kahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 03:13:59
Discord ordered to suspend livestreams in Brazil
Brazils data protection authority (ANPD) has ordered Discord to suspend its livestreaming feature after a teenage girl was allegedly encouraged to take her own life in a broadcast on the platform. The messaging service allows people to create and join groups based on their interests, with users able to enter voice or video calls in [...] The post Discord ordered to suspend livestreams in Brazil appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 03:18:18
Two dead after military helicopter crashes in Texas
Two people have died in a military helicopter crash in central Texas, officials have confirmed. The two were pronounced dead at the scene after police responded to an emergency call at around 13:33 local time (18:33 GMT) about the wreckage in fields south of the village of Salado. The aircraft was an AH-64 Apache attack [...] The post Two dead after military helicopter crashes in Texas appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Thu, 13 Aug 2026 03:21:50
Ayra Starr on her secret relationship and teasing Stevie Wonder
Theres resilience, and then theres Ayra Starr. Two weeks before the release of her new album, Starrgirl, the Nigerian singer posted a photo from hospital, after undergoing major surgery. I was hoping it would be a quick recovery, but it was more complicated than they expected, she told fans, without disclosing the nature of the [...] The post Ayra Starr on her secret relationship and teasing Stevie Wonder appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Thu, 13 Aug 2026 02:55:36
Wanasiasa waliomsaidia Ruto walemewa na upweke wa UDA Mlimani, waendelea kuhama
IDADI ya wanasiasa waliomsaidia Rais William Ruto na chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) kujijenga kisiasa katika eneo la Mlima Kenya 2022 wanaohama chama hicho inaendelea kuongezeka. Wanasiasa hao wanasema hatua hii inatokana na mabadiliko ya kisiasa yanayohitaji mikakati mipya ya kujiokoa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Mbunge wa Gatundu Kusini Gabriel Kagombe ndiye mwanasiasa wa hivi punde kutangaza kujiondoa UDA, akisema imekuwa vigumu kuwashawishi wapigakura wa Mlima Kenya kumuunga mkono Rais Ruto kwa muhula wa pili. Kwa mujibu wa Bw Kagombe, hatua yake ni suala la kuendelea kujisitiri kisiasa. "Mazingira ya kisiasa yamebadilika kabisa. Huu ni wakati wa dharura na kila mwanasiasa anatafuta namna ya kuendelea kuishi. Wapigakura wangu wanakasirika kila jina la Dkt Ruto au UDA linapotajwa," alisema. Mbunge huyo alisema atarudi kwa wapiga kura wake kuwaeleza sababu za uamuzi wake, ikiwemo kile alichokitaja kuwa "ahadi zisizotekelezwa za UDA za Rais Ruto kwa Mlima Kenya" pamoja na kuongezeka kwa malalamishi kuhusu nafasi ya eneo hilo ndani ya serikali jumuishi. Alisema hatua ya kumfanya abadili msimamo ilitokea wakati wa mkutano wa serikali jumuishi uliofanyika Naivasha Jumatatu, ambapo Gavana wa Kisii Simba Arati alitangaza wazi kuwa ODM inataka nafasi ya Naibu Rais. Kwa mujibu wa Bw Kagombe, kauli hiyo ilituma ujumbe wa kisiasa uliowatia wasiwasi viongozi wa UDA kutoka Mlima Kenya. "Fikiria jinsi tulivyohisi Bw Arati alipodai kiti kinachoshikiliwa na Profesa Kithure Kindiki akiwa hapo hapo. Rais hakukubali wala kukataa. Hiyo inaonyesha mjadala huo unampendeza. Sasa ni wakati wa kutathmini na mimi lazima nijinusuru," alisema. Kagombe, ambaye alikuwa miongoni mwa wabunge waliounga mkono kung'olewa mamlakani kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, alisema siasa ni mchezo wa maslahi, kukubalika na kuendelea kudumu kisiasa. Kung'olewa kwa Bw Gachagua miaka miwili iliyopita kumeendelea kuzua mgawanyiko wa kisiasa katika Mlima Kenya, huku wapigakura wakitathmini viongozi kwa msingi wa uaminifu wao kwa maslahi ya eneo hilo. Wanasiasa wanaojiondoa UDA sasa wanakabiliwa na changamoto ya kurejesha imani ya wapigakura ambao kwa kiasi kikubwa wameonyesha uhasama dhidi ya chama tawala. Gavana wa Murang'a Irungu Kang'ata alikuwa gavana wa kwanza wa Mlima Kenya aliyechaguliwa kujiondoa rasmi UDA na kuhamia chama cha Democracy for Citizens Party (DCP) kinachoongozwa na Bw Gachagua. Hatua yake ilifuatiwa na ya Gavana wa Nyandarua Kiarie Badilisha, aliyehamia DCP Julai 29. Gavana huyo alisema alikuwa akifuata matakwa ya wananchi wake. "Wananchi wa Nyandarua wamezungumza, nami nitatetea kiti changu kupitia tiketi ya DCP," alisema. Katika Kaunti ya Kiambu, Gavana Kimani Wamatangi tayari amesema hatawania muhula mwingine kupitia