kenyanews.go.ke
@kna Fri, 21 Aug 2026 06:29:34
Double challenge as health services halted
West Pokot County residents are an unhappy lot following the ongoing health workers strike that has seen several small business enterprises closed down as those seeking medical services continue digging deeper into their pockets to access similar attention in private health facilities. The health workers downed their tools weeks ago posing a big challenge in...
read morekenyanews.go.ke
@kna Fri, 21 Aug 2026 06:32:37
Vihiga intensifies SHA registration drive to boost universal health coverage
Vihiga County is stepping up efforts to increase registration under the Social Health Authority (SHA), with the current enrolment standing at 58.6 per cent, below the national target. Speaking when he briefed the County Implementation Coordination Management Committee (CICMC) at the County Commissioner's Boardroom, Vihiga SHA County Coordinator Jeremiah Langat said the county had adopted...
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 05:57:31
Two children drown while playing near water pan in Trans Nzoia
Two children aged three years and below have drowned in a shallow water pan in Furaha Village, Kwanza Sub-County, Trans Nzoia County. The incident occurred on Thursday, August 20, 2026, while the children were reportedly playing with other children on a farm in the area. The children drowned in a man-made water pan on a [...] The post Two children drown while playing near water pan in Trans Nzoia appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 06:02:04
The County that is forgetting its dead: How urban renewal in Kisii has left the dead behind
Cities are usually built with the living in mind. In more progressive societies, however, planners also make room for the dead. Not in Kisii. The county's latest urban renewal drive has created a troubling contradiction: as authorities transform Nyambera public cemetery into a modern market intended to accommodate street traders, the dead are effectively being [...] The post The County that is forgetting its dead: How urban renewal in Kisii has left the dead behind appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 21 Aug 2026 05:55:30
Maafisa waagizwa kupigia debe mafanikio ya serikali kuelekea 2027
SERIKALI ya Rais William Ruto imeanza kuimarisha kampeni ya mawasiliano kwa umma kuhusu sera, miradi na mafanikio yake huku uchaguzi mkuu wa 2027 ukikaribia. Hatua hiyo inafuatia barua ya Mkuu wa Utumishi wa Umma na Wafanyakazi wa Ikulu, Felix Koskei, kwa mawaziri, makatibu, msemaji wa serikali na wakuu wa mashirika ya serikali. Katika barua iliyoandikwa Agosti 17, 2026, Bw Koskei aliwaagiza maafisa hao kuwasiliana moja kwa moja na wananchi na kuelezea juhudi za serikali, sera zake na miradi inayotekelezwa. "Kuna haja ya dharura ya kuwasiliana kikamilifu na wananchi kwa wakati kuhusu sera, mipango na shughuli muhimu za serikali," alisema katika barua hiyo. Hatua hiyo inajiri mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa 2027, huku serikali na upinzani tayari zikianza kujipanga kisiasa. Ingawa barua hiyo haitaji uchaguzi au kampeni, muda wake umeibua maswali kuhusu nafasi ya mawasiliano ya serikali katika uchaguzi ujao. Kwa miaka minne iliyopita, serikali imekuwa ikikosolewa kuhusu gharama ya maisha, ushuru, deni la taifa, mageuzi katika afya, makazi, elimu na ukosefu wa ajira. Upinzani nao umefanya rekodi ya serikali katika uchumi kuwa hoja kuu katika juhudi za kumng'oa Rais Ruto madarakani. Bw Koskei alisema serikali imekuwa ikijibu masuala yanapozuka badala ya kutoa taarifa kwa wananchi mapema. Wakati mwingine, alisema, maafisa wa serikali wamekuwa wakitoa taarifa zinazokinzana. Hali hiyo, kulingana na barua hiyo, imechangia kupungua kwa imani ya wananchi kwa serikali. Sasa kila wizara, idara na shirika la serikali litaandaa mkakati wa mawasiliano unaoendana na Sera ya Kitaifa ya