requested that her immediate family hold a small and private service to celebrate her life and legacy. [...] The post When will Dolly Parton be buried? What we know about her funeral appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content