tiketi ya UDA, hali inayotafsiriwa kama ishara ya kuondoka kwake katika chama hicho, ingawa bado hajatangaza rasmi kujiunga na DCP. Mabadiliko hayo yanajiri huku viongozi mbalimbali wa kisiasa wakitathmini upya misimamo yao kuelekea uchaguzi wa 2027, huku DCP ikionekana kujijenga kama jukwaa kuu la upinzani dhidi ya UDA katika Mlima Kenya. Changamoto za UDA pia zinaonekana nje ya Mlima Kenya. Mwakilishi wa Wanawake wa Lamu Muthoni Marubu amesitisha mpango wake wa kujiunga na chama hicho baada ya miezi kadhaa ya kujaribu kujijenga mashinani katika kaunti hiyo. Bi Marubu, aliyechaguliwa kama mgombea huru mnamo 2022, alisema Rais Ruto alikuwa amemuomba kusaidia kuimarisha UDA Lamu. Alidai alitumia miezi mitatu kuandaa mikutano 42 ya mashinani na kusajili wanachama. Hata hivyo, juhudi hizo zilikwama baada ya mzozo wa kisiasa kati yake na Gavana wa Lamu Issa Timamy, ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa Pili wa UDA. Bi Marubu alimlaumu Bw Timamy kwa kuhujumu juhudi zake na kupuuza majaribio yake ya kushirikiana naye kisiasa. Kwa upande wake, Bw Timamy alikanusha madai hayo akisema yeyote anayetaka kuondoka chama ana uhuru wa kufanya hivyo bila kuwasingizia wengine. Mchambuzi wa siasa Mixson Warui alisema mwelekeo wa sasa unaonyesha DCP inavutia zaidi katika Mlima Kenya. Alisema uchaguzi mdogo wa Ol Kalou wa Julai 16 ulionyesha hali hiyo baada ya DCP kupata takriban asilimia 85 ya kura. "Ikiwa matokeo ya Ol Kalou ni kipimo, basi nafasi kubwa ya kuendelea kuwa katika siasa katika Mlima Kenya kwa sasa ni kupitia Bw Gachagua. Lakini kujiunga na DCP si jambo la moja kwa moja kwa sababu kuna utaratibu wa kuwachunguza wanaotaka kuhamia chama hicho," alisema.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 21:29:12
Petitioner seeks to drop case against Kenya Railways CEO Mainga
A petitioner challenging the continued tenure of Kenya Railways Managing Director and Chief Executive Officer Philip Mainga moved to withdraw the case. This was hours after the Employment and Labour Relations Court temporarily barred him from exercising the powers of his office. Mainga has served as MD for almost 11 years which is seen wrong [...] The post Petitioner seeks to drop case against Kenya Railways CEO Mainga appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 21:32:24
Zhu Rongji, who helped turn China into a trading giant, dies at 97
Former Chinese Premier Zhu Rongji, who spearheaded Chinas entry into global trade and laid the foundation for its explosive growth, has died at the age of 97. He served in the countrys second-highest office from 1998-2003 and played a leading role in securing its entry into the World Trade Organization, opening Chinese factories to the [...] The post Zhu Rongji, who helped turn China into a trading giant, dies at 97 appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 21:35:14
EACC, Catholic bishops strengthen partnership in fight against corruption
The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) and the Kenya Conference of Catholic Bishops (KCCB) have agreed to strengthen their partnership in the fight against corruption and the promotion of ethics, integrity and accountability in Kenya. The commitment was reached on Wednesday during a consultative meeting between the EACC leadership and a KCCB delegation led by [...] The post EACC, Catholic bishops strengthen partnership in fight against corruption appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 21:39:56
Matiangi renews Jubilee's countrywide push ahead of 2027
Jubilee presidential candidate Dr Fred Matiang'i has renewed the party's countrywide mobilisation drive as the outfit moves to rebuild its grassroots structures and consolidate support ahead of the 2027 General Election. Matiang'i said Jubilee was ready to take its message to Kenyans across the country when he joined mourners at the burial of the late [...] The post Matiangi renews Jubilee's countrywide push ahead of 2027 appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 21:44:57
Thousands of Canadians call for US ambassador's expulsion
More than 60,000 Canadians have signed a petition calling for the US ambassador in Ottawa to be expelled for undermining diplomatic relations between the two neighbours. The online petition accuses Pete Hoekstra of making repeated interventions in Canadian political discourse and of having normalised the Trump administrations threats to annex Canada as the 51st state' [...] The post Thousands of Canadians call for US ambassadors expulsion appeared first on Kahawatungu.