Mawasiliano iliyoidhinishwa na Baraza la Mawaziri. Mikakati hiyo itahusisha kueleza sera na miradi, namna ya kushughulikia majanga na dharura, kushirikisha wananchi, kutenga fedha za mawasiliano na kuwasiliana mara kwa mara na vyombo vya habari. Mawaziri, makatibu na wakuu wa mashirika pia wameagizwa kuchukua "jukumu kamili" la kutoa taarifa kwa wakati na kwa njia iliyoratibiwa. Aidha, wameagizwa kukabiliana na taarifa potovu na kuzuia watu wengine kutawala mjadala wa kitaifa. Katika enzi ya mitandao ya kijamii, serikali inaonekana kuongeza nguvu katika simulizi kuhusu utendaji wake. Kituo cha Kitaifa cha Mawasiliano pia kitaanza kutekeleza majukumu yake mara moja. Kituo hicho, kilichoanzishwa kupitia Amri ya Rais nambari moja ya mwaka 2025, kitatumika kama hifadhi kuu ya taarifa za serikali. Kituo hicho kitakusanya, kuchambua, kuthibitisha na kuandaa taarifa kabla ya kusambazwa kwa wananchi. Msemaji wa Serikali Charles Owino atakuwa na jukumu la kusambaza taarifa hizo kupitia majukwaa mbalimbali. Serikali inataka mawasiliano yake yawe na "uwiano, uthabiti na ufanisi" ili kuzuia taasisi zake kutoa ujumbe unaokinzana. Miradi mikubwa ya serikali pia italazimika kuwa na mpango wa mawasiliano tangu hatua ya kuandaliwa kwake. Hii ina maana kuwa miradi kama barabara, hospitali, nyumba za bei nafuu, maji na mipango ya elimu itapaswa kuelekezwa kwa wananchi kuhusu maendeleo yake na manufaa yanayotarajiwa. Mawasiliano hayo pia yataingizwa katika mikataba ya utendakazi ya maafisa wakuu, hivyo kuwafanya kuwajibika moja kwa moja kwa taarifa wanazotoa kuhusu kazi za serikali. Majukwaa yatakayotumika ni pamoja na Kenya Broadcasting Corporation, Kenya News Agency, Kenya Yearbook Editorial Board, Government Advertising Agency, tovuti za serikali na mitandao rasmi ya kijamii. Serikali pia imeagiza matumizi zaidi ya simu za mkononi na majukwaa kama X, Facebook, TikTok, YouTube na WhatsApp. Hata hivyo, wakosoaji wanaweza kuhoji iwapo hatua hiyo itatumika kutoa taarifa kwa umma au kubadilika na kuwa kampeni inayolipiwa na walipa kodi. Wakili Chris Omore alisema sheria za uchaguzi na mfumo wa matumizi ya fedha za umma zinaweka mipaka kuhusu matumizi ya rasilimali za serikali kwa shughuli za kisiasa. "Mawasiliano ya serikali lazima yabaki kutoa taarifa halali kwa umma na yasivuke mpaka na kuwa kampeni ya moja kwa moja ya kisiasa," alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 04:39:56
Police re-arrest lawyer Angela Mulwa over murder of Dr Victoria Mutiso
A Nairobi lawyer was on Thursday evening re-arrested by Directorate of Criminal Investigations (DCI) homicide detectives hours after securing her release on a Sh1 million bond in the murder of her step-mother. Detectives arrested lawyer Angela Mulwa for what they termed as processing and possible arraignment for the murder of Dr Victoria Mutiso. Dr Mutiso [...] The post Police re-arrest lawyer Angela Mulwa over murder of Dr Victoria Mutiso appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 04:58:21
Boy shot and injured during political rally in Homa Bay
A boy was shot in the head during a confrontation between rival groups at a political rally in Sofia Estate, Homa Bay Town, on Thursday evening. The incident occurred at about 6:50pm after an aspirant for the Homa Bay Town parliamentary seat, held a series of campaign rallies within the town before proceeding to Sofia [...] The post Boy shot and injured during political rally in Homa Bay appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 05:00:24
Two men killed after sand-harvesting wall collapses in Machakos
Two men died after a wall collapsed on them while they were harvesting sand in Athi River South Sub-County, Machakos County, on Thursday. The deceased were identified as Hassan Iddi Ali, 48, and Amos Musyoki Nzioka, 37. The incident was reported by a man who said a group of five people had gone to the [...] The post Two men killed after sand-harvesting wall collapses in Machakos appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 05:02:49