read morekahawatungu.com
@kahawatungu Wed, 12 Aug 2026 21:46:43
Messi unsure he will play 'much longer' after father's death
Lionel Messi said he is unsure how much longer he will continue playing football as he posted an emotional tribute after his fathers death. Messis father Jorge was 68 when he died last week following a long illness. Jorge had been the Argentina forwards agent since he was 14 and watched him become one of [...] The post Messi unsure he will play much longer after fathers death appeared first on Kahawatungu.
read moretaifaleo.nation.co.ke
@taifaleo Wed, 12 Aug 2026 07:30:59
Wanafunzi kupata mafunzo kuhusu usafi
WANAFUNZI 2,400 kutoka eneo la Bisil, Kaunti ya Kajiado, watanufaika na vifaa vya usafi na elimu kuhusu afya kupitia mpango mpya unaolenga kuboresha usafi shuleni. Mpango huo, unaojulikana kama Clean Futures Alliance, umeanzishwa na Federal Express Corporation (FedEx) kwa ushirikiano na Feed the Children, huku ukilenga kuwasaidia watoto na vijana kujenga uzoefu wa kudumisha usafi kwa lengo la kuwalinda dhidi ya magonjwa. Kupitia mpango huo, wanafunzi wa shule za msingi watapokea vifaa vya usafi binafsi na kushiriki katika mafunzo yanayowafundisha umuhimu wa kunawa mikono, kudumisha usafi wa mwili na kuzingatia mazingira safi. Shughuli za kwanza za elimu kuhusu maji, usafi na usafi wa mazingira (WASH) zilifanyika katika Shule za Msingi za Inkati na Noontoto, Bisil. Kwa watoto wanaotumia muda mwingi shuleni, usafi ni sehemu muhimu ya maisha yao ya kila siku. Ukosefu wa vifaa au maarifa kuhusu usafi unaweza kuwaweka katika hatari ya kupata magonjwa na pia kuathiri masomo yao. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo, Mkurugenzi Mkuu wa Operesheni za FedEx katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Nelson Teixeira, alisema kampuni hiyo inalenga Kumari Sha usafi katika jamii. "Tunataka kusaidia watoto na familia kujenga maisha yenye afya na kuleta mabadiliko katika jamii tunamoishi na kufanya kazi," alisema. Kwa upande wake, Rais na Afisa Mkuu Mtendaji wa Feed the Children, Emily Callahan, alisema usafi huwasaidia watoto kuwa na afya bora, kujiamini na kuendelea kushiriki katika masomo. Ushirikiano huo unatekelezwa kupitia mpango wa FedEx Cares, ambao huwahusisha wafanyakazi wa kampuni hiyo katika shughuli za kujitolea na miradi inayolenga kushughulikia mahitaji ya jamii. Mbali na kutoa vifaa, wafanyakazi wa FedEx walishiriki katika kuandaa na kusambaza vifaa vya usafi kwa wanafunzi. Mpango huo unatarajiwa kuendeleza ushirikiano wa muda mrefu kati ya FedEx na Feed the Children katika kusaidia jamii kupata mahitaji muhimu na kujenga mazingira bora kwa watoto kukua na kusoma.
read moreRight Column Content