Boy drowns in open water pit in Kiambu
A two-year-old boy drowned in an open water-filled pit near the gate of a residential compound along New York Road in Kiamumbi, Kiambu County, on Thursday morning. The deceased was under the care of a 21-year-old househelp who told police she had been left to look after the child at about 10am. The woman left [...] The post Boy drowns in open water pit in Kiambu appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 21 Aug 2026 04:55:33
Faili ya uchunguzi wa mlinzi wa Katibu Fikirini Jacobs yafungwa
MAHAKAMA ya Makadara imefunga faili ya uchunguzi dhidi ya mlinzi wa Katibu wa Masuala ya Vijana, Fikirini Jacobs kuhusu kupigwa risasi na kuuawa kwa kiongozi wa vijana mtaani Kariokor, Cecil Ouma, huku ikisubiri uamuzi wa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP). Mahakama ilisema faili hilo haiwezi kuendelea kuwa wazi kusubiri wachunguzi kukamilisha mchakato wa kuwasilisha ripoti ya uchunguzi wa kisayansi kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma. Afisa wa polisi, Rashid Charo alikamatwa kufuatia kifo cha Bw Ouma aliyepigwa risasi Juni 30 katika eneo la Kariokor, Nairobi, wakati wa hafla iliyohudhuriwa na Bw Fikirini Jacobs. Baadaye aliachiliwa kwa dhamana ya Sh20,000 huku uchunguzi ukiendelea. Katika kikao cha mahakama kilichoendeshwa kwa njia ya mtandao Jumatano, Hakimu James Juma Maiya alimkosoa afisa wa uchunguzi kwa kupotosha mahakama kuhusu hali ya kesi hiyo. Katika kikao kilichotangulia siku 10 zilizopita, afisa huyo alikuwa ameambia mahakama kuwa faili ya uchunguzi tayari ilikuwa imewasilishwa kwa DPP na polisi walikuwa wakisubiri uamuzi wake. Hata hivyo, ilibainika kuwa faili iliwasilishwa kwa DPP Agosti 18, siku moja tu kabla ya kikao cha Jumatano. "Faili hii imefungwa. Afisa wa uchunguzi atasubiri maelekezo ya ODPP. Kwa sasa, faili imefungwa," hakimu aliamuru. Kufungwa kwa faili hakumaanishi kuwa suala hilo limefikia kikomo. Sasa macho yote yako kwa DPP, ambaye atapitia matokeo ya uchunguzi wa kisayansi pamoja na faili ya uchunguzi kabla ya kuamua iwapo Bw Charo au mtu mwingine yeyote atafunguliwa mashtaka kutokana na kifo hicho. Wakili wa Bw Charo, Cliff Ombeta, aliomba mahakama kumruhusu mteja wake kurejea kazini, akisema amezingatia masharti yote ya mahakama na amekuwa akihudhuria vikao kila alipohitajika. "Hadi sasa, hajakuwa akienda kazini kwa sababu lazima aendelee kufuatilia hali hii," alisema Bw Ombeta. Wachunguzi wamekuwa wakitegemea kwa kiasi kikubwa ushahidi wa kisayansi kubaini aliyefyatua risasi iliyomuua Bw Ouma. Polisi walipata bunduki mbili kutoka kwa walinzi wa Katibu huyo na kuziwasilisha kwa uchunguzi wa kitaalamu wa silaha. Katika kikao kilichotangulia, wachunguzi waliambia mahakama kuwa matokeo ya uchunguzi huo yalikuwa tayari na faili ingewasilishwa kwa ODPP aipitie kabla ya hatua zaidi. Bw Charo alikuwa miongoni mwa watu walioitwa kutoa taarifa kwa wachunguzi baada ya kubainika kuwa alikuwa ndani ya gari ambalo inadaiwa risasi ilifyatuliwa. Uchunguzi wa mwili wa marehemu uliofanywa na madaktari waliowakilisha serikali na familia ya Bw Ouma ulionyesha kuwa alifariki kutokana na jeraha moja la risasi kifuani. Madaktari walibaini kuwa risasi hiyo ilisababisha majeraha makubwa ndani ya mwili na akavuja damu kwa wingi ndani ya kifua, hali iliyosababisha kifo chake. Uamuzi wa ofisi ya DPP utaamua iwapo uchunguzi huo utaishia kwa afisa huyo au mtu mwingine yeyote kufunguliwa mashtaka ya jinai kwa kuhusika na kifo cha Bw Ouma.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Fri, 21 Aug 2026 04:25:49
Afisa wa polisi aliyeuawa Homa Bay alikuwa akisubiri kupandishwa cheo
KONSTABO Jim Richardson Onkundi, aliyefariki baada ya kupigwa na jiwe wakati wa mkutano wa Linda Mwananchi Homa Bay, alikuwa akisubiri kupandishwa cheo kuwa koplo. Onkundi, 36, alikuwa akiendesha gari la polisi lililokuwa limewabeba maafisa watano kutoka Kituo cha Polisi cha Chemelil, Muhoroni, Kaunti ya Kisumu. Alikuwa amemaliza mafunzo ya kupandishwa cheo katika Chuo cha Polisi Kiganjo na alikuwa akisubiri kuthibitishwa rasmi kabla ya kupewa cheo kipya. Hata hivyo, ndoto yake ilikatizwa Jumapili baada ya jiwe kurushwa kwenye gari lao katika kituo cha kibiashara cha Olare walipokuwa wakirejea kutoka Homa Bay. Jiwe hilo lilivunja kioo cha mbele na kumpiga Onkundi usoni na kichwani karibu na sikio la kulia. "Aliyerusha jiwe alilenga gari letu moja kwa moja na kwa bahati mbaya jiwe lilimpata dereva. Alipoteza fahamu akiwa anaendesha," alisema Kamanda wa Polisi wa Muhoroni Fredrick Ombaka. Gari hilo aina ya Isuzu D-Max lilitoka barabarani na kugonga jengo baada ya Onkundi kupoteza fahamu. Maafisa wengine waliokuwa ndani ya gari hilo pia walijeruhiwa. Onkundi alipelekwa Jeneiro Hospital, Nyangeswo, kabla ya kuhamishiwa hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Jaramogi Oginga Odinga, Kisumu, ambako alitangazwa kufariki. Afisa huyo alijiunga na polisi mwaka 2015 na alikuwa tegemeo la familia yake. Ndugu yake Peter Onkundi alisema alizungumza na marehemu Jumapili asubuhi. "Aliniambia alikuwa kazini Homa Bay na angenipigia simu baada ya kumaliza kazi. Hakupiga simu hiyo. Siku iliyofuata, mwenzake ndiye aliyenipigia na kunijulisha kuwa amefariki," alisema. Onkundi ameacha mjane na mtoto mmoja. Mwili wake ulihamishiwa mochari ya St Joseph's Ombo Mission Hospital, Migori, huku mipango ya mazishi ikiendelea. Afisa mmoja wa polisi alisema kifo cha Onkundi kinaonyesha hatari ambazo maafisa hukabili wanapotekeleza majukumu yao. "Kila mtu ana haki ya kuishi, bila kujali taaluma yake au anatoka wapi," alisema. Alitoa wito kwa wananchi kushirikiana na polisi na kuepuka vurugu wakati wa mikutano ya kisiasa.
read morestandardmedia.co.ke
@standard Fri, 21 Aug 2026 04:00:00
From police to DCI, IPOA, NCIC and Parliament: Why Kenyans are on their own
Political violence and by-elections have left several people injured or dead, yet the independent institutions mandated to prevent and address such incidents have failed to act.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 03:21:03
FBI arrests woman over alleged plot to bomb New York capitol building
The FBI arrested a New York woman who was allegedly planning to bomb the state capitol building in Albany to kill lawmakers. Prosecutors allege that Jessica Bowie, 35, had previously pledged allegiance to the Islamic State group (IS). She is charged with providing material support or resources to a designated foreign terrorist organisation. Bowie had [...] The post FBI arrests woman over alleged plot to bomb New York capitol building appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 03:24:10
El Niño set to be 'strongest in living memory', says UK's Met Office
The El Niño event that is developing over the Pacific Ocean is likely to be the strongest in living memory, the Met Office has warned. The powerful natural climate phenomenon pushes up global temperatures and can increase the risks of extreme weather. Added to the effects of human-induced climate change, the Met Office is warning [...] The post El Niño set to be strongest in living memory, says UK's Met Office appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Fri, 21 Aug 2026 03:26:19
Dozens dead after boat capsizes in north-western Nigeria
At least 46 people have died in Nigeria after a boat capsized in north-western Sokoto state. The boat was believed to be carrying more than 70 people, mostly children, and a search operation is ongoing, officials say. Police spokesperson Ahmad Rufai told the BBC on Thursday that 46 bodies had been found near Gorau in [...] The post Dozens dead after boat capsizes in north-western Nigeria appeared first on Kahawatungu.
read moreRight Column